Katiba Mpya impe Nguvu Rais, aendelee Mpaka aseme "BASI" mwenyewe

Unauhakika kuwa mwaka huu ataendelea kuwepo duniani? Maana Kuna shekh aliota ndiyo kuwa kunauwezekano huu mwaka usishe
Nabii wetu kanisani amepokea maono kuwa Bi mkubwa atatoboa mpaka 2030 kwa mafanikio makubwa. Nchi itapiga hatua kubwa haijawahi kutokea.

Naamini ktk nabii wangu sio hao masheikh wenu.
 
Nikiwa Mtanzania mzalendo, ninatoa rai kwa Watanzania wenzangu, hasa tunapoelekea kwenye mchakato wa katiba mpya, kuufikiria kwa uzito uwezekano wa kuweka kipengele kitakachompa nafasi Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuliongoza taifa hili.

Sio kwa mapenzi binafsi wala ushabiki wa kisiasa, bali kwa sababu ya kazi kubwa, ya kihistoria, na yenye matokeo makubwa aliyoifanya kwa muda mfupi wa uongozi wake.

Tangu aingie madarakani mwaka 2021, Mama Samia amekuwa chachu ya mageuzi ya kweli katika kila sekta muhimu.

Amefungua nchi kidiplomasia kupitia ziara zake za kimkakati nje ya nchi, hatua ambayo imeirudisha Tanzania kwenye ramani ya majadiliano ya kimataifa na kuiwezesha kuvutia wawekezaji wakubwa. Mfano halisi ni ujio wa kampuni kama DP World, inayowekeza kwenye uboreshaji wa bandari na miundombinu ya usafirishaji.

Katika sekta ya afya, Rais Samia amesimamia ujenzi wa zaidi ya hospitali 300, kuanzia ngazi ya zahanati hadi hospitali za wilaya, sambamba na kuhakikisha zina vifaa na watumishi wa kutosha. Wananchi wengi sasa wanapata huduma bora karibu na makazi yao, jambo lililokuwa changamoto kwa miaka mingi.

Sekta ya elimu imepata msukumo mpya chini ya uongozi wake. Kuondolewa kwa ada kwa wanafunzi hadi kidato cha sita kumeongeza idadi ya wanaojiunga na kumaliza elimu ya sekondari, hasa kwa mabinti waliokuwa wakikumbwa na changamoto za kifamilia na kiuchumi.

Kilimo pia kimepata sura mpya kupitia mpango wa Building a Better Tomorrow (BBT). Mama Samia amewekeza kwa vijana na wanawake kwa kuwapa mafunzo, ardhi, mitaji na masoko. Vilevile, ruzuku ya pembejeo imeongezwa, hali iliyochochea uzalishaji na kuongeza kipato cha wakulima vijijini.

Kwa kipindi kifupi tu, Rais Samia ameonesha kuwa ana maono, uthubutu na dhamira ya dhati ya kuipeleka Tanzania mbele kwa kasi na kwa umoja.

Sauti yake ni sauti ya mshikamano, maelewano na maendeleo.

Ametuonesha kuwa inawezekana kuwa na kiongozi mwanamke mwenye dira na weledi wa hali ya juu.

Kwa msingi huu, ni wakati sasa Watanzania wazalendo kutomruhusu Rais Samia aondoke wakati bado anahitajika.

Katiba mpya impe nguvu Mama, aendelee mpaka aseme “basi mwenyewe,” kwa sababu taifa bado linamhitaji.
Sawa
 
🤦🏾‍♂️ pesa ya rushwa ya waarabu imeharibu ndugu zetu
 
Katiba inasema ni Vipindi Viwili tu.
 
NO REFORM NO ELECTION.

NO REFORMA NO ELECCIÓN.

PAS DE RÉFORME PAS D'ÉLECTION.

لا إصلاح لا انتخابات

不改革,不选举

НЕТ РЕФОРМЫ – НЕТ ВЫБОРОВ.

कोई सुधार नहीं, कोई चुनाव नहीं

কোনো সংস্কার নেই, কোনো নির্বাচন নেই

SEM REFORMA, SEM ELEIÇÃO

改革なし、選挙なし

KEINE REFORM, KEINE WAHL.

개혁 없으면 선거 없다

REFORM YOK, SEÇİM YOK.

NESSUNA RIFORMA, NESSUNA ELEZIONE.

KHÔNG CẢI CÁCH, KHÔNG BẦU CỬ

بدون اصلاحات، بدون انتخابات

کوئی اصلاح نہیں، کوئی انتخاب نہیں

ਕੋਈ ਸੁਧਾਰ ਨਹੀਂ, ਕੋਈ ਚੋਣ ਨਹੀਂ

ไม่มีการปฏิรูป ไม่มีการเลือกตั้ง

BABU GYARA, BABU ZABE.

ÌYÍPADÀ KÒ SÍ, ÌDÌBÒ KÒ SÍ.

AKUKHO GUQULO, AKUKHO UKHETHELO.

ምንም �ውጥ �ልመጣ ምንም ምርጫ የለም

ENWEGHỊ NDOGHARỊ, ENWEGHỊ NTULỊAKA.

JIJJIIRAA HIN QABNU, FILANNOS HIN QABNU.

HAKUNA MAGEUZI HAKUNA UCHAGUZI.
 
Hushindwi kuamuachia mkeo aliwe na jirani kwasababu amekuachia gari lake upige round kadhaa.
 
Back
Top Bottom