Katiba Mpya impe Nguvu Rais, aendelee Mpaka aseme "BASI" mwenyewe

Kipindi cha Rais Mwinyi kuna watu walitamani yatokee haya ya kubadili katiba ila haikuwezekana na ndipo tukapata nafasi ya kumfahamu Rais Mkapa na mambo mengi mazuri aliyolifanyia taifa letu. Wapo waliotamani Rais Mkapa atawale zaidi ya miaka kumi lakini haikuwa hivyo na katiba yetu iliendelea kutoa fursa ya kupatikana Rais Kikwete na alileta maendeleo kwa kipindi chake kama ilivyokuwa kwa marais wengine waliomtangulia lakini bado katiba yetu ikatupa fursa ya kumpata Rais Magufuli ambaye na yeye katika kipindi chake alikuwa na maono yake na alililetea taifa maendeleo ambayo kwa sehemu Rais Samia ameendeleza alipoishia mtangulizi wake.

Hii ya kuamini katika watanzania zaidi ya mil 60 hakuna wa kuwa Rais mpaka ifikie hatua ya kubadili katiba ni dhahiri tunavunja na kuharibu values za taifa. Waliofikiria kipindi cha miaka 10 kinatosha hawakuwa wajinga na hasa ukizingatia kizazi na mabadiliko yaliyopo.

Tumuunge mkono na tumuache Rais Samia afanye kazi yake ya Urais kwa kipindi chake atakachojaaliwa kuwepo madarakani kwa mujibu wa taratibu na isiwe vinginevyo.
Tanzania na china ipi yenye idadi kubwa ya watu? Sasa hujaona china walibadili katiba na kumuongezea muda wa kuongoza Rais wao? Unafikiri ni wajinga wachina?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Watanzania tunapaswa Kubadilisha katiba ili Rais Samia apate nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu hata baada ya kumaliza Muda wake 2030. Hii ni muhimu ili kulipa Taifa nafasi na fursa ya kutumia Maono yake makubwa katika kulipeleka Taifa mbele zaidi pamoja na kutekeleza Dira ya maendeleo ya Taifa letu ya 2025-2050.

Rais Samia anapaswa kuendelea kuongoza Taifa letu kutokana na uchapakazi wake na kasi yake katika kutekeleza miradi ya maendeleo na kuinua maisha ya watanzania. Nyote na sote ni mashahidi wa kazi kubwa iliyofanywa ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ambayo hakuna mtanzania ambaye alifikiria kama tungeweza kufikia hatua hizo za kimaendeleo.

Hakuna aliyefikiria kama ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ingewezekana kupandisha Bajeti ya kilimo kutoka Billioni mia mbili hamsini hadi Trilioni moja point tisa. Hakuna aliye fikiria kama tungeweza kutoa Elimu Bure hadi kidato cha sita, kujenga vyumba vya madarasa zaidi ya Elfu 20, kupandisha kima cha chini cha mshahara kufikia laki tano.

Kuongeza idadi ya watalii kufikia millioni mbili na point,kuongeza ukusanyaji wa mapato kufikia zaidi ya Trilioni 34 kwa Mwaka ,kutoa ajira kwa vijana maelfu kwa maelfu,kukamilisha Bwawa la mwalimu Nyerere ndani ya muda mfupi lenye uwezo wa kuzalisha megawati 2115,Kumaliza kabisa mgao wa umeme hapa Nchini.

Hakuna aliyefikiria kama ndani ya muda mfupi Tanzania inaweza jizolea heshima katika anga la kimataifa mpaka kupata fursa ya kuongoza Umoja wa Mabunge Duniani pamoja na Ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika. Hakuna aliyefikiria kama ndani ya Muda mfupi tunaweza kufikia hatua ya Kumaliza kabisa njaa Nchini na upungufu wa chakula Nchini.

Yote hayo na mengine mengi sana yamewezekana kutokana na nguvu ,juhudi,maarifa ,akili ,maono ,ushupavu, umadhubuti,uimara na uhodari alionao Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia. Imewezekana kwa sababu mbele yetu na kitini amekaa kiongozi mwenye uzalendo ,dhamira njema na upendo kwa watanzania.

Watu kama akina lissu pamoja na Lema hawakutarajia kabisa kama wangeweza kurejea na kuishi Nchini kwa amani na utulivu bila bughudha. Wameweza kurejea Nchini kwa sababu ya upendo na huruma aliyonayo Rais Samia kifuani pake. Leo demokrasia imeshamiri Nchini kwa sababu ya kuwa na mwana demokrasia uongozini.

Sasa kwanini tusibadilishe katiba ili Mama aendelee kuongoza Taifa letu hata baada ya kumaliza muda wake 2030? Rais Samia ndiye Joshua wetu ,ndiye aliyeinuliwa na Mungu kutupeleka nchi ya ahadi , Nchi itiririshayo asali na Maziwa, Nchi yenye kucheua fursa za kila aina. Kwanini tusibadilishe katiba ili kufanya Taifa letu liendelee na kasi hii hii ya maendeleo? Mnataka tukwame na kupunguza mwendo na kasi yetu ya maendeleo? Mnataka tuanze kusuasua na kupitwa na majirani zetu? Hamuoni kasi yetu ya maendeleo imekuwa kubwa sana mpaka kuwapa Homa ,hofu na kiwewe majirani zetu?

Napenda kusema kuwa ni lazima tubadilishe katiba yetu ili Mama aendelee kuongoza Taifa letu. Jua liwake au mvua inyeshe ni lazima katiba ibadilishwe tu. Maana katiba yetu siyo Msaafu au Biblia ambayo huwezi kubadilisha . Katiba imetungwa na sisi watanzania na tunayo nafasi ya kuibadilisha kwa maslahi mapema ya Taifa letu ili kumpa nafasi mbeba Maono Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka Mingi Zaidi kwa kadri Mungu atakavyoendelea kumjali afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.View attachment 3360954

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Awe wa milele tu
 
Nikiwa Mtanzania mzalendo, ninatoa rai kwa Watanzania wenzangu, hasa tunapoelekea kwenye mchakato wa katiba mpya, kuufikiria kwa uzito uwezekano wa kuweka kipengele kitakachompa nafasi Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuliongoza taifa hili.

Sio kwa mapenzi binafsi wala ushabiki wa kisiasa, bali kwa sababu ya kazi kubwa, ya kihistoria, na yenye matokeo makubwa aliyoifanya kwa muda mfupi wa uongozi wake.

Tangu aingie madarakani mwaka 2021, Mama Samia amekuwa chachu ya mageuzi ya kweli katika kila sekta muhimu.

Amefungua nchi kidiplomasia kupitia ziara zake za kimkakati nje ya nchi, hatua ambayo imeirudisha Tanzania kwenye ramani ya majadiliano ya kimataifa na kuiwezesha kuvutia wawekezaji wakubwa. Mfano halisi ni ujio wa kampuni kama DP World, inayowekeza kwenye uboreshaji wa bandari na miundombinu ya usafirishaji.

Katika sekta ya afya, Rais Samia amesimamia ujenzi wa zaidi ya hospitali 300, kuanzia ngazi ya zahanati hadi hospitali za wilaya, sambamba na kuhakikisha zina vifaa na watumishi wa kutosha. Wananchi wengi sasa wanapata huduma bora karibu na makazi yao, jambo lililokuwa changamoto kwa miaka mingi.

Sekta ya elimu imepata msukumo mpya chini ya uongozi wake. Kuondolewa kwa ada kwa wanafunzi hadi kidato cha sita kumeongeza idadi ya wanaojiunga na kumaliza elimu ya sekondari, hasa kwa mabinti waliokuwa wakikumbwa na changamoto za kifamilia na kiuchumi.

Kilimo pia kimepata sura mpya kupitia mpango wa Building a Better Tomorrow (BBT). Mama Samia amewekeza kwa vijana na wanawake kwa kuwapa mafunzo, ardhi, mitaji na masoko. Vilevile, ruzuku ya pembejeo imeongezwa, hali iliyochochea uzalishaji na kuongeza kipato cha wakulima vijijini.

Kwa kipindi kifupi tu, Rais Samia ameonesha kuwa ana maono, uthubutu na dhamira ya dhati ya kuipeleka Tanzania mbele kwa kasi na kwa umoja.

Sauti yake ni sauti ya mshikamano, maelewano na maendeleo.

Ametuonesha kuwa inawezekana kuwa na kiongozi mwanamke mwenye dira na weledi wa hali ya juu.

Kwa msingi huu, ni wakati sasa Watanzania wazalendo kutomruhusu Rais Samia aondoke wakati bado anahitajika.

Katiba mpya impe nguvu Mama, aendelee mpaka aseme “basi mwenyewe,” kwa sababu taifa bado linamhitaji.
Mwenyezi Mungu ataamua hili kama kwa JPM!
 
No reforms no election
 
No reforms no Election

Ni mkulima gani wa jembe la mkono amenufaika na hizo takwimu ?

Nilitegemea kwamba ungesema tril.1. zimetolewa kuwakopesha Vijana waliohitimu chuo cha kilimo SUA na wakakabidhiwa mashamba Ekari laki moja mikoa tofauti tofauti ili Waanzishe kilimo cha kisasa lakini hizo pesa za kununua Mbolea na pembejeo ambazo ni matrekta yaliyopo Kwenye Halmashauri na kitu kinachoitwa Pembejeo wakati huo huo wanatumiwa na Mashoga wa wilaya kutuketea Mbegu zilizochomwa Sindano za ushoga .
Huo ni upigaji wa kimkakati.

Mwaka wa uchaguzi una upigaji wa Miradi hewa miaka yote . Matrioni yanayomwagwa kwa akina wasanii akina Piddy ulifikiri zimeshuka kutoka Mbinguni .

Kwanza wewe Lucas umeshaambiwa ni muumini wa shetani .

Badili dini kwanza au ujisalimishe kwa mungu Samia kama mjomba wako Malasusa ili utangazwe kuwa mtakatifu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Hatumtaki huyo mungu wenu kutoka babiloni ya Kizimkazi . Anakuja kutugawa kidini na kimadhehebu .

Astaafu tu maana tunakoenda atatuletea vita na nchi majirani halafu yeye akimbilie Oman.

Yale majini aliyopewa na mashehe yamemwingia kichwani anatakiwa aombewe kwanza kabla hajayatoa yakaingia samaki pale Magogoni halafu samaki wote wakarudi baharini kutoka soko la kivukoni .🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tutakushtaki Kenya upigwe na Jeni Zii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni Liformu no Erectioni 🤪🤪🤪🤪🤪🤪
 
Watanzania wana kiu kubwa sana ya kushiriki uchaguzi na kumchagua RAIS Samia. Halafu hivi unafahamu kitu kinaitwa BBT?
 
Back
Top Bottom