Katiba mpya haina maana kwenye watu wenye fikra za zamani za Giza/potofu

Degree ni degree Mzee
Wote mpewe mishahara sawa.
Ila tofauti itakuja kwenye value ya kile unachozalisha Kazini.

Humohumo kwenye injinia wote mna degree lakini anayezalisha na mwenye tija zaidi apewe zaidi
Uzito wa digrii ya Engineering uwe sawa na digrii ya Housekeeping? 🤔

Engineering imekaa paleeee inakucheki tu. 👀👓
Physics inakusubiri utaje japo nchi moja tu yenye katiba imara ambayo wanalipa hivyo.

Leo hii Engineer na Housekeeper walipwe sawa. Aisee!

Mkuu, unatafuta usawa ambao haupo ulimwenguni, na hata kwa wenye imani za kuamini katika afterlife wanajua kuwa na huko "in the afterlife" huwa nako hakuna usawa (equality).

Mkuu, au umeweka hicho kipengele "namba 6" kwa makusudi ili kuchangamsha genge.? 🤔
 
Kama ni mitizamo potofu hata hao wenye katiba zao bora hawajaweza kufuta kabisa hiyo mitizamo potofu katika jamii zao. Mfano mzuri ni ubaguzi wa rangi upo hadi leo kwenye jamii zao. Hayo madawa ya kulevya ndo yanatengenezwa hukohuko na kutumiwa kwa sana tu. Mauaji ya kutumia silaha yameshamiri huko kwenye hizo jamii, Hayo yote yanatokana na fikra au mitizamo potofu.

Au Mtibeli tupe ideal example ya jamii inayostahili katiba bora na ya kisasa isiyo na mitizamo potofu.

Mitizamo potofu ipo katika jamii zote duniani, na inazaliwa kila siku.
 
Hamjambo Wote!

1. Fikiria watu wasioweza kuishi sehemu safi, wanatupa takataka hovyohovyo,
Akitokea Bwana/Bibi afya mkali anachukiwa n kuwekewa zengwe aondolewe.

2. Nenda pale Kariakoo au Karume au soko lolote Tanzania. Bei ya kitu ni 50k na faida ipo ndani ya hiyo elfu 50 lakini utaambiwa bei mara mbili mpaka mara tatu ya bei halisi. Utaambia 120k ukishushana naye mtaenda mpaka 90k. Mtu angekuwa muadilifu kwenye kitu cha 50k kuongeza mpaka 65-70 sio mbaya. Lakini mtu mpaka 150k huko.

3. Nenda Hospitali umevaa casual alafu mwenzako anyuke suti. Utaona wewe ukipuuzwa. Fikiria watu wa aina hiyo.

4. Njoo nyumbani, Baba hakosei sijui Mzazi hakosei. Sijui Mwanaume au Mume hakosei.
Kwamba Mke amtii tuu mume wake na kumsikiliza hata kama kume anaongea mashudu, upuuzi.
Fikiria mume ku-cheat ni Sawa lakini make ku cheat ni tatizo. Jamii ya namna Hiyo.
Mume kama ni anataka kuoa aongeze mke lakini sio kuwa na michepuko ambapo inakosa haki za kijamii na kiuchumi.

5. Jamii inayoamini weupe ndio uzuri. Na kabila Fulani ndio linauwezo au kasoro fulani. Imagine.

6. Jamii ambayo kazi Fulani zinathaminiwa kuliko kazi zingine kwa kiwango kilekile cha elimu.
Jamii makini kazi zote ni Sawa
Mpishi mwenye shahada, dereva mwenye shahada, hotelia mwenye Shahada, housekeeper mwenye shahada na wafanyakazi wote wenye shahada wanatakiwa mshahara wao ulingane tofauti zijitokeze kwenye uzoefu, value anachoingiza au kuzalisha mtu kwenye kampuni au taasisi nyingine

Kwamba MTU akisomea Ushinaji au upishi akafika level ya Degree katika ushonaji na mitindo mshahara wake uwe sawa na Mwanasheria au Medical Doctor.
Hii inaleta usawa katika kazi na taaluma.
Pia inaleta heshima ndani ya jamii.
Hela inayoongezeka iwe ni uzoefu na mchango wa mhusika katika taasisi.

7. Jamii inayomkomboa mwanamke kwa kumkanyaga mwanaume.
Sheria ya kuhudumia wanawake iliwekwa kwa sababu mfumo wa zamani mwanamke hakukuwa na ulazima wa kuchapa KAZI za uzalishaji. Hivyo wengi walikuwa Mama wa nyumbani.

Unapompa kazi mwanamke alafu huondoi wajibu wa mwanaume kumhudumia huyo mwanamke unamuonea na kumnyonya mwanaume.
Pia unatengeneza tatizo jingine la Ajira kwani wale wanawake waliotakiwa kukaa nyumbani wameenda kuchukua kazi za wanaume. So wanaume na wanawake watakuwa hawana ajira na kundi kubwa la wanawake Lita hang kwani lingetakiwa kuhudumiwa lakini litahudumiwaje na wanaume wasio na kazi? Kazi zilizochukuliwa na wanawake waliopata kazi.

8. Jamii ambayo inaamini miujiza na uchawi Katiba itawasaidiaje?
Fikiria MTU amekosea atamsingizia shetani.
Fikiria mtu anakuambia upepo mbaya ulipita. Lengo ni kukimbia kuwajibika.
Mtu kama huyo katiba haina maana.

9. Jamii ambayo haitaki ukweli na inapinga wenye Akili.

10. Jamii ambayo haiwezekani Mtu kumshtaki Mama/Baba, mtoto, mkewe/mumewe, Mkwe au MTU wa karibu anapofanya uhalifu. Hiya jamii itaweza katiba mpya?
Wale Panyaroad wote, wazazi na ndugu zao wanawafahamu. Lakini ni nadra kuona Mzazi akimpeleka mtoto kwa polisi ili akafundishwe. Ngumu Sana.

Wauza madawa ya kulevya watoto na wazazi ma wake/waume karibia wote wanajua ndugu zao wanajihusisha na nini lakini ngumu Sana kusikia mtoto Fulani amshtaki Baba Yake kwa kuuza madawa, au Mzazi Fulani amshtaki mtoto wake Kwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya. Zaidi Sana utawaona wakizitumia na kufurahia pesa za uhalifu.

11. Jamii ambayo MTU anaamini kiongozi au mtawala anahaki ya kuvunja Sheria kufanya uhalifu na dhulma.
Fikiria mimi ni Rais wa nchi yetu. Kijana wako ananitukana matusi ya nguoni. Mimi kwa hasira zilizokosa uadilifu namkamata na kumpoteza.
Alafu ndani ya Jamii utasikia watu wakisema eenhee! Akome unamtukanaje Rais Robert hivyo. Akome! Watu wenye akili humkemea kijana lakini lazima wanikemee na mimi na kuniwajibisha bila kujali urais wangu. Ukubwa na cheo sio tiketi ya kuvunja Sheria na kuwaonea wengine hata kama wamekukosea.
Sheria zifuatwe

12. Jamii ambayo unakuta mtu anampiga mkewe. Alafu anasema anampiga kisa ni mkewe na asiingiliwe
Mkeo huna sababu hata Moja ya kumpiga hata Kofi Moja. Ni ukatili lakini kuvunjiana heshima na kujivunjia mwenyewe heshima.
Watu wazima hawapigani tena wajinsia mbili tofauti.
Amekushinda au hamuelewani mpe talaka.

Kufikia hapo sina la ziada.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam

Kwa mtazamo wangu naona Katiba mpya itasaidia kubadilisha watu wenye fikra za zamani za Giza/potofu.​

Tupate katiba ambayo italeta mageuzi kwenye uongozi, Katiba itakayo chochea uwajibikaji na uwajibishwaji wa viongozi.
 
namba 6.

kwamba mimi na digrii yangu ya Hoteli nilipwe sawa na digrii ya Electrical engineering?
eti kisa tu wote tuna digrii? 🤔

Mkuu, hebu fafanua vizuri, maana hiki ni kichekesho, kichekeshokutwa na kichejana.
Demand and supply zitaamua mshahara wako sio aina ya degree, kuna Engineers wengi tuu wanaendesha bodaboda, maana yake market ndio imeamua huo ndio mshahara wao
 
Kwa mtazamo wangu naona Katiba mpya itasaidia kubadilisha watu wenye fikra za zamani za Giza/potofu.​

Tupate katiba ambayo italeta mageuzi kwenye uongozi, Katiba itakayo chochea uwajibikaji na uwajibishwaji wa viongozi.

Upo sahihi kwa kiasi Fulani.
Katiba mpya bila viongozi waadilifu haina maana sana
 
Demand and supply zitaamua mshahara wako sio aina ya degree, kuna Engineers wengi tuu wanaendesha bodaboda, maana yake market ndio imeamua huo ndio mshahara wao
Okay Sawa.. ila hiyo ajira hapo ya ku-ride bodaboda ni non-engineering, na it's okay kwa engineer kufanya chochote halali ili mradi mkono uende kinywani.

ila mjadala hapa ni:-,
👇🏽
Engineer mwenye digrii aliyepo kwenye sekta rasmi (na ambaye kaajiriwa kufanya engineering job)

na Housekeeper mwenye digrii ya Housekeeping aliyepo kwenye sekta rasmi pia (ambaye kaajiriwa kufanya Housekeeping job).

Je, wote walipwe sawa? eti kwa kigezo tu cha kwamba degree ni degree? 🤔

Pasipo kuevaluate uzito na umuhimu wa kozi zao.?
Kwamba uzito, kipaumbele na umuhimu wa hizo digrii kwa jamii uwe sawa kweli? 🤔
 
Kama watu ndani ya jamii wanashindwa kumzuia mtu anayetupa takataka hovyo, wanashindwa kuwataja panyaroad kisa ni watoto wao. Wataweza kuwabana Viongozi wenye nguvu ya kifedha?
malezi vs utawala..kama ni hvo kwanini tuanze kudai mifumo ya mabadiliko wakati jamii yenyewe haitaki kubadilika? Kwahyo sahv mnatuludisha kwenye malezi kwanza, kwanin majiji ya miji yakiwa machafu tunaanza kuwalaumu viongozi wakati jamii yenyewe imeshindwa kujisimamia? kwanini Rushwa na ufisadi vikishamiri viongozi hulaumiwa wakati jamii imeshindwa kuvisimamia na kuvielimisha katika familia zao? kwanini haki ikikosekana viongozi hulaumiwa wakati hao hao viongozi wametoka kwenye familia? sasa wewe unaona kipi bora kuanza...Jamii kupata msasa wa elimu vs Katiba mpya ikiwa pamoja na kufumua mifumo ya sasa ya upatikani wa viongozi sambamba na tume huru ya uchaguzi?? SHIKAMOOO SIASA.
 
Okay Sawa.. ila hiyo hapo ku-ride bodaboda ni non-engineering., na it's okay kufanya chochote halali ili mkono uende kinywani.

ila point hapa ni, Engineer aliyepo kwenye sekta rasmi (na ambaye kaajiriwa kufanya engineering job) na Housekeeper aliyepo kwenye sekta rasmi pia (ambaye kaajiriwa kufanya Housekeeping job).

Je, wote walipwe sawa? eti kwa kigezo tu cha kwamba wote wanayo respective intellectual degree zao?

Kwamba ukijiriwa kufanya Housekeeping job kwa kupitia digrii yako ya Housekeeping, eti ulipwe sawa na Engineer aliyeajiriwa kwa digrii yake ya Engineering kufanya engineering job.
Kwa kigezo kwamba digrii ni digrii. 🤔
I get it, lakini in the real world mambo huwa complicated, the price is what the buyer and seller are willing to agree on, mwisho wa siku, market ndiyo inaamua ulipwe ngapi
 
Hamjambo Wote!

1. Fikiria watu wasioweza kuishi sehemu safi, wanatupa takataka hovyohovyo,
Akitokea Bwana/Bibi afya mkali anachukiwa n kuwekewa zengwe aondolewe.

2. Nenda pale Kariakoo au Karume au soko lolote Tanzania. Bei ya kitu ni 50k na faida ipo ndani ya hiyo elfu 50 lakini utaambiwa bei mara mbili mpaka mara tatu ya bei halisi. Utaambia 120k ukishushana naye mtaenda mpaka 90k. Mtu angekuwa muadilifu kwenye kitu cha 50k kuongeza mpaka 65-70 sio mbaya. Lakini mtu mpaka 150k huko.

3. Nenda Hospitali umevaa casual alafu mwenzako anyuke suti. Utaona wewe ukipuuzwa. Fikiria watu wa aina hiyo.

4. Njoo nyumbani, Baba hakosei sijui Mzazi hakosei. Sijui Mwanaume au Mume hakosei.
Kwamba Mke amtii tuu mume wake na kumsikiliza hata kama kume anaongea mashudu, upuuzi.
Fikiria mume ku-cheat ni Sawa lakini make ku cheat ni tatizo. Jamii ya namna Hiyo.
Mume kama ni anataka kuoa aongeze mke lakini sio kuwa na michepuko ambapo inakosa haki za kijamii na kiuchumi.

5. Jamii inayoamini weupe ndio uzuri. Na kabila Fulani ndio linauwezo au kasoro fulani. Imagine.

6. Jamii ambayo kazi Fulani zinathaminiwa kuliko kazi zingine kwa kiwango kilekile cha elimu.
Jamii makini kazi zote ni Sawa
Mpishi mwenye shahada, dereva mwenye shahada, hotelia mwenye Shahada, housekeeper mwenye shahada na wafanyakazi wote wenye shahada wanatakiwa mshahara wao ulingane tofauti zijitokeze kwenye uzoefu, value anachoingiza au kuzalisha mtu kwenye kampuni au taasisi nyingine

Kwamba MTU akisomea Ushinaji au upishi akafika level ya Degree katika ushonaji na mitindo mshahara wake uwe sawa na Mwanasheria au Medical Doctor.
Hii inaleta usawa katika kazi na taaluma.
Pia inaleta heshima ndani ya jamii.
Hela inayoongezeka iwe ni uzoefu na mchango wa mhusika katika taasisi.

7. Jamii inayomkomboa mwanamke kwa kumkanyaga mwanaume.
Sheria ya kuhudumia wanawake iliwekwa kwa sababu mfumo wa zamani mwanamke hakukuwa na ulazima wa kuchapa KAZI za uzalishaji. Hivyo wengi walikuwa Mama wa nyumbani.

Unapompa kazi mwanamke alafu huondoi wajibu wa mwanaume kumhudumia huyo mwanamke unamuonea na kumnyonya mwanaume.
Pia unatengeneza tatizo jingine la Ajira kwani wale wanawake waliotakiwa kukaa nyumbani wameenda kuchukua kazi za wanaume. So wanaume na wanawake watakuwa hawana ajira na kundi kubwa la wanawake Lita hang kwani lingetakiwa kuhudumiwa lakini litahudumiwaje na wanaume wasio na kazi? Kazi zilizochukuliwa na wanawake waliopata kazi.

8. Jamii ambayo inaamini miujiza na uchawi Katiba itawasaidiaje?
Fikiria MTU amekosea atamsingizia shetani.
Fikiria mtu anakuambia upepo mbaya ulipita. Lengo ni kukimbia kuwajibika.
Mtu kama huyo katiba haina maana.

9. Jamii ambayo haitaki ukweli na inapinga wenye Akili.

10. Jamii ambayo haiwezekani Mtu kumshtaki Mama/Baba, mtoto, mkewe/mumewe, Mkwe au MTU wa karibu anapofanya uhalifu. Hiya jamii itaweza katiba mpya?
Wale Panyaroad wote, wazazi na ndugu zao wanawafahamu. Lakini ni nadra kuona Mzazi akimpeleka mtoto kwa polisi ili akafundishwe. Ngumu Sana.

Wauza madawa ya kulevya watoto na wazazi ma wake/waume karibia wote wanajua ndugu zao wanajihusisha na nini lakini ngumu Sana kusikia mtoto Fulani amshtaki Baba Yake kwa kuuza madawa, au Mzazi Fulani amshtaki mtoto wake Kwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya. Zaidi Sana utawaona wakizitumia na kufurahia pesa za uhalifu.

11. Jamii ambayo MTU anaamini kiongozi au mtawala anahaki ya kuvunja Sheria kufanya uhalifu na dhulma.
Fikiria mimi ni Rais wa nchi yetu. Kijana wako ananitukana matusi ya nguoni. Mimi kwa hasira zilizokosa uadilifu namkamata na kumpoteza.
Alafu ndani ya Jamii utasikia watu wakisema eenhee! Akome unamtukanaje Rais Robert hivyo. Akome! Watu wenye akili humkemea kijana lakini lazima wanikemee na mimi na kuniwajibisha bila kujali urais wangu. Ukubwa na cheo sio tiketi ya kuvunja Sheria na kuwaonea wengine hata kama wamekukosea.
Sheria zifuatwe

12. Jamii ambayo unakuta mtu anampiga mkewe. Alafu anasema anampiga kisa ni mkewe na asiingiliwe
Mkeo huna sababu hata Moja ya kumpiga hata Kofi Moja. Ni ukatili lakini kuvunjiana heshima na kujivunjia mwenyewe heshima.
Watu wazima hawapigani tena wajinsia mbili tofauti.
Amekushinda au hamuelewani mpe talaka.

Kufikia hapo sina la ziada.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
watoto kutokuheshimu wazazi wao tangu kuzaliwa kwao, hupelekea vijana wengi wa sasa kukosa maadili mema na baraka za wazazi wao na kujikuta hakuna wanachojali katika jamii wanamoishi.
wanaakili za kufuata mkumbo tu na si vinginevyo,

mazingira mabaya na machafu hupelekea wengi kua na mawazo mabaya na machafu zaidi.
tuwajibike kufanya usafi wa mazingira yetu bila kusingizia kisichohusika.

ni muhimu wazazi kuwajibika ipasavyo kwenye malezi, kutegemea viongozi wa dini ambao kwasasa ni wafanyabiashara wa kinini au kutegemea taasisi za umma kama vile shule na vyuo hakumpi kijana ukamilifu wa kimaadili.

wazazi ndio msingi wa mmomonyoko wa maadili ya jamii kwa sasa na sio katiba mpya.
tabia ya uchafu wa mazingira, uchafu wa mwili na roho unatokana na msingi mbovu wa malezi ya wazazi kwa jamii hiyo.

katiba mpya isiwe kichaka cha kuficha kutokuwajibika kwa wazaizi kwenye malezi ya vijana wao.
katiba mpya au ya zamani viendelea kua nyenzo muhimu ya kuleta usawa na ustaarabu wa maisha ya usawa kwa waTanzania wote.
 
Fikiria watu wasioweza kuishi sehemu safi, wanatupa takataka hovyohovyo,
Akitokea Bwana/Bibi afya mkali anachukiwa n kuwekewa zengwe aondolewe.
Kila kitu nikujifunza, hata hao unaowaona wanafanya vile inapotakiwa walijufunza vile vile.

Na kwenye kujifunza hadi kufika hatua ya uwelewa inachukua kipindi cha muda. Hakuna jambo lisiloshindikana
 
Unafikiri kwa nini wasilipwe Sawa ikiwa wote Wana degree?

Wewe ni wale wanaofikiria kazi Fulani ni Bora kuliko nyingine?
Nataka hoja yako kwa nini MD alipwe pesa nyingi kuliko Mpishi mwenye degree.

Mjadala huu watu tutajifunza mengi
Ktk mfumo wowote wenye tija soko ndo linapanga bei siyo cheti. Halafu vyeti vyenyewe hivyo vya University of Lindi ndo ulipwe sawa na mhitimu wa Harvard University kisa wote mna degree. Hebu kuwa serious.
 
Okay Sawa.. ila hiyo ajira hapo ya ku-ride bodaboda ni non-engineering, na it's okay kwa engineer kufanya chochote halali ili mradi mkono uende kinywani.

ila mjadala hapa ni, Engineer mwenye digrii aliyepo kwenye sekta rasmi (na ambaye kaajiriwa kufanya engineering job)

na Housekeeper mwenye digrii ya Housekeeping aliyepo kwenye sekta rasmi pia (ambaye kaajiriwa kufanya Housekeeping job).

Je, wote walipwe sawa? eti kwa kigezo tu cha kwamba degree ni degree? 🤔

Pasipo kuevaluate uzito na umuhimu wa kozi zao.?
Kwamba uzito, kipaumbele na umuhimu wa hizo digrii kwa jamii uwe sawa kweli? 🤔
Yes Engineer utalipwa zaidi kama wanakuhitaji😁
 
Uzito wa digrii ya Engineering uwe sawa na digrii ya Housekeeping? 🤔

Engineering imekaa paleeee inakucheki tu. 👀👓
Physics inakusubiri utaje japo nchi moja tu yenye katiba imara ambayo wanalipa hivyo.

Leo hii Engineer na Housekeeper walipwe sawa. Aisee!

Hiki ni kichekesho ambacho inatakiwa utume neno "Comedy" kwenda namba "255" (TZ) ili kupata kibonzo vingine kingine km hiki.

Mkuu, unatafuta usawa ambao haupo ulimwenguni, na hata kwa wenye imani za kuamini katika afterlife wanajua kuwa na huko "in the afterlife" huwa nako hakuna usawa (equality).

Mkuu, au umeweka hicho kipengele "namba 6" kwa makusudi ili kuchangamsha genge.? 🤔
Inawezekana kabisaa housekeeper kuingiza pesa sawa na engineer kama soko likiamua iwe hivyo. Ndiyo maana daktari wa Tz halipwi sawa na daktari wa USA.
 
Hapo sasa umecompare nchi mbili (cost of living huwa ni tofauti nchi moja na nyingine)
Hapa tu-deal na nchi moja moja, ndani ya nchi husika.
Hata kwa USA, kwenye sekta rasmi hawalipi ujira sawa kwa digrii zote.

Sawa, market itaamua (supply & demand) ila ukiona demand ipo juu na supply ipo chini, basi ujue hata kukipata hicho kitu sio rahisi.
Maana mchakato ni mgumu, mrefu, n.k.

Hapo inaturudisha sasa kwa mjadala, Je mchakato wa kuzipata hizo digrii unafanana?

Dunia nzima, hakunaga nchi yenye soko la hivyo la kulipa watu sawa eti kisa wote wanazo digrii, kwa kigezo kwamba "digrii ni digrii tu" eti walipe sawa.
 
Hamjambo Wote!

1. Fikiria watu wasioweza kuishi sehemu safi, wanatupa takataka hovyohovyo,
Akitokea Bwana/Bibi afya mkali anachukiwa n kuwekewa zengwe aondolewe.

2. Nenda pale Kariakoo au Karume au soko lolote Tanzania. Bei ya kitu ni 50k na faida ipo ndani ya hiyo elfu 50 lakini utaambiwa bei mara mbili mpaka mara tatu ya bei halisi. Utaambia 120k ukishushana naye mtaenda mpaka 90k. Mtu angekuwa muadilifu kwenye kitu cha 50k kuongeza mpaka 65-70 sio mbaya. Lakini mtu mpaka 150k huko.

3. Nenda Hospitali umevaa casual alafu mwenzako anyuke suti. Utaona wewe ukipuuzwa. Fikiria watu wa aina hiyo.

4. Njoo nyumbani, Baba hakosei sijui Mzazi hakosei. Sijui Mwanaume au Mume hakosei.
Kwamba Mke amtii tuu mume wake na kumsikiliza hata kama kume anaongea mashudu, upuuzi.
Fikiria mume ku-cheat ni Sawa lakini make ku cheat ni tatizo. Jamii ya namna Hiyo.
Mume kama ni anataka kuoa aongeze mke lakini sio kuwa na michepuko ambapo inakosa haki za kijamii na kiuchumi.

5. Jamii inayoamini weupe ndio uzuri. Na kabila Fulani ndio linauwezo au kasoro fulani. Imagine.

6. Jamii ambayo kazi Fulani zinathaminiwa kuliko kazi zingine kwa kiwango kilekile cha elimu.
Jamii makini kazi zote ni Sawa
Mpishi mwenye shahada, dereva mwenye shahada, hotelia mwenye Shahada, housekeeper mwenye shahada na wafanyakazi wote wenye shahada wanatakiwa mshahara wao ulingane tofauti zijitokeze kwenye uzoefu, value anachoingiza au kuzalisha mtu kwenye kampuni au taasisi nyingine

Kwamba MTU akisomea Ushinaji au upishi akafika level ya Degree katika ushonaji na mitindo mshahara wake uwe sawa na Mwanasheria au Medical Doctor.
Hii inaleta usawa katika kazi na taaluma.
Pia inaleta heshima ndani ya jamii.
Hela inayoongezeka iwe ni uzoefu na mchango wa mhusika katika taasisi.

7. Jamii inayomkomboa mwanamke kwa kumkanyaga mwanaume.
Sheria ya kuhudumia wanawake iliwekwa kwa sababu mfumo wa zamani mwanamke hakukuwa na ulazima wa kuchapa KAZI za uzalishaji. Hivyo wengi walikuwa Mama wa nyumbani.

Unapompa kazi mwanamke alafu huondoi wajibu wa mwanaume kumhudumia huyo mwanamke unamuonea na kumnyonya mwanaume.
Pia unatengeneza tatizo jingine la Ajira kwani wale wanawake waliotakiwa kukaa nyumbani wameenda kuchukua kazi za wanaume. So wanaume na wanawake watakuwa hawana ajira na kundi kubwa la wanawake Lita hang kwani lingetakiwa kuhudumiwa lakini litahudumiwaje na wanaume wasio na kazi? Kazi zilizochukuliwa na wanawake waliopata kazi.

8. Jamii ambayo inaamini miujiza na uchawi Katiba itawasaidiaje?
Fikiria MTU amekosea atamsingizia shetani.
Fikiria mtu anakuambia upepo mbaya ulipita. Lengo ni kukimbia kuwajibika.
Mtu kama huyo katiba haina maana.

9. Jamii ambayo haitaki ukweli na inapinga wenye Akili.

10. Jamii ambayo haiwezekani Mtu kumshtaki Mama/Baba, mtoto, mkewe/mumewe, Mkwe au MTU wa karibu anapofanya uhalifu. Hiya jamii itaweza katiba mpya?
Wale Panyaroad wote, wazazi na ndugu zao wanawafahamu. Lakini ni nadra kuona Mzazi akimpeleka mtoto kwa polisi ili akafundishwe. Ngumu Sana.

Wauza madawa ya kulevya watoto na wazazi ma wake/waume karibia wote wanajua ndugu zao wanajihusisha na nini lakini ngumu Sana kusikia mtoto Fulani amshtaki Baba Yake kwa kuuza madawa, au Mzazi Fulani amshtaki mtoto wake Kwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya. Zaidi Sana utawaona wakizitumia na kufurahia pesa za uhalifu.

11. Jamii ambayo MTU anaamini kiongozi au mtawala anahaki ya kuvunja Sheria kufanya uhalifu na dhulma.
Fikiria mimi ni Rais wa nchi yetu. Kijana wako ananitukana matusi ya nguoni. Mimi kwa hasira zilizokosa uadilifu namkamata na kumpoteza.
Alafu ndani ya Jamii utasikia watu wakisema eenhee! Akome unamtukanaje Rais Robert hivyo. Akome! Watu wenye akili humkemea kijana lakini lazima wanikemee na mimi na kuniwajibisha bila kujali urais wangu. Ukubwa na cheo sio tiketi ya kuvunja Sheria na kuwaonea wengine hata kama wamekukosea.
Sheria zifuatwe

12. Jamii ambayo unakuta mtu anampiga mkewe. Alafu anasema anampiga kisa ni mkewe na asiingiliwe
Mkeo huna sababu hata Moja ya kumpiga hata Kofi Moja. Ni ukatili lakini kuvunjiana heshima na kujivunjia mwenyewe heshima.
Watu wazima hawapigani tena wajinsia mbili tofauti.
Amekushinda au hamuelewani mpe talaka.

Kufikia hapo sina la ziada.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kwa hayo yote unahitimisha kwamba hatuhitaji katiba ilyo nzuri? Au una maana gani?
 
watoto kutokuheshimu wazazi wao tangu kuzaliwa kwao, hupelekea vijana wengi wa sasa kukosa maadili mema na baraka za wazazi wao na kujikuta hakuna wanachojali katika jamii wanamoishi.
wanaakili za kufuata mkumbo tu na si vinginevyo,

mazingira mabaya na machafu hupelekea wengi kua na mawazo mabaya na machafu zaidi.
tuwajibike kufanya usafi wa mazingira yetu bila kusingizia kisichohusika.

ni muhimu wazazi kuwajibika ipasavyo kwenye malezi, kutegemea viongozi wa dini ambao kwasasa ni wafanyabiashara wa kinini au kutegemea taasisi za umma kama vile shule na vyuo hakumpi kijana ukamilifu wa kimaadili.

wazazi ndio msingi wa mmomonyoko wa maadili ya jamii kwa sasa na sio katiba mpya.
tabia ya uchafu wa mazingira, uchafu wa mwili na roho unatokana na msingi mbovu wa malezi ya wazazi kwa jamii hiyo.

katiba mpya isiwe kichaka cha kuficha kutokuwajibika kwa wazaizi kwenye malezi ya vijana wao.
katiba mpya au ya zamani viendelea kua nyenzo muhimu ya kuleta usawa na ustaarabu wa maisha ya usawa kwa waTanzania wote.

Mtoto anakosaje maadili wakati wazazi na jamii yake inamaadili?

Mtoto anazaliwa akiwa hana ajualo.
 
Umezunguka sana mkuu mwisho wa siku mfumo imara wa serikali ni muhimu, nchi yoyote ile mazingira wanayoishi watu duni hakuna ustaarabu tukianzia hapa dsm iko wazi, apo ungetueleza namna ya kupunguza umaskini.
 
Back
Top Bottom