Katiba mpya haina maana kwenye watu wenye fikra za zamani za Giza/potofu

Katiba mpya haina maana kwenye watu wenye fikra za zamani za Giza/potofu

watoto kutokuheshimu wazazi wao tangu kuzaliwa kwao, hupelekea vijana wengi wa sasa kukosa maadili mema na baraka za wazazi wao na kujikuta hakuna wanachojali katika jamii wanamoishi.
wanaakili za kufuata mkumbo tu na si vinginevyo,

mazingira mabaya na machafu hupelekea wengi kua na mawazo mabaya na machafu zaidi.
tuwajibike kufanya usafi wa mazingira yetu bila kusingizia kisichohusika.

ni muhimu wazazi kuwajibika ipasavyo kwenye malezi, kutegemea viongozi wa dini ambao kwasasa ni wafanyabiashara wa kinini au kutegemea taasisi za umma kama vile shule na vyuo hakumpi kijana ukamilifu wa kimaadili.

wazazi ndio msingi wa mmomonyoko wa maadili ya jamii kwa sasa na sio katiba mpya.
tabia ya uchafu wa mazingira, uchafu wa mwili na roho unatokana na msingi mbovu wa malezi ya wazazi kwa jamii hiyo.

katiba mpya isiwe kichaka cha kuficha kutokuwajibika kwa wazaizi kwenye malezi ya vijana wao.
katiba mpya au ya zamani viendelea kua nyenzo muhimu ya kuleta usawa na ustaarabu wa maisha ya usawa kwa waTanzania wote.
Nyie chawa na wezi wa kura ndio mnaharibu maadilii ya watoto wetu, mnatakiwa kufungwa na kazi ngumu nyie
 
Ustaarabu ndo kila kitu kwenye maisha ya wanadamu
 
Back
Top Bottom