Katiba Mpya: Elimu ni kwa Wasioelewa - Ushuhuda

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ni wazi kuwa mtu kubeza kupatikana kwa katiba mpya ni matokeo ya kuwa na:

1. uelewa usio sahihi, au
2. maslahi kwenye katiba iliyopo.

Hapa chini ni ushuhuda wake bwana Extrovert. Heshima kwako sana mkuu: (comment #95)

IMG_20210703_151942_647.jpg

Uzi: CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati Magufuli

Hii ni hatua njema tunapoendelea kupigania kupata kurejelewa kwa katiba ya wananchi iliyo boreshwa.

Tulianzia hapa, tokea kwake mheshimiwa huyu: (Comment #7)

IMG_20210703_145910_000.jpg

Akafuatiwa na majibu haya: (comment #9)

IMG_20210703_150535_467.jpg

IMG_20210703_150603_849.jpg

IMG_20210703_150635_907.jpg

IMG_20210703_150719_042.jpg

Comments mbili hizi, kutokea uzi huu:

Wanufaika wa Katiba Iliyopo hawahitaji elimu

Nilileta ushuhuda mwingine mapema tokea kwake Nigrastratatract katika uzi huu:

-------

My take:

Tujikite kubadilishana mawazo na watu #1.

Hawa #2 yaani kina jingalao, Wakudadavuwa, Magonjwa Mtambuka na binamu zao; "they can go to hell and stay there.

Cc: BAK The Boss Salary Slip Mamy K
 
Ni wazi kuwa mtu kubeza kupatikana kwa katiba mpya ni matokeo ya kuwa na:

1. uelewa usio sahihi, au
2. maslahi kwenye katiba iliyopo.

Hapa chini ni ushuhuda wake bwana Extrovert. Heshima kwako sana mkuu: (comment #95)

View attachment 1838853

Uzi: CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati Magufuli

Hii ni hatua njema tunapoendelea kupigania kupata kurejelewa kwa katiba ya wananchi iliyo bora zaidi.

Tulianzia hapa, tokea kwake mheshimiwa huyu: (Comment #7)

View attachment 1838807

Akafuatiwa na majibu haya: (comment #9)

View attachment 1838821

View attachment 1838822

View attachment 1838829

View attachment 1838832

Comments mbili hizi, kutokea uzi huu:

Nilileta ushuhuda mwingine mapema tokea kwake Nigrastratatract katika uzi huu:

-------

My take:

Wito: Tujikite kubadilishana mawazo na watu #1. Hawa #2 yaani kina jingalao, Wakudadavuwa, Magonjwa Mtambuka na binamu zao; "they can go to hell and stay there.

Cc: BAK The Boss Salary Slip Mamy K

View attachment 1838854
Tujitahidi kuwaelewesha
 
Ninakazia: Hii ya leo ni ya pili. Ya kwanza tokea kwake Nigrastratatract (heshima yake sana) niliileta hapa ndani ya uzi huu:

Cc: Extrovert BAK Mamy K johnthebaptist Pascal Mayalla
 
Easier say than done Mkuu. Kuna walionywesha maji ya bendera ya maccm plus elimu ya kuunga unga ya shule za kata. Unamuangalia mtu maisha yamempiga vibaya sana tena kwa miaka mingi tu lakini bado anawafagilia maccm!!!
Kweli kabisa
 
Kwa hizi nchi zetu zisizojali utawala bora na kufuata katiba, kupata katiba mpya inaweza isilete mabadiliko makubwa sana kama wengi wanavyoaminishwa.

Ikiwa hii ya sasa hivi inavunjwa na hakuna kitu kinafanyika, ni kipi kitafanyika tofauti ili kuhakikisha hiyo mpya inazingatiwa?

Kuwa na katiba nzuri/ bora ni jambo moja lakini kuitekeleza na kuisimamia ikaleta tija ni jambo lingine na la muhimu zaidi.
 
Mimi nakubaliana na swala la Katiba Mpya.

Ila napingana na namna ambazo chadema wameamua kushughulika na swala husika.

Kwa miaka 6 wanasiasa walikua hawaongei kauli za kuashiria wanataka ugomvi na Lisu akiwa nje ya Tz alisema kuhusu kutaka kuhakikishiwa usalama arudi Tz.

As far as I know hakuhakikishiwa usalama, ila akaja, akafanya kampeni, akashiriki uchaguzi akataka kua detained akaescape.

Tumeanza na Madame President, immediately akaonyesha kujua Tz tulikua wapi na akaanza jitihada za kutibu, wakina Heri James wakaomba msamaha, waliokua wakiwakanyaga raia kwa miaka sita ghafla wakaside na raia.

Kwa ufupi ikawa inarudishwa Tz ambayo watu mnaweza kaa mezani na kujadili.

Kauli za Mbowe, Lisu na Nyagali haziashirii kama wanaona juhudi za Mama na kama ni sahihi wao kuruka stages zote na kuifikia stage ya kua jeuri na kusumbuana. These are the same people waliomuomba Magufuli wakae naye chini ili waruhusiwe kufanya mikutano. Anakuja anayeweza kuwasikiliza wanaopt kutunishiana misuli.

Ni maajabu kiukweli. Nilitarajia wawe more civil kuliko huu uamuzi.
 
Mkuu ninakusoma vyema lakini nitakwambia hata Extrovert na Nigrastratatract nilidhani ni hivyo hivyo.

Haichukui muda kwa aliyekuwa na uelewa usio sahihi kuelewa. Magonjwa Mtambuka na binamu zake ni wanufaika wa moja kwa moja. Hao hamna haja.

Nilileta uzi hapa, hata CCM wanaoihitaji wapo tena wengi wakiwamo kina Bashiru, pole pole, na hata Majaliwa:

  • Nzuri
Reactions: BAK
Mabadiliko ni makubwa sana kwani hakuna chama kitakachoweza kukaa madarakani miongo sita huku kikivurunda miaka nenda miaka rudi bila maendeleo ya kweli kwa Watanzania.
Maccm wakivurunda Watanzania tunawapiga KIBUTI, Chadema wakivurunda Watanzania tunawapiga kibuti, ACT Wazalendo wakivurunda Watanzania tunawapiga kibuti. Kutakuwa na siasa za ukweli na utendaji wa maana badala ya kutumia mtutu wa bunduki kupora chaguzi.

Kwa hizi nchi zetu zisizojali utawala bora na kufuata katiba, kupata katiba mpya inaweza isilete mabadiliko makubwa sana kama wengi wanavyoaminishwa.

Ikiwa hii ya sasa hivi inavunjwa na hakuna kitu kinafanyika, ni kipi kitafanyika tofauti ili kuhakikisha hiyo mpya inazingatiwa?

Kuwa na katiba nzuri/ bora ni jambo moja lakini kuitekeleza na kuisimamia ikaleta tija ni jambo lingine na la muhimu zaidi.
 
Kwa hizi nchi zetu zisizojali utawala bora na kufuata katiba, kupata katiba mpya inaweza isilete mabadiliko makubwa sana kama wengi wanavyoaminishwa.

Ikiwa hii ya sasa hivi inavunjwa na hakuna kitu kinafanyika, ni kipi kitafanyika tofauti ili kuhakikisha hiyo mpya inazingatiwa?

Kuwa na katiba nzuri/ bora ni jambo moja lakini kuitekeleza na kuisimamia ikaleta tija ni jambo lingine na la muhimu zaidi.

La kwanza kwenye hiyo mpya kwanza ule uwepo wa mihimili iliyo huru tu. Ambapo watendaji kwenye mihimili hiyo hawatakuwa wateule wa moja kwa moja wa rais ni jambo la kheri mno.

Unaona Uhuru alivyonywea na BBI mahakamani?

Tukianzia hapo tu, mtu ukitendewa ndivyo sivyo una pa kukimbilia. Angalia leo hii mtu anawekwa ndani miaka 6 halafu anaachiliwa hakuna wa kuwajibika?

Hilo ni moja tu. Yako mengi sana!
 
😂😂😂😂😂 Bajeti si imepitishwa juzi tu na hili Bunge UCHWARA ulikuwa hufuatilii kujua ni % ngapi ya bajeti ni recurrent expenditure na % ni development expenditure!?

Hebu niione bajeti ya nchi ambayo ina matumizi asilimia ndogo ila maendeleo asilimia kubwa.
 
La kwanza kwenye hiyo mpya kwanza ule uwepo wa mihimili iliyo huru. Ambapo watendaji kwenye mihimili hiyo hawatakuwa wateule wa moja kwa moja wa rais.

Unaona Uhuru alivyonywea na BBI mahakamani?

Tukianzia hapo tu, mtu ukitendewa ndivyo sivyo una pa kukimbilia.

Hilo ni moja tu. Yako mengi.

Ndio maana nikasema, kwa sasa msisitizo mkubwa uwe zaidi kwenye tunataka katiba iweje na iwe na mambo gani ya msingi ambayo mojawapo itakua kuhakikisha inafuatwa.

Kelele za katiba mpya zinaweza kuwa nyingi, kweli ikapatikana lakini mnakuja kushtuka, haina jipya.
 
Mwenye nia ya kweli hawezi kuminya HAKI na UHURU wa vyama vya upinzani, Watanzania na vyombo vya habari ambao imo ndani ya katiba.
Mwenye nia ya kweli hawezi kutoa kauli zenye udhalimu wa kutisha kama hii.

Mimi nakubaliana na swala la Katiba Mpya.

Ila napingana na namna ambazo chadema wameamua kushughulika na swala husika.

Kwa miaka 6 wanasiasa walikua hawaongei kauli za kuashiria wanataka ugomvi na Lisu akiwa nje ya Tz alisema kuhusu kutaka kuhakikishiwa usalama arudi Tz.

As far as I know hakuhakikishiwa usalama, ila akaja, akafanya kampeni, akashiriki uchaguzi akataka kua detained akaescape.

Tumeanza na Madame President, immediately akaonyesha kujua Tz tulikua wapi na akaanza jitihada za kutibu, wakina Heri James wakaomba msamaha, waliokua wakiwakanyaga raia kwa miaka sita ghafla wakaside na raia.

Kwa ufupi ikawa inarudishwa Tz ambayo watu mnaweza kaa mezani na kujadili.

Kauli za Mbowe, Lisu na Nyagali haziashirii kama wanaona juhudi za Mama na kama ni sahihi wao kuruka stages zote na kuifikia stage ya kua jeuri na kusumbuana. These are the same people waliomuomba Magufuli wakae naye chini ili waruhusiwe kufanya mikutano. Anakuja anayeweza kuwasikiliza wanaopt kutunishiana misuli.

Ni maajabu kiukweli. Nilitarajia wawe more civil kuliko huu uamuzi.
 
😂😂😂😂😂 Bajeti si imepitishwa juzi tu na hili Bunge UCHWARA ulikuwa hufuatilii kujua ni % ngapi ya bajeti ni recurrent expenditure na % ni development expenditure!?
Itakua haujanielewa.

Kwa sababu theoretically hakuna nchi ambayo itakua na bajeti yenye asilimia kubwa kwenye maendeleo.

Haswa kwa dunia ya tatu.
 
Mwenye nia ya kweli hawezi kuminya HAKI na UHURU wa vyama vya upinzani, Watanzania na vyombo vya habari ambao imo ndani ya katiba.
Mwenye nia ya kweli hawezi kutoa kauli zenye udhalimu wa kutisha kama hii.

Kauli za Madame President zilianzishiwa uzi. Ukienda kucheki utakua comment yangu nikipoint kua amekosea.

Na kauli hizi zilikua nyingi kutoka kwa viongozi mbalimbali wa CCM kuanzia 2015 mwishoni na tunajua kwanini zilitamalaki. So kutumia kauli za kipindi hicho kuhalalisha kuruka step ya kukaa mezani mimi naona siyo kweli.
 
Mabadiliko ni makubwa sana kwani hakuna chama kitakachoweza kukaa madarakani miongo sita huku kikivurunda miaka nenda miaka rudi bila maendeleo ya kweli kwa Watanzania.
Maccm wakivurunda Watanzania tunawapiga KIBUTI, Chadema wakivurunda Watanzania tunawapiga kibuti, ACT Wazalendo wakivurunda Watanzania tunawapiga kibuti. Kutakuwa na siasa za ukweli na utendaji wa maana badala ya kutumia mtutu wa bunduki kupora chaguzi.

Na kingine nafikiri tuwe na mpango wa maendeleo wa nchi ambao utaandaliwa kwa kushirikisha wataalam wabobevu.
Mpanguo chama chochote kitakachoingia madarakani, kitapimwa kwa namna kinavyotekeleza huo mpango.

Hatuwezi kuwa tuna chezea rasirimali kila utawala mpya ukiingia madarakani, wanakuja na sarakasi zao.
 
Ingekuwa hivyo basi kungekuwa hakuna nchi zenye maendeleo duniani. Miaka ya 60 kiuchumi Tanzania ilikuwa sawa sawa kiuchumi na nchi za Singapore, Malaysia, South Korea na Indonesia na hawa walikuwa hawana rasilimali zozote zike lakini kwenye bajeti zao asilimia kubwa waliwekeza kwenye kuleta maendeleo na sera nzuri za kuwavutia investors leo hii wametuacha mbali sana kiuchumi. Sisi bado TUNADEMKA na chama MUFILISI ambacho kiko busy kukandamiza mfumo wa vyama vingi na uhuru na haki ya Watanzania kuchagua Viongozi tuwatakao.

Back
Top Bottom