Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,232
Katika hali ambayo sikutarajia nimemsikia Lipumkba akitamka Peopleees, neno linalotumiwa na CHADEMA. It is a good progress
Askofu Zachary Kakobe atokea Jangwani kuungana na watanzania wengine kutuma ujumbe kwa Rais Kikwete asisaini Muswada wa Katiba Mpya. Ametambulishwa na Prof.Lipumba. Ameshangiliwa. Moto moto moto moto
Mzee Tupatupa (leo Jangwani)
Kakobe : Katibaaaaaaaaaaaaaaaaa......................Wananchi:mali ya wananchi! Anaeleza kuwa mkutano huu si mkutano wa wapinzani;ni mkutano wa watanzania wapenda amani.Wananchi wajiepushe na siasa nyepesi;mabadiliko ya Katiba yanabadilisha mambo
Katika hali isiyotarajiwa, askofu Kakobe ametia timu kwenye mkutano wa wapinzani juu ya katiba mpya. Akiwa anaingia ilibidi Lipumba asitishe hotuba ghafla akisubiri raia wamalize kushangilia. CCM kwisha