Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo kwenye underlined chadema wamekwama kwaniWenzangu wanabodi, hususan wale waliberali, turudini kwenye ile hoja nyingine, maana mntaka kutumia 'kombora' la uliberali kama exit ya zile tuhuma nyeti zinazowakabili CUF na hasa mwenyekiti wenu na mgombea urais wa maisha, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, kuwa;
1. Ni washirika wakubwa wa CCM kiasi mlijitoa mhanga, mkaligawanya taifa kwa misingi ya udini, ili CCM inusurike kuondoka madarakani iendelee kutawala.
2. Profesa Lipumba ni kati ya viongozi wa siasa wanaopaswa kuogopwa kama ukoma hapa nchini kutokana na kuwa na malengo ya kuwagawa Watanzania (wanaopendana kama ndugu) katika misingi ya imani za dini, hasa uislamu na ukristo. Inaonekana hata hatambui haki za watu wenye imani za dini zingine tofauti na hizo mbili na wapagani.
Ni mtu hatari sana huyu!
Lakini katika hali inayoonesha au kudhihirisha kumkoma nyani gidari...Tume ya Katiba Mpya, kupitia rasimu yake ya juzi, imepigilia msumari, hasa katika ibara ya 75(h)...
Ibara hiyo inayozungumzia sifa za mtu kuwa rais inasema;
Mtu atakuwa na sifa ya kuchaguliwa kushika nafasi ya kushika madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, ikiwa;
( h) Sera ZAKE au sera za CHAMA CHAKE, si za mrengo wa kuligawa taifa kwa misingi ya ukabila, udini, rangi au jinsia.
Wandugu wangu, hapo kwenye herufi kubwa msisitizo ni wa kwangu. Lakini hapa CUF ambao siku za hivi karibuni wameskikika wakililia 'utamu' wa kuwa mojawapo ya vyama vya upinzani, wakati keki yao walishaila baada ya kuamua kuungana na CCM kisirisiri kwenye uchaguzi mkuu kama alivyotoboa Profesa Lipumba kwenye ule mkanda wake wa udini na wakaungana na CCM kwanza sirini, kisha hadharani huko Zanzibar, hawachomoki.
Hadi tunavyozungumza hapa, si CUF wala Profesa Lipumba waliotoa hoja za maana juu ya ule mkanda wa video unaomuonesha Prof mzima akifanya kazi ambayo hata mtoto wa chekechea, akisimuliwa atasema 'hakuna maana ya kwenda shule, kama elimu haijamsaidia hata huyu profesa...kuwagawa watu...kwa udini'.
Atashindwa nini kutugawa kwa ushia, sunni, ukabila, kisha maeneo!
Tunashukuru watu wa tume, katika eneo hili, hakuna Mtanzania mpenda nchi yake, atapingana nanyi hapo. Ingawa kunasikika minong'oni kuwa Profesa na watu wake watakataa, maana ndiyo uchochoro wanaotaka tena kuutumia kuibakisha CCM madarakani, maana wao kama wao, hawawezi kushinda. Wanajua.
Watanzania wote, bila kujali tofauti zetu zingine tuiunge mkono hii ibara hasa hicho kipengele.
Wote wataanguka anguko moja, maana wako pamoja.
hata akigombea ni nani atakayempa huo urais.
Wapo wa kumpa kura, ndiyo maana wana hamu sana wajue wapo wangapi nchini, hawa jamaa hawapo organized kabisa hivi wanashindwa vipi kujijua wapo wangapi?
'Via Mobile'
Kawaulize viongozi wako wa dini. Huo ndiyo ushauri wa JKNyerere.kweli mkuu sisi wakristo tupo wangapi?
lipumba has disappointed me alot,maji yashamwagika,siasa kwake imeshaingia doa,aende u-dom akashike chaki...period.
hapo kwenye underlined chadema wamekwama kwani
ukabila ndio jadi yao...wao ni wakaskazini na moshi zaidi , kwao uchaga ndio sera .udini ndio sera yao pia inajulikna na kila mtanzania .rangi pia inajulikana wazi wana chuki mbaya na watanzania wenye asili ya asia na kiarabu.kuhusu jinsia tunajua namna walivomdhalilisha mkuu wa wilaya kule geita mama wa watu mpaka walimvua hijabu ya kujisitiri.
Hivi JF hatuwezi kuunda tume ya kuchunguza kwa nini prof. Lipumba hajaoa?
hivi lipumba ana familia kweli? maana nijuavyo mie familia huundwa na baba, mama na mtoto/watoto
JK ndio raisi wa kwanza wa Tanzania kuingia ikulu kwa misingi ya udini
Kuanza malumbano kuiingiza CDM kwenye swala la udini naona ni mkakati huo huo endeleveu
Huwezi kulinganisha CDM na upuuuuuuuuuuuuuuzi wa udini uliopo CUF. Wakati CDM wanapiga kampeni nchi nzima kwa kila mtu, hawa jamaa wanazunguka kwenye misikiti.
Sikuwahi kuona CDM wanazunguka makanisani kuomba kura, kwahiyo unapowaingiza kwenye mambo ya udini ni progaganda tu zisizoniingia akilini
kweli mkuu sisi wakristo tupo wangapi?
:shock:
Hata huko UDOM atakuwa balaa zaidi maana pale atakutana na wadini wenzake kama mkku wa chuo na kadhalika mabo wanaonguza chuo kwa udini na u CCM!lipumba has disappointed me alot,maji yashamwagika,siasa kwake imeshaingia doa,aende u-dom akashike chaki...period.