Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
UnajitambuaTulia kwanza tule ya Royo Tua, ndio tumeanza hivyo
Ndio mkuu, Katiba kuipata kwa huo muda haiwezekaniUnajitambua
Unaijua nguvu ya umma? Rasimu ipo tayali ni kuweka mambo sawa sawa tuNdio mkuu, Katiba kuipata kwa huo muda haiwezekani
Ndio naijua, ila sio nguvu ya wabongo ndugu yangu. Maamuzi mengi ya kijinga yanafanywa ila tumepoa kama maji kwenye mtungiUnaijua nguvu ya umma? Rasimu ipo tayali ni kuweka mambo sawa sawa tu
Tubadilike. Huu ndio wakati wa kubadikika mkuuNdio naijua, ila sio nguvu ya wabongo ndugu yangu. Maamuzi mengi ya kijinga yanafanywa ila tumepoa kama maji kwenye mtungi
Tuliwambia swala la Katiba Mpya mtakuja kuitafuta kipindi sisi (wapinzani na watanzania) tulishaachana nalo.Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna.
Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao familia zao na watoto wao ndio wanajua maisha bora.
Tupate katiba mpya ambayo itamfuta kazi rais kwa urahisi kabisa kama akiruhusu ufisadi.
Katiba ambayo itawapa wananchi mamlaka ya kutawala maana mamlaka yapo kwa wananchi.
Rais asiyefaaa na kukumbatia ufisadi afutwe kazi.
Hapa nakuunga mkono. Ingawa awamu ya Tano mlijisahau sana.Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna.
Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao familia zao na watoto wao ndio wanajua maisha bora.
Tupate katiba mpya ambayo itamfuta kazi rais kwa urahisi kabisa kama akiruhusu ufisadi.
Katiba ambayo itawapa wananchi mamlaka ya kutawala maana mamlaka yapo kwa wananchi.
Rais asiyefaaa na kukumbatia ufisadi afutwe kazi.
Inaonekana hata wewe umejitambua Sasa na umejua kwanini chadema waliopiga sana kelele na wanaendelea kupiga kelele juu ya kupatikana Katiba mpya.Unajitambua
Lini? Na nani alisema?Tuliwambia swala la Katiba Mpya mtakuja kuitafuta kipindi sisi (wapinzani na watanzania) tulishaachana nalo.
Mtatamani dunia ipasuke.
Sio nyie mlikuwa mnasema Katiba Mpya haileti Ugali wala Maji🤣🤣🤣