Katiba Mpya: Dk. Slaa awasilisha maboksi 17 - Yanahusu maoni ya Katiba, Warioba agoma

Katiba Mpya: Dk. Slaa awasilisha maboksi 17 - Yanahusu maoni ya Katiba, Warioba agoma

Wakati mwingine unashindwa kufahamu uelewa wa hawa viongozi wa Chadema.

Mabox ya maoni Dr.Slaa, kayatoa wapi wakati kazi kubwa aliyokuwa akiifanya ni kuzunguka na Chopa akifika sehemu Dr. Slaa yeye ndiyo alikuwa anawahutubia wananchi.

Hayo ni maoni yake binafsi pamoja na wenzake kina Mnyika, na Mbowe.

Kuna utaratibu wa kukusanya maoni kwa hiyo hayo maoni alikuwa anayabeba vipi na Chopa.

Mkuu makalio ni kwa ajili ya kukalia na kutolea haja kubwa, na kichwa ni kwaajili ya kufikiri.....Sasa wewe unafanya vise versa...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kweli kabisa mkuu,tena ikiwa ile iliyonyeshewa na mvua kisha ivutwe ukiwa ndani ya chopa,ni hatari sana.

Mkuu sembe imekuharibu ubongo.....Halafu inaonesha una njaa kali sana......Nakuombea njaa uliyonayo isihamie kichwani maanaa....!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Watanzania msihofu,2016 tutatengeneza katiba ya Watz na si ya ccm

Mmmmh hii ni kali. Box 17????. Nashawishika sasa kuwa kweli huku CDM wenye kuelewa mambo ni wachache. Katiba ina vipengee vikuu. Nina uhakika maoni hayo yamegusa vipengele hivyo. Kwa nini wasivi summarise na kuleta comprehensive dossier ambayo ni readable?. Wanatka kutuambia kuwa Tume ina uwezo wa kuyachambua hayo yote katika span ya muda uliopo? Wangetumia akili ndogo tu wangejua kwa nini Warioba amekataa kupokea mabox hayo.
 
Yaani Slaa anamwambi age-mate wake kuwa amechoka!!!

Naona Slaa anajitahidi kupoliticize zoezi zima la Katiba Mpya. Katiba mpya isitumiwe kama political capital...

dah mkuu you make ma evining!!!
 
Hivi kumbe kwa kuwa kuna tatizo la madawa ya kulevya basi ndio tujipige marufuku kujadili mambo mengine kwenye jamii zetu?

Usiniambie kuwa wewe uwa hauli, haunywi wala haulali, bali uwa unakomaa na madawa ya kulevya tu?

Wewe kweli wakuhurumiwa!

Du yaani we kweli kiboko... Sasa hilo unaloliteta wewe lina manufaa gani kwa mtanzania muathirika wa ufisadi wenu?
 
Back
Top Bottom