KATIBA Mpya haitamruhusu Profesa Ibrahim Haruna Lipumba kugombea urais, CUF mwafa

Lipumba na Seif lazima tuwaogope kama tunavyoogopa CCM. Wapo tayari kwa lolote, ili wao na familia zao waishi maisha mazuri.

hivi lipumba ana familia kweli? maana nijuavyo mie familia huundwa na baba, mama na mtoto/watoto
 
anajishaua tu lipumba. ccm ilisimama kwa miguu yake wala haikuhitaji mbeleko za mtu yeyote. zile ni siasa za maji taka ili waislam wamwonee huruma. kwanza hata elimu ya dini ya kiislam haijui

umeonae
 

Hapa usitegee arudi kukujibu.
 

Alipohojiwa kwa nini amehudhuria sherehe za kuapishwa baada ya mheshiwa rais kuapishwa mbona alisema siasa siyo vita kwa nini hakusema ni kwa sababu aliokoa jahazi.
 
bahati mbaya natumia mchina mkuu ungepata like na rep za kutosha bravo.
 

una kizunguzungu wewe, mbona hapo kwenye red chadema imekufa??? au ndio zile zile za kuchukua tuhuma zenu kuwageuzia wenzenu
 
Kweli kunawatu hawana akili dunia hii hii ya kifoi mpya

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
ukiona kwa mwenzio kunaungua ujue kwako kunateketea,mtoa mada huu ni utashi wako hatuukatai lakini kwa namna nyingine ungetupa maelezo ya yule mchungaji mgombea urais wa Chadema na harakati zake kanisani
 
Amewaokota wajinga eti duniani kuna maprofesa saba tu nae ni miongoni mwao kweli akiri ni nywele

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
una kizunguzungu wewe, mbona hapo kwenye red chadema imekufa??? au ndio zile zile za kuchukua tuhuma zenu kuwageuzia wenzenu

Si kosa lako. Hujaliona ile video nini. Ukiiona utamkimbia profesa kila unapomuona. Eti anakiri wazi na hadharani kuwa yeye ni wakala na mamluki wa CCM na kwamba CUF na CCM ni damu damu, lakini kwa misingi ya udini.

Itafute kwa uwezo wako, vinginevyo nawe utakuwa umeshiriki huo uovu wa profesa huyo.
 
mke wake aliporwa na slaa

Basi kumbe Dkt. Slaa ni nouuuuuuuuma kweli kweli...tayari anaye mwislamu pia...yaani aliyekuwa muke ya profesa mamluki na wakala wa CCM...

Inafurahisha sana.

Eti Mtatiro anaita CUF chama cha upinzani...upinzani? Anajua maana ya upinzani au anaisikia tu redioni.

Mwambieni profesa mambo ya kutumika na CCM kuumiza nchi hii kuendeleza ufisadi na ubadhirifu aache na ile ndoa ya kule visiwani ivunjwe ndiyo muanze kuomba kibali cha kuwa nanyi ni wapinzani.

Factors hizo mbili zinathibitisha namna ambavyo ni CCM B wa ukweli mliokula yamini ya kuitumikia CCM huku mkiwalaghai wasiojua vizuri.

Sasa hamkani si shwari tena.
 
(a) ni raia wa kuzaliwa wa Jamhuri ya Muungano kwa mujibu wa
Katiba hii na sheria za nchi;
(b) ni mwenye akili timamu;
(c) angalau mmoja kati ya wazazi wake ni raia wa kuzaliwa wa
Jamhuri ya Muungano;
(d) wakati wa kugombea, ana umri usiopungua miaka arobaini;
(e) anazo sifa za kumwezesha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano kwa mujibu wa Katiba hii;
(f) anayo angalau shahada ya kwanza ya chuo kikuu
kinachotambuliwa kwa mujibu wa sheria za nchi;
(g) ni mwanachama na mgombea aliyependekezwa na chama cha
siasa au mgombea huru;
(h) sera zake au sera za chama chake si za mrengo wa kuligawa
Taifa kwa misingi ya ukabila, udini, rangi au jinsia;
(i) ni mwadilifu na anafuata maadili ya Taifa;
(j) mwenendo wake binafsi hautiliwi shaka na jamii;
(k) hajatiwa hatiani kwa kosa lolote la jinailinalohusu kukosa
uaminifu; na
(l) katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya Uchaguzi
Mkuu hajawahi kutiwa hatiani katika Mahakama yoyote kwa
kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyote ya Serikali.

IBARA HIYO YA 75 KUHUSU SIFA ZA MGOMBEA URAIS NDIZO ZINAZOMMALIZA KABISA DR SLAA KWANI SI MWADILIFU, MAISHA YAKE BINAFSI YANATIA SHAKA KUTOKANA NA KUPORA WAKE ZA WATU NA CHAMA CHAKE CHA CHADEMA KINA SERA ZA MAJIMBO AMBAYO IMEPAMBANULIWA ZAIDI NA WARIOBA KUWA ZINA MWELEKEO WA KULIGAWA TAIFA KWA MISINGI YA UDINI, UKABILA NA UKANDA SAMBAMBA NA KUGAWA RASLIMALI ZA TAIFA
 

Kaka Nambalapala

Unajitahidi. Sema tatizo lako huwezi kusaidia kuondoa shombo aliyonayo profesa. Kwanza kwa umamluki na uwakala wa kuisaidia CCM, Watanzania maskini bila kujua, wakifikiri kuwa ni mtetezi wao kumbe jamaa yuko kwenye mission na deal. Profesa ana bei yake huyo.

Mengine hayo ni porojo. Umeombwa hapa ushahidi wa 'udini' wa CHADEMA kwa namna ile ile ulivyo wa CCM na CUF hadi wanabebana, umeshindwa.

Yaani unazidi kuonekana ulivyo mamluki na wakala wa CCM hadi inaeneza propaganda zao hapa dhidi ya Slaa na CHADEMA.

Leteni ushahidi basi kama ule wa video ya profesa Lipumba akitaka kuwagawa Watz tena anakiri yeye ametumika na CCM lakini 'hawajamlipa'. Walimtelekeza. Chezea nyinyiemu wewe kwa dhulumati.

Wanadhulumu hata mwanandoa mwenzao! Watashindwa kunyanyasa wananchi. CCM na vibaraka wake, janga la taifa.
 
subutu? eti tanga ipo kanda ya kaskazini. tanga haipo huko. chadema wamegawa kanda zao kwa misingi ya udini zaidi

Usilete porojo za uvivu wa kiCCM, sema katika kanda za Chadema, Tanga iko kanda ipi!

Nimekwambia iko kaskazini. Kama unakataa unajenga hoja tofauti yenye facts.

Vinginevyo uache umburula au utabulalalasa wewe kama profesa alivyo mamluki na wakala, kama alivyokiri yeye mwenyewe kwenye mkanda wa video ulioonekana hapa.
 
Mashoga na Masagaji watampa kura Professor Haruna Lipumba kama Mashoga na Masagaji wa Marekani walivyompa kura nyingi Baraka Hossein Obama kwa kuwa sera yao ni sawa na ya Cuf kwani wao wanaamini HAKI SAWA KWA WOTE so kwa hili Cuf wakimsimamisha Lipumba mia kwa mia kwani watakubaliwa kuoana watu wa jinsia moja Viva Cuf viva Lipumba
 
Prof I H Lipumba ameshakuwa history ktk medani za kisiasa hapa Tanzania......,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…