KATIBA Mpya haitamruhusu Profesa Ibrahim Haruna Lipumba kugombea urais, CUF mwafa

kweli mkuu sisi wakristo tupo wangapi?
 
Mi naona nyinyi muna visa na lipumba nani asiyemjua kuwa ni bingwa wa uchui duniani,na hakuna asiyejua kuwa hana sifa zote ambazo kiongozi mwadilifu,bila shaka nyinyi ni WAKIRISTO WENYE NIA MBAYA NA NCHI HII
 
hapo kwenye underlined chadema wamekwama kwani
ukabila ndio jadi yao...wao ni wakaskazini na moshi zaidi , kwao uchaga ndio sera .udini ndio sera yao pia inajulikna na kila mtanzania .rangi pia inajulikana wazi wana chuki mbaya na watanzania wenye asili ya asia na kiarabu.kuhusu jinsia tunajua namna walivomdhalilisha mkuu wa wilaya kule geita mama wa watu mpaka walimvua hijabu ya kujisitiri.
 
Wapo wa kumpa kura, ndiyo maana wana hamu sana wajue wapo wangapi nchini, hawa jamaa hawapo organized kabisa hivi wanashindwa vipi kujijua wapo wangapi?

'Via Mobile'

kweli mkuu sisi wakristo tupo wangapi?
:shock:
 
huyu jamaa waga simuelewi kabisa
kaanza kugombea me nikiwa cna
vigezo vya kupiga kura. nimepiga kura
hadi nimechoka bado yupo tu.
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Wewe chief Isike subiri aje Mzee wa BICHIKOMA , Hayati SADDAM HUSSEIN !
 
JK ndio raisi wa kwanza wa Tanzania kuingia ikulu kwa misingi ya udini

Kuanza malumbano kuiingiza CDM kwenye swala la udini naona ni mkakati huo huo endeleveu

Huwezi kulinganisha CDM na upuuuuuuuuuuuuuuzi wa udini uliopo CUF. Wakati CDM wanapiga kampeni nchi nzima kwa kila mtu, hawa jamaa wanazunguka kwenye misikiti.
Sikuwahi kuona CDM wanazunguka makanisani kuomba kura, kwahiyo unapowaingiza kwenye mambo ya udini ni progaganda tu zisizoniingia akilini
 
lipumba has disappointed me alot,maji yashamwagika,siasa kwake imeshaingia doa,aende u-dom akashike chaki...period.

Kaka uwe na adabu. Labda aje kufundisha nyumbani kwako. Watoto wetu hatutaki wapandikizwe chuki kubwa namna ile. "kimjazacho mtu moyoni ndio kimtokacho"
 

Ujinga ni mzigo wa mwenye nao. Prof. Lipumba kabambwa live msikitini akihubiri chuki dhidi ya dini nyingine na video iliwekwa hapa, sasa na wewe kama mwanamke kweli weka hapa ushahidi wa haya unayoyasema kuhusu CDM
 
CHADEMA mnajidanganya mnajaziba hamuwezi kuongoza nchi kwa ukanda na udini uliowatawala ....tanzania bara hakuna cha cha upizani kitakacho weza kuchukua nchi peke yake....
1..CUF kinaambiwa cha kislamu maeneo ya wakristo wengi kimekataliwa
2..CHADEMA kinaambiwa cha kikristo maeneo ya waislamu kimekataliwa hasa znz watu hawajui hata chedema ni kitu gani.
CCM Wamefanya kazi hiyo kusudi kudhofisha upizani TZ na hata wapizani wenyewe wameliamini hilo ni kazi ya kijasusi ya ccm.

ninaamini CHADEMA waweza pata nafasi nzuri hata kuongoza kwa wingi wa kura ktk uchaguzi tz 2015 LKN NI VIGUMU KUPATA 50% PEKE YAO KTK MAZINGIRA HAYA ...ikiwa rasmu itakubaliwa raudi ya pili lazima wapate mweza kushinda awe CUF AU CCM .... CHADEMA inabidi iwe na tahadhari kubwa katika siasa zake kuelekea cuf kwani inaweza kuwa na turufu ya kuamua nani anakuwa rais 2015 kwa rasmu hii ikipita......WAKATI UTATHIBITISHA HAYA NIYASEMAYO lazima watengeneze njia yao kuelekea ikulu ...vyenginevyo tutashuhudia senerio ya zanzibar ikijirudia bara CUF +CCM RULING BOTH SIDE OF TZ na chadema itakuwa chama cha upizani kwa muda mrefu ujao lkn si mbaya wataleta changamoto.....
MAY I BE WRONG BUT ALWAYS CLEAR
 
Mtoa mada amechanganyikiwa. Sababu za tume kukataa majimbo ndizo zinazomtesa. sasa wanatapatapa. 50+ nayo ni mwiba mkali kwani hata mkipiga porojo nchi haiangukii kwa wacheza disko na waasherati. Laana gani hiyo??
 


Rejea waraka wa kanisa kwa waumini. Usiwe mjinga peke yako chumbani.
 
Kumtetea Profesa Lipumba inakubidi ULIBELARI UKIINGIE MPAKA USOGONI......NA UWE UNAPENDA USHETANI HUO
Aibu tupu kwa chama cha CUF kumbeba mdini mkubwa wakiendelea ntaamini kuwa nao ni wadini na msajili Tendwa inabidi achukue hatua dhidi ya hawa waliberali mpaka LIPUMBA atoke ndani ya uongozi wa chama
 
lipumba has disappointed me alot,maji yashamwagika,siasa kwake imeshaingia doa,aende u-dom akashike chaki...period.
Hata huko UDOM atakuwa balaa zaidi maana pale atakutana na wadini wenzake kama mkku wa chuo na kadhalika mabo wanaonguza chuo kwa udini na u CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…