BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hao wabobezi unawapata wapi ndani ya maccm wakati wasomi wakiingizwa huko maccm au Serikalini wanaongea upuuzi puuzi tu ili kuweka mbele matumbo yao badala ya maslahi ya Watanzania? Huyu kabla ya kuingia kwenye ukatibu Mkuu alikuwa anaifagilia sana katiba mpya lakini ulevi wa madaraka ukamkimbiza kudai katiba mpya.
Na kingine nafikiri tuwe na mpango wa maendeleo wa nchi ambao utaandaliwa kwa kushirikisha wataalam wabobevu.
Mpanguo chama chochote kitakachoingia madarakani, kitapimwa kwa namna kinavyotekeleza huo mpango.
Hatuwezi kuwa tuna chezea rasirimali kila utawala mpya ukiingia madarakani, wanakuja na sarakasi zao.