Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha! nikweli hujakosea kwa mtu ambaye ameangalia ile video akiunadi udini lazima useme hivyo sio kosa lako, kwa hali ile nivigumu sana kumtofautisha na prof maji marefu.Salute Chief!Mimi kwangu ni maajabu kusikia kuwa Haruna Lipumba ni profesa hasa wa kusoma shuleni na baadaye chuoni. Kipindi cha mwanzo nilidhani ni class moja na Prof. Maji Marefu
mtaongea sana ila CUF si chama MBWATUKO wapo kimya na hawatowajibu kwani chama hakiendeshwi kwa VIDEO na JF hiki ni chama makini subirini 2015 mtaingia msituni na MAGWANDA yenu.CUF ina watu makini mtaona 2015 ombeni UHAI.
Salute Chief!
Mimi kwangu ni maajabu kusikia kuwa Haruna Lipumba ni profesa hasa wa kusoma shuleni na baadaye chuoni. Kipindi cha mwanzo nilidhani ni class moja na Prof. Maji Marefu