Katiba Mpya impe Nguvu Rais, aendelee Mpaka aseme "BASI" mwenyewe

Nasikia mwanaume ukinyunyiziwa yale maji ya protini na kidume mwenzio, akili zinahama kabisa.
 
Asitake watu wanywe sumu na wengine kuokota makopo . Utashtakiwa kwa makosa ya mauaji au upelekwe The Hague kabisa kwa mauaji ya kimbari.
Wape nàfasi manyumbu yapumue usije kuyasababishia sonona.
 
Mungu atatuamulia huu ugomvi soon, hawezi kumwaga damu za watu wasio na hatia na akabaki salama.
 
Chawa wa aina hii, uwezo wao wa akili ni mdogo sana. Anajiandikia chochote kinachokuja kichwani bila kutafakari kwa kina athari zake. Serikali kwa sasa inahangaika jinsi ya kukabiliana na hii No reforms no Election, yeye anaposti mambo kubadili Katiba ili kuongeza muhula......
 
Una shonwa wewe, hii nchi mnaifanya kama dangulo eti?
 
Hebu tutolee upuuzi hapa!
 
waTanzania kwa umoja wao hawatasita kuafiki na kupitisha jambo la maana na maendeleo kama hilo comrade,
tena watalipitisha haraka sana na kwa kauli moja kizalendo zaidi
 
waTanzania kwa umoja wao hawatasita kuafiki na kupitisha jambo la maana na maendeleo kama hilo comrade,
tena watalipitisha haraka sana na kwa kauli moja kizalendo zaidi
Utashangaa CHADEMA wanapinga na kuona wivu. Maana akili zao wanazijua wao wenyewe
 
Ukiona watu wanaanza kauli hizo, muda wowote Mungu anaingilia kati.
Acheni hizo mambo za kuvuka mto kabla ya kuufikia
 
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa na watanzania wote watashiriki kikamilifu kabisa kumchagua Rais Samia na viongozi wengine mbalimbali wa ubunge na udiwani kupitia CCM
Kampeni ya kuignore machawa inaendelea hata humu JF.

Ignore.
 
Msenge kweli wewe, yaani ulitakiwa kunyongwa ukiwa mchanga kisha utupwe chooni,ni mkosi na nuksi kubwa kuzaa Toto mavi kama wewe
 
Ukiona watu wanaanza kauli hizo, muda wowote Mungu anaingilia kati.
Acheni hizo mambo za kuvuka mto kabla ya kuufikia
Tunasonga na Mama mpaka achoke mwenyewe na kuomba kupumzika na kubakia mshauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…