Katiba Mpya: Elimu ni kwa Wasioelewa - Ushuhuda

Hao wabobezi unawapata wapi ndani ya maccm wakati wasomi wakiingizwa huko maccm au Serikalini wanaongea upuuzi puuzi tu ili kuweka mbele matumbo yao badala ya maslahi ya Watanzania? Huyu kabla ya kuingia kwenye ukatibu Mkuu alikuwa anaifagilia sana katiba mpya lakini ulevi wa madaraka ukamkimbiza kudai katiba mpya.

Na kingine nafikiri tuwe na mpango wa maendeleo wa nchi ambao utaandaliwa kwa kushirikisha wataalam wabobevu.
Mpanguo chama chochote kitakachoingia madarakani, kitapimwa kwa namna kinavyotekeleza huo mpango.

Hatuwezi kuwa tuna chezea rasirimali kila utawala mpya ukiingia madarakani, wanakuja na sarakasi zao.
 
Ingekuwa hivyo basi kungekuwa hakuna nchi zenye maendeleo duniani. Miaka ya 60 kiuchumi Tanzania ilikuwa sawa sawa kiuchumi na nchi za Singapore, Malaysia, South Korea na Indonesia na hawa walikuwa hawana rasilimali zozote zike lakini kwenye bajeti zao asilimia kubwa waliwekeza kwenye kuleta maendeleo na sera nzuri za kuwavutia investors leo hii wametuacha mbali sana kiuchumi. Sisi bado TUNADEMKA na chama MUFILISI ambacho kiko busy kukandamiza mfumo wa vyama vingi na uhuru na haki ya Watanzania kuchagua Viongozi tuwatakao.
Kwa historia niliyosoma darasani hizo nchi ulizotaja maendeleo hayakuja kwa kuwavutia investors.

Hizo nchi ziliongozwa kwa mkono wa chuma aliokua anautumia Magufuli cha mtoto. Watu waliuawa, watu walinyang'anywa ardhi na mitaji yao.

Sasa kama unawaonea wivu Malaysia na Singapore kwa maendeleo yao this means deep down ulikua unakubaliana na misimamo ya marehemu Magufuli kwakua alipunguza matumizi kwa kutoajiri wala kulipa mishahara.

Unless uniambie haukujua kama hizo nchi zilipitia hayo magumu.
 
Hao wabobezi unawapata wapi ndani ya maccm wakati wasomi wakiingizwa huko maccm au Serikalini wanaongea upuuzi puuzi tu ili kuweka mbele matumbo yao badala ya maslahi ya Watanzania? Huyu kabla ya kuingia kwenye ukatibu Mkuu alikuwa anaifagilia sana katiba mpya lakini ulevi wa madaraka ukamkimbiza kudai katiba mpya.

Sasa hapo ndio utanielewa kwanini nilisema katiba mpya inaweza isilete mabadiliko makubwa sana kama wengi wanavyotarajia.
 
Mimi nakubaliana na swala la Katiba Mpya.

Ila napingana na namna ambazo chadema wameamua kushughulika na swala husika.

Kwa miaka 6 wanasiasa walikua hawaongei kauli za kuashiria wanataka ugomvi na Lisu akiwa nje ya Tz alisema kuhusu kutaka kuhakikishiwa usalama arudi Tz.

As far as I know hakuhakikishiwa usalama, ila akaja, akafanya kampeni, akashiriki uchaguzi akataka kua detained akaescape.

Tumeanza na Madame President, immediately akaonyesha kujua Tz tulikua wapi na akaanza jitihada za kutibu, wakina Heri James wakaomba msamaha, waliokua wakiwakanyaga raia kwa miaka sita ghafla wakaside na raia.

Kwa ufupi ikawa inarudishwa Tz ambayo watu mnaweza kaa mezani na kujadili.

Kauli za Mbowe, Lisu na Nyagali haziashirii kama wanaona juhudi za Mama na kama ni sahihi wao kuruka stages zote na kuifikia stage ya kua jeuri na kusumbuana. These are the same people waliomuomba Magufuli wakae naye chini ili waruhusiwe kufanya mikutano. Anakuja anayeweza kuwasikiliza wanaopt kutunishiana misuli.

Ni maajabu kiukweli. Nilitarajia wawe more civil kuliko huu uamuzi.

Jambo la kheri sana kuwa pia unauona umuhimu wa kuwa na katiba mpya. Nilileta uzi hapa:

Kwa hakika uzi huo una yaangazia yote uliyoyaandika. Kwenye uzi huo angalau yafuatayo yaliwekwa wazi:

1. Wanaotaka katiba mpya ni wengi isipokuwa wenye uelewa usio sahihi na walio wanufaika wa moja kwa moja wa katiba iliyopo.
2. Ndani ya CCM wakiwamo vigogo pia wanataka katiba mpya.

Tatizo la #2 ni kama lako. Wakikumbuka kuwa Chadema pia watanufaika! Ohooo! Hapo inakuwa bora wabakie na iliyopo ikizingatiwa kuwa pia wao ni wanufaika.

Tatizo la #2 ni chuki yao kuelekea Chadema. Bahati mbaya ni kuwa Chadema wanaweza kuwa hawana chuki hii kuwaelekea wao.

Chuki si kitu cha kuendekeza katika jamii. Chuki ni hatari sana kwa usalama wa taifa. Tofauti hizi zilihitaji kutanzuliwa kwa busara kubwa.

Mtu kama Mama Samia kwa kukutana na Chadema na kuongea nao tu angeweza kupata taswira kamili ya watu hawa ambao wamekuwa ever wakihitaji maridhiano.

Mtu anayehitaji maridhiano hawezi kuwa mtu wa chuki.

Ni wazi kuwa wahafidhina ndani ya CCM hawataki mama akutane na Chadema kabisa. Wanajua mama akikutana nao uongo wao utajitenga. Wao wamejikita kwenye kumfarakanisha Mama kwa yeyote (hasa Chadema) na kwa lolote hata kama ni la kijinga:

Kwenye kadhia hii ninadhani CCM ni waovu zaidi kuliko Chadema. Hawataki maridhiano pamoja na kuwa misahafu yote inahubiri maridhiano.

Cc: Extrovert BAK The Boss
 
Ndio maana nikasema, kwa sasa msisitizo mkubwa uwe zaidi kwenye tunataka katiba iweje na iwe na mambo gani ya msingi ambayo mojawapo itakua kuhakikisha inafuatwa.

Kelele za katiba mpya zinaweza kuwa nyingi, kweli ikapatikana lakini mnakuja kushtuka, haina jipya.

Labda kama hujaelewa mkuu. Suala la katiba mpya si jipya:

1. Maoni ya watu yalisha kusanywa na tume ya Warioba.
2. Bunge la katiba likakaa kupitia #1 na kufanya maboresho.
3. Mchakato ule ukasimama mwishoni mwa awamu #4 (mama Samia akiwa naibu Spika hapo #2).

Kinachoongelewa sasa hivi ni kuufufua tu mchakato huo. Unakoongelea wewe kwenye katiba kuwa kuwa je, tulishatoka huko.

Au ulikuwa under 18 wakati huo mkuu?

Cc: BAK Babati
 
Seen
 
Kwanza nitake radhi jikite kwenye hoja kwamba niko under 18 linaingiaje hapa?

Kama ni kuendeleza hii rasimu iliyopo, naomba nirudie tena, inawezaleta mabadiliko kidogo sana au isilete kabisa.
 
Jambo la kheri sana kuwa pia unauona umuhimu wa kuwa na katiba mpya. Nilileta uzi hapa:

Kwa hakika uzi huo una yaangazia yote uliyoyaandika. Kwenye uzi huo angalau yafuatayo yaliwekwa wazi:

1. Wanaotaka katiba mpya ni wengi isipokuwa wenye uelewa usio sahihi na walio wanufaika wa moja kwa moja wa katiba iliyopo.
2. Ndani ya CCM wakiwamo vigogo pia wanataka katiba mpya.

Tatizo la #2 ni kama lako. Wakikumbuka kuwa Chadema pia watanufaika! Ohooo! Hapo inakuwa bora wabakie na iliyopo ikizingatiwa kuwa pia wao ni wanufaika.

Tatizo la #2 ni chuki yao kuelekea Chadema. Bahati mbaya ni kuwa Chadema wanaweza kuwa hawana chuki hii kuwaelekea wao.

Chuki si kitu cha kuendekeza katika jamii. Chuki ni hatari sana kwa usalama wa taifa. Tofauti hizi zilihitaji kutanzuliwa kwa busara kubwa.

Mtu kama Mama Samia kwa kukutana na Chadema na kuongea nao tu angeweza kupata taswira kamili ya watu hawa ambao wamekuwa ever wakihitaji maridhiano.

Mtu anayehitaji maridhiano hawezi kuwa mtu wa chuki.

Ni wazi kuwa wahafidhina ndani ya CCM hawataki mama akutane na Chadema kabisa. Wanajua mama akikutana nao uongo wao utajitenga. Wao wamejikita kwenye kumfarakanisha Mama kwa yeyote (hasa Chadema) na kwa lolote hata kama ni la kijinga:

Kwenye kadhia hii ninadhani CCM ni waovu zaidi kuliko Chadema. Hawataki maridhiano pamoja na kuwa misahafu yote inahubiri maridhiano.

Cc: Extrovert BAK The Boss
Yaani umeangalia nilichoandika na kitu ulichoona ni kusema mimi nahofia chadema kunufaika?

Inakua ngumu kidogo kama unafikia conclusion huku hauna info nyingi nyingi.

Regardless. Bado chadema wameopt kwa haraka njia ambayo inaacha maswali.
 
Kwanza nitake radhi jikite kwenye hoja kwamba niko under 18 linaingiaje hapa?

Kama ni kuendeleza hii rasimu iliyopo, naomba nirudie tena, inawezaleta mabadiliko kidogo sana au isilete kabisa.
Kwamba jamaa ana tatizo la kushindwa kuvumilia hoja na kuanza kulabel watu. Naona hata mimi kaniambia nina chuki na chadema.
 
Unapojadili jambo, lazima ukubali kusikiliza maoni ya wengine na kuelimisha kwa staha, hauwezi lazimisha watu wakubali kile unachoamini wewe kipo sahihi.
 
Kwa historia niliyosoma darasani hizo nchi ulizotaja maendeleo hayakuja kwa kuwavutia investors.

Hizo nchi ziliongozwa kwa mkono wa chuma aliokua anautumia Magufuli cha mtoto. Watu waliuawa, watu walinyang'anywa ardhi na mitaji yao.

Sasa kama unawaonea wivu Malaysia na Singapore kwa maendeleo yao this means deep down ulikua unakubaliana na misimamo ya marehemu Magufuli kwakua alipunguza matumizi kwa kutoajiri wala kulipa mishahara.

Unless uniambie haukujua kama hizo nchi zilipitia hayo magumu.

Mkuu nikushauri ku revisit historia yako huko darasani. Mkono wa chuma haujawahi kuwa na cha maana cha ku envy!

"Kwa katiba kama ya kwetu hii mkipata dikteta mzuri inaweza kusaidia katika kuleta maendeleo haraka. Lakini mkipata dikteta mbaya ni hatari mno! Ni kheri kuwa na katiba nyingine iliyo bora kuliko ku risk kuwa na dikteta mzuri." Alisikika Nyerere alipokuwa akisisitiza umuhimu wa kuwepo katiba nyingine.

Ya mwendazake yapo hapo tulipopata dikteta mbaya kwenye katiba mbaya.
 
Kwanza nitake radhi jikite kwenye hoja kwamba niko under 18 linaingiaje hapa?

Kama ni kuendeleza hii rasimu iliyopo, naomba nirudie tena, inawezaleta mabadiliko kidogo sana au isilete kabisa.

Hapo kwenye kukutaka radhi. Utakuwa hukunisoma vyema. Hilo ni swali mkuu. Mimi nimeuliza tu. Wala sijasema kama unavyotaka kunishutumu:

"Au ulikuwa under 18 wakati huo mkuu?"

Jibu lako lingeweza kuwa ndiyo au hapana katika kufahamiana zaidi tunavyojadiliana na kuwekana sawa. Lilikuwa swali la nia njema tu.

Kwamba?

"Kama ni kuendeleza hii rasimu iliyopo, naomba nirudie tena, inawezaleta mabadiliko kidogo sana au isilete kabisa."

Wewe si nabii kuyatabiri hayo. Katiba pendekezwa ulitumie in excess of 400Bn/-. Ilifanyiwa kazi kwa umahiri mkubwa. Ndiyo maana CCM wangependa kuificha kapuni. Unadhani kama ingeleta mabadiliko kidogo tu, ni kwa nini CCM wasiiridhie kirahisi hadi marumbano kupamba moto hivi?
 
Mkuu nikushauri ku revisit historia yako. Mkono wa chuma haujawahi kuwa na cha maana cha ku envy!

"Kwa katiba kama ya kwetu hii mkipata dikteta mzuri inaweza kusaidia katika kuleta maendeleo haraka. Lakini mkipata dikteta mbaya ni hatari mno! Ni kheri kuwa na katiba nyingine iliyo bora kuliko ku risk kuwa na dikteta mzuri." Alisikika Nyerere alipokuwa akisisitiza umuhimu wa kuwepo katiba nyingine.

Ya mwendazake yapo hapo tulipopata dikteta mbaya kwenye katiba mbaya.
Sasa chief nirevisit histori ipi?

Bwana BAK amesite nchi tulizowahi kua nazo sawa kiuchumi lakini zimetuacha mimi nimesema ni muda gani nchi zao ziliruka kiuchumi. Kama una hoja za kunipinga nipinge, kuniambia nirevisit ni kutaka kunichepusha huku wote ndivyo tulivyosoma nchi zao zilipopiga hatua.

Ninaweza kukutajia nchi nyingi ambazo zilisogea zikiwa kwenye udikteta na ninaweza kukutajia zilizoporomoka nyakati za udikteta.
 
Mimi wala sipingi katiba mpya, napinga timing...yani ndani ya miezi mitatu ndo mnadai katiba tena kwa mikwara. Mbona wakati katiba inasiginwa mlitukimbia.
Muda ukifika nitasimama kuidai katiba ila sio miezi mitatu hii kuna mengi ya kuyapigania kwa sasa.
 
Kwamba jamaa ana tatizo la kushindwa kuvumilia hoja na kuanza kulabel watu. Naona hata mimi kaniambia nina chuki na chadema.

Haya yanatokea wapi mkuu?

1. Tutofautishe swali na statements. Huwezi mshutumu mtu kwa kuuliza swali.
2. Kwamba umekuwa labeled?
3. Kwamba umeambiwa una chuki na Chadema?

#1 nime m address yule bwana directly nadhani kanielewa.

#2 na #3 ushahidi wako ingependeza zaidi.

Nisiache kukumbusha kuwa panapo mjadala wa nia njema tusiwekeane maneno mdomoni wala kuitana majina.

Kuulizana maswali ruksa.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hapo kwenye kukutaka radhi. Utakuwa hukunisoma vyema. Hilo ni swali mkuu. Mimi nimeuliza tu. Wala sijasema kama unavyotaka kunishutumu:

"Au ulikuwa under 18 wakati huo mkuu?"

Jibu lako lingeweza kuwa ndiyo au hapana katika kufahamiana zaidi tunavyojadiliana na kuwekana sawa. Lilikuwa swali la nia njema tu.

Kwamba?

"Kama ni kuendeleza hii rasimu iliyopo, naomba nirudie tena, inawezaleta mabadiliko kidogo sana au isilete kabisa."

Wewe si nabii kuyatabiri hayo. Katiba pendekezwa ulitumie in excess of 400Bn/-. Ilifanyiwa kazi kwa umahiri mkubwa. Ndiyo maana CCM wangependa kuificha kapuni. Unadhani kama ingeleta mabadiliko kidogo tu, ni kwa nini CCM wasiiridhie kirahisi hadi marumbano kupamba moto hivi?
Shida ilikuwa wanasiasa wanataka katiba ilinde interest zao, kila watu wanavutia kwao, muda ukifika tutashinikiza wanasiasa wasiwepo katika uhakiki wa rasimu, tena Prof Assad na Tundu Lisu ndo wawe viongozi katika hilo...hao ndo wanaume pekee walosimama na sisi, wengine walitukimbia.
 
Miezi mitatu ipi unayoihesabu hapa? Mfumo wa vyama vingi nchini ulianza tangu 1992 hivyo ni miaka 30 sasa bado tuna katiba ya chama kimoja. Na ushahidi wa hiki ninachoandika hapa ni hii kauli ya Bashiru Ally. Kwa hiyo kusema miezi mitatu si sahihi hata kidogo.

Mimi wala sipingi katiba mpya, napinga timing...yani ndani ya miezi mitatu ndo mnadai katiba tena kwa mikwara. Mbona wakati katiba inasiginwa mlitukimbia.
Muda ukifika nitasimama kuidai katiba ila sio miezi mitatu hii kuna mengi ya kuyapigania kwa sasa.
 
Hapo kwenye kukutaka radhi. Utakuwa hukunisoma vyema. Hilo ni swali mkuu. Mimi nimeuliza tu. Wala sijasema kama unavyotaka kunishutumu:

"Au ulikuwa under 18 wakati huo mkuu?"

Jibu lako lingeweza kuwa ndiyo au hapana katika kufahamiana zaidi tunavyojadiliana na kuwekana sawa. Lilikuwa swali la nia njema tu.

Kwamba?

"Kama ni kuendeleza hii rasimu iliyopo, naomba nirudie tena, inawezaleta mabadiliko kidogo sana au isilete kabisa."

Wewe si nabii kuyatabiri hayo. Katiba pendekezwa ulitumie in excess of 400Bn/-. p0Ilifanyiwa kazi kwa umahiri mkubwa. Ndiyo maana CCM wangependa kuificha kapuni. Unadhani kama ingeleta mabadiliko kidogo tu, ni kwa nini CCM wasiiridhie kirahisi hadi marumbano kupamba moto hivi?

Kunyamazia swali la kijinga ni ujinga, hapo umekosea.

Ule mchakato ulishindwa kabla ya kuanza. Nashangaa sana unataka kupima ubora wa rasimu kwa kiwango cha pesa iliyotumika.

Nikuulize swali, mambo gani makubwa mawili yapo kwenye ile rasimu unaona yataleta mapinduzi na kuondoa hii ukiukwaji wa katiba ya sasa kukoma kama ilivyo sasa?
 
Mimi wala sipingi katiba mpya, napinga timing...yani ndani ya miezi mitatu ndo mnadai katiba tena kwa mikwara. Mbona wakati katiba inasiginwa mlitukimbia.
Muda ukifika nitasimama kuidai katiba ila sio miezi mitatu hii kuna mengi ya kuyapigania kwa sasa.

1. Ni jambo la kheri kuwa pia unaona umuhimu wa katiba mpya.
2. Tofautisha kudai katiba mpya na kudai mchakato wa kuelekea katiba mpya. Mawili hayo ni tofauti.
3. Tambua kati ya mawili hayo hapo #2 ni lipi linalodaiwa sasa hivi kwenye vuguvugu hili. Inawezekana kuwa tunaongea kitu kimoja kuhusu katiba mpya.
4. Ukishajiridhisha na kinachodaiwa hapo #3, hoja yako kuwa katiba inadaiwa kwa mikwara inakuwa haisimami tena, mithili ya gunia tupu.
5. Unamaanisha nini kuwa tulikukimbieni wakati katiba inasiginwa?

Nipende kukazia: sina ufahamu wowote wa tuhuma yako kama nilivyokuwekea tena hapo #5.

Ufafanuzi wako ikiwamo kuhusiana na #5 itapendeza zaidi.
 
Back
Top Bottom