Julias Vimvinyira
Senior Member
- Jun 2, 2025
- 155
- 205
Oktoba tunatiki
No reform, No electionNikiwa Mtanzania mzalendo, ninatoa rai kwa Watanzania wenzangu, hasa tunapoelekea kwenye mchakato wa katiba mpya, kuufikiria kwa uzito uwezekano wa kuweka kipengele kitakachompa nafasi Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuliongoza taifa hili.
Sio kwa mapenzi binafsi wala ushabiki wa kisiasa, bali kwa sababu ya kazi kubwa, ya kihistoria, na yenye matokeo makubwa aliyoifanya kwa muda mfupi wa uongozi wake.
Tangu aingie madarakani mwaka 2021, Mama Samia amekuwa chachu ya mageuzi ya kweli katika kila sekta muhimu.
Amefungua nchi kidiplomasia kupitia ziara zake za kimkakati nje ya nchi, hatua ambayo imeirudisha Tanzania kwenye ramani ya majadiliano ya kimataifa na kuiwezesha kuvutia wawekezaji wakubwa. Mfano halisi ni ujio wa kampuni kama DP World, inayowekeza kwenye uboreshaji wa bandari na miundombinu ya usafirishaji.
Katika sekta ya afya, Rais Samia amesimamia ujenzi wa zaidi ya hospitali 300, kuanzia ngazi ya zahanati hadi hospitali za wilaya, sambamba na kuhakikisha zina vifaa na watumishi wa kutosha. Wananchi wengi sasa wanapata huduma bora karibu na makazi yao, jambo lililokuwa changamoto kwa miaka mingi.
Sekta ya elimu imepata msukumo mpya chini ya uongozi wake. Kuondolewa kwa ada kwa wanafunzi hadi kidato cha sita kumeongeza idadi ya wanaojiunga na kumaliza elimu ya sekondari, hasa kwa mabinti waliokuwa wakikumbwa na changamoto za kifamilia na kiuchumi.
Kilimo pia kimepata sura mpya kupitia mpango wa Building a Better Tomorrow (BBT). Mama Samia amewekeza kwa vijana na wanawake kwa kuwapa mafunzo, ardhi, mitaji na masoko. Vilevile, ruzuku ya pembejeo imeongezwa, hali iliyochochea uzalishaji na kuongeza kipato cha wakulima vijijini.
Kwa kipindi kifupi tu, Rais Samia ameonesha kuwa ana maono, uthubutu na dhamira ya dhati ya kuipeleka Tanzania mbele kwa kasi na kwa umoja.
Sauti yake ni sauti ya mshikamano, maelewano na maendeleo.
Ametuonesha kuwa inawezekana kuwa na kiongozi mwanamke mwenye dira na weledi wa hali ya juu.
Kwa msingi huu, ni wakati sasa Watanzania wazalendo kutomruhusu Rais Samia aondoke wakati bado anahitajika.
Katiba mpya impe nguvu Mama, aendelee mpaka aseme “basi mwenyewe,” kwa sababu taifa bado linamhitaji.
Oktoba tunatikiMadereva wenzako huwa na akili ila wewe zero brain.View attachment 3361076
Watanzania wana kiu kubwa sana ya kushiriki uchaguzi na kumchagua RAIS Samia. Halafu hivi unafahamu kitu kinaitwa BBT?
Oktoba tunatikiNo reform, No election
Wewe Lucas inaonekana uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo. Kuna mahali popote nimemwongelea Lisu kwenye maandiko yangu? Rudia kusoma tena. Sina mchangamano wowote na Lisu wala Chadema.Acheni kujitekenya na kujichekesha. Hata Lissu alikuwa anaropoka ropoka Hovyo na kujiona hagusiki. Lakini leo yupo ndani Amesahaulika kabisa na hakumbukwi na yeyote yule
Muhimu ni "oktoba tunatiki"Joined: Monday
Mku*ndu wa Mama yako mchafu, mbwambuzi kibudu weweKama tuna muoa sawa
Endeleani na ujinga wenu. Uchaguzi utafanyika na watanzania watashiriki kikamilifu kabisa na Nchi itaendelea kusonga mbele kwa kishindo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Mwakani hakuna cha maridhiano baada ya uchaguzi wa kihuni . Maridhiano ni sasa .
Mwakani ni ubaya ubwela .
Kuna maeneo CCM hata makanisani watasomewa na kukimbiwa kwenye viti maana itakua sawa na kukaa na gaidi au jambazi au shetani kwenye ibada . 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Waliopo madarakani hawana raha hata kidogo hata ushindi wao hawaufurahii . Yaani kama sio kualika wanamziki wengi mashoga na baadhi ya wasanii wachache sana kwenye mikutano yenu kuja kukata viuno mbele ya wanaume na wanawake mikutano yenu ingekuwa kama misiba. 😭😭😭😭😭😭
UnakatwaUtajua mwenyewe
Muhimu ni "oktoba tunatiki"
Mikwara ya mbuziKwa aliyoyafanya ni nguma akitoka madarakani akabaki salama pona yake ni kubadili Katiba afie Madarakani maana akiachia tu ICC hii hapa maana Kila kitu na ushahidi vishakamilika
No reform no electionOktoba tunatiki
Oktoba tunatikiNo reform no election