Katiba mpya ipatikane ndani ya miezi sita ili kudhibiti hii mikakati ya ufisadi unaoendelea. Jitihada za nguvu ya kila namna zifanyike

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna.

Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao familia zao na watoto wao ndio wanajua maisha bora.

Tupate katiba mpya ambayo itamfuta kazi rais kwa urahisi kabisa kama akiruhusu ufisadi.

Katiba ambayo itawapa wananchi mamlaka ya kutawala maana mamlaka yapo kwa wananchi.

Rais asiyefaaa na kukumbatia ufisadi afutwe kazi.
 
Tulia kwanza tule ya Royo Tua, ndio tumeanza hivyo
 
Unaijua nguvu ya umma? Rasimu ipo tayali ni kuweka mambo sawa sawa tu
Ndio naijua, ila sio nguvu ya wabongo ndugu yangu. Maamuzi mengi ya kijinga yanafanywa ila tumepoa kama maji kwenye mtungi
 
Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna.

Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao familia zao na watoto wao ndio wanajua maisha bora.

Tupate katiba mpya ambayo itamfuta kazi rais kwa urahisi kabisa kama akiruhusu ufisadi.

Katiba ambayo itawapa wananchi mamlaka ya kutawala maana mamlaka yapo kwa wananchi.

Rais asiyefaaa na kukumbatia ufisadi afutwe kazi.
Tuliwambia swala la Katiba Mpya mtakuja kuitafuta kipindi sisi (wapinzani na watanzania) tulishaachana nalo.

Mtatamani dunia ipasuke.

Sio nyie mlikuwa mnasema Katiba Mpya haileti Ugali wala Maji🤣🤣🤣
 
Hapa nakuunga mkono. Ingawa awamu ya Tano mlijisahau sana.
 
Tuliwambia swala la Katiba Mpya mtakuja kuitafuta kipindi sisi (wapinzani na watanzania) tulishaachana nalo.

Mtatamani dunia ipasuke.

Sio nyie mlikuwa mnasema Katiba Mpya haileti Ugali wala Maji🤣🤣🤣
Lini? Na nani alisema?
 
Back
Top Bottom