Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo Wote!
1. Fikiria watu wasioweza kuishi sehemu safi, wanatupa takataka hovyohovyo,
Akitokea Bwana/Bibi afya mkali anachukiwa n kuwekewa zengwe aondolewe.
2. Nenda pale Kariakoo au Karume au soko lolote Tanzania. Bei ya kitu ni 50k na faida ipo ndani ya hiyo elfu 50 lakini utaambiwa bei mara mbili mpaka mara tatu ya bei halisi. Utaambia 120k ukishushana naye mtaenda mpaka 90k. Mtu angekuwa muadilifu kwenye kitu cha 50k kuongeza mpaka 65-70 sio mbaya. Lakini mtu mpaka 150k huko.
3. Nenda Hospitali umevaa casual alafu mwenzako anyuke suti. Utaona wewe ukipuuzwa. Fikiria watu wa aina hiyo.
4. Njoo nyumbani, Baba hakosei sijui Mzazi hakosei. Sijui Mwanaume au Mume hakosei.
Kwamba Mke amtii tuu mume wake na kumsikiliza hata kama kume anaongea mashudu, upuuzi.
Fikiria mume ku-cheat ni Sawa lakini make ku cheat ni tatizo. Jamii ya namna Hiyo.
Mume kama ni anataka kuoa aongeze mke lakini sio kuwa na michepuko ambapo inakosa haki za kijamii na kiuchumi.
5. Jamii inayoamini weupe ndio uzuri. Na kabila Fulani ndio linauwezo au kasoro fulani. Imagine.
6. Jamii ambayo kazi Fulani zinathaminiwa kuliko kazi zingine kwa kiwango kilekile cha elimu.
Jamii makini kazi zote ni Sawa
Mpishi mwenye shahada, dereva mwenye shahada, hotelia mwenye Shahada, housekeeper mwenye shahada na wafanyakazi wote wenye shahada wanatakiwa mshahara wao ulingane tofauti zijitokeze kwenye uzoefu, value anachoingiza au kuzalisha mtu kwenye kampuni au taasisi nyingine
Kwamba MTU akisomea Ushinaji au upishi akafika level ya Degree katika ushonaji na mitindo mshahara wake uwe sawa na Mwanasheria au Medical Doctor.
Hii inaleta usawa katika kazi na taaluma.
Pia inaleta heshima ndani ya jamii.
Hela inayoongezeka iwe ni uzoefu na mchango wa mhusika katika taasisi.
7. Jamii inayomkomboa mwanamke kwa kumkanyaga mwanaume.
Sheria ya kuhudumia wanawake iliwekwa kwa sababu mfumo wa zamani mwanamke hakukuwa na ulazima wa kuchapa KAZI za uzalishaji. Hivyo wengi walikuwa Mama wa nyumbani.
Unapompa kazi mwanamke alafu huondoi wajibu wa mwanaume kumhudumia huyo mwanamke unamuonea na kumnyonya mwanaume.
Pia unatengeneza tatizo jingine la Ajira kwani wale wanawake waliotakiwa kukaa nyumbani wameenda kuchukua kazi za wanaume. So wanaume na wanawake watakuwa hawana ajira na kundi kubwa la wanawake Lita hang kwani lingetakiwa kuhudumiwa lakini litahudumiwaje na wanaume wasio na kazi? Kazi zilizochukuliwa na wanawake waliopata kazi.
8. Jamii ambayo inaamini miujiza na uchawi Katiba itawasaidiaje?
Fikiria MTU amekosea atamsingizia shetani.
Fikiria mtu anakuambia upepo mbaya ulipita. Lengo ni kukimbia kuwajibika.
Mtu kama huyo katiba haina maana.
9. Jamii ambayo haitaki ukweli na inapinga wenye Akili.
10. Jamii ambayo haiwezekani Mtu kumshtaki Mama/Baba, mtoto, mkewe/mumewe, Mkwe au MTU wa karibu anapofanya uhalifu. Hiya jamii itaweza katiba mpya?
Wale Panyaroad wote, wazazi na ndugu zao wanawafahamu. Lakini ni nadra kuona Mzazi akimpeleka mtoto kwa polisi ili akafundishwe. Ngumu Sana.
Wauza madawa ya kulevya watoto na wazazi ma wake/waume karibia wote wanajua ndugu zao wanajihusisha na nini lakini ngumu Sana kusikia mtoto Fulani amshtaki Baba Yake kwa kuuza madawa, au Mzazi Fulani amshtaki mtoto wake Kwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya. Zaidi Sana utawaona wakizitumia na kufurahia pesa za uhalifu.
11. Jamii ambayo MTU anaamini kiongozi au mtawala anahaki ya kuvunja Sheria kufanya uhalifu na dhulma.
Fikiria mimi ni Rais wa nchi yetu. Kijana wako ananitukana matusi ya nguoni. Mimi kwa hasira zilizokosa uadilifu namkamata na kumpoteza.
Alafu ndani ya Jamii utasikia watu wakisema eenhee! Akome unamtukanaje Rais Robert hivyo. Akome! Watu wenye akili humkemea kijana lakini lazima wanikemee na mimi na kuniwajibisha bila kujali urais wangu. Ukubwa na cheo sio tiketi ya kuvunja Sheria na kuwaonea wengine hata kama wamekukosea.
Sheria zifuatwe
12. Jamii ambayo unakuta mtu anampiga mkewe. Alafu anasema anampiga kisa ni mkewe na asiingiliwe
Mkeo huna sababu hata Moja ya kumpiga hata Kofi Moja. Ni ukatili lakini kuvunjiana heshima na kujivunjia mwenyewe heshima.
Watu wazima hawapigani tena wajinsia mbili tofauti.
Amekushinda au hamuelewani mpe talaka.
Kufikia hapo sina la ziada.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam