BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Katiba Mpya si kwa maslahi ya Chadema bali ya Watanzania wote kwani italinda UHURU na HAKI ya Watanzania kujadili mustakabali wa nchi, kuwakosoa walio madarakani bila woga wala vitisho kuchagua Viongozi tuwatakao bila mtutu wa bunduki kupora kura, vyombo vya habari kufanya kazi zao kwa uhuru zaidi bila hofu ya kufungiwa au wanahabari kutekwa na kuuawa au kubambikiwa kesi.
Shida ilikuwa wanasiasa wanataka katiba ilinde interest zao, kila watu wanavutia kwao, muda ukifika tutashinikiza wanasiasa wasiwepo katika uhakiki wa rasimu, tena Prof Assad na Tundu Lisu ndo wawe viongozi katika hilo...hao ndo wanaume pekee walosimama na sisi, wengine walitukimbia.