BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kwenye ukombozi wa nchi hata viongozi wa wanakondoo huusika pia maana hawapendi kuona wanakondoo wao wakiendelea kuteseka katika nchi iliyojaaliwa utajiri mkubwa sana. Popote pale wanakondoo wanapokuwepo basi na Viongozi wao hawawezi kukosa.
Waache kazi yakuelekeza watu mambo ya ufalme wa Mungu waamue kufanya tu siasa.