Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

Acha unafki na bibi yako getrude lwekatare yupo bungeni kama nani au muwakilishi wa dini! Shida yenu ccm mnataka kila mtu awatetee nyie akienda upinzani kosa sasa jinyonge

Like like, angekuwa ameenda ccm tungekoma humu ndani,na angetangazwa kila sehemu
 
Ondoeni bibilia muache katiba za vyama,
usitake kujitoa akili na kuchanganya siasa na dini
hapa labda huko kwenu ndo mnavyofanya, chama waambie hawa ndugu zako wasoelewa.

Mamndenyi
Hawa ni wapiga deal hakuna lolote Yesu alisema vya Kaisari mwachie Kaisari sasa wanaojitia kutumia Biblia kuhubiri siasa ni yale yale ya Kakobe kuwaambia waumini wake wampelekee mishahara yao Kakobe anaongea na malimbukeni tu mtu mwenye akili timamu hawezi kumsikiliza hata siku moja! Mamndenyi halafu wakati mwingine jaribu sana kuwaangalia watoa habari wenyewe ni watu waliopagawa na shetani mtoa habari ni Kakende kesho na keshokutwa punguani huyu atarudi tena jamvini na kugeuka kakundu hawa ni watu waliotawaliwa na pepo wachafu ni kuwaacha kama walivyo!
 
Hivi mchungaji, Askofu, padree, sheikh n.k hua wanachanganya dini na siasa tu pale watakapokusanyika na wapinzani? Mbona kuna watumishi wa Mungu wengi tu wapo ccm na hilo la dini na siasa hatujawahi kulisikia? mfano, Dr Getrude Lwakatale, Mzee wa upako ameisha sema sio mara moja kwamba yeye ni ccm damu, Ali Hassani Mwinyi, huyu sheikh, ameisha wahi kua hadi rais wa Tanzania. Inaelekea labda hi tafsiri ya dini na siasa mi ndio labda sijaielewa, naombeni mwongozo tafadhari!
 
Naomba mnikumbushe; Rais asiposaini mswada wa sheria iliyopitishwa na Bunge ni nini kinafuata? Miaka ya nyuma ilikuwa mswada huo hurudishwa tena Bungeni na kujadiliwa upya, je bado sheria zetu zinasema hivyo?
 
Mamndenyi
Hawa ni wapiga deal hakuna lolote Yesu alisema vya Kaisari mwachie Kaisari sasa wanaojitia kutumia Biblia kuhubiri siasa ni yale yale ya Kakobe kuwaambia waumini wake wampelekee mishahara yao Kakobe anaongea na malimbukeni tu mtu mwenye akili timamu hawezi kumsikiliza hata siku moja! Mamndenyi halafu wakati mwingine jaribu sana kuwaangalia watoa habari wenyewe ni watu waliopagawa na shetani mtoa habari ni Kakende kesho na keshokutwa punguani huyu atarudi tena jamvini na kugeuka kakundu hawa ni watu waliotawaliwa na pepo wachafu ni kuwaacha kama walivyo!
Afadhali mtu mbeya kuliko mtu mwongo. Unaweza kumtaja huuo mshirika aliyeambiwa apeleke mshahara? Na alipeleka mshahara ili iweje? Lakini atakuwa ni mtu -------- sana atakayeambiwa apeke mshahara naye akafanya hivyo. Hata hivyo nina neno juu yako. kwa kuwa umeamua kuandika uongo na kumnenea mmtumishi wa Mungu uongo hasira ya Mungu itawaka juu yako usipotubu. Kumbuka akina Miriamu walivyopatwa na ukoma. Mungu habadiliki. Mwenyewe anasema kila ulimi utakaouinuka kinyume na mtumishi wake hataacha kuuhukumu kuwa mkosa. Mwenye masikio asikie.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hivi mchungaji, Askofu, padree, sheikh n.k hua wanachanganya dini na siasa tu pale watakapokusanyika na wapinzani? Mbona kuna watumishi wa Mungu wengi tu wapo ccm na hilo la dini na siasa hatujawahi kulisikia? mfano, Dr Getrude Lwakatale, Mzee wa upako ameisha sema sio mara moja kwamba yeye ni ccm damu, Ali Hassani Mwinyi, huyu sheikh, ameisha wahi kua hadi rais wa Tanzania. Inaelekea labda hi tafsiri ya dini na siasa mi ndio labda sijaielewa, naombeni mwongozo tafadhari!
Kama askofu Kakobr angesimama na kusema waoinzani hawana sera wapuuzwe wote waliomtukana wasingefanya hivyo. Kwa huyo tafsiri yake ni kwamba kama mtumishi wa Mungu siyo CCM basi hafai. Huko ni kuwa shortsighted. Wote wa namna hiyo siyo tu kwamba ninawashangaa ioa ninawaonea huruma kwani wanataka kila myu afikiri kama wao jambo ambalo halitawezekana kwa kuwa kila mtu ana utashi wake.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Afadhali mtu mbeya kuliko mtu mwongo. Unaweza kumtaja huuo mshirika aliyeambiwa apeleke mshahara? Na alipeleka mshahara ili iweje? Lakini atakuwa ni mtu -------- sana atakayeambiwa apeke mshahara naye akafanya hivyo. Hata hivyo nina neno juu yako. kwa kuwa umeamua kuandika uongo na kumnenea mmtumishi wa Mungu uongo hasira ya Mungu itawaka juu yako usipotubu. Kumbuka akina Miriamu walivyopatwa na ukoma. Mungu habadiliki. Mwenyewe anasema kila ulimi utakaouinuka kinyume na mtumishi wake hataacha kuuhukumu kuwa mkosa. Mwenye masikio asikie.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

wewe paka shume potelea mbali unamjua Mungu tangu lini?
 
Sote tunajua kakobe ni kiongozi wa dini anaeheshimka nchini. Huyu sawa na mh pengo.

Dini na siasa tunaambiwa ni vitu viwili tofauti. hatua nyingi zimechukuliwa kudhibiti hali hii. hata hili la Ponda nalo source yake ilianza kama hivi/ yeye hakufikia kupanda majukwaa ya wanasiasa kuonyesha hisia zake.
Jee kakobe Jangwani kawakilisha wakiristo gani?
kakobe kasiamama Jangwani kama nani?
mbona vyombo vya habari havikemei swala hili

Sasa ww kwani hata akili ndogo huna. Askofu Kakobe mwenyewe alisema pale jangwani kuwa aliangalia kwa makini ule mkutano una maudhui yapi? Baada ya kuona kuwa si ya wapinzani tu. Akaona ni vyema na yy ashiriki. Na akatoa angalizo swala la katiba lisifanywe kuwa kichama. Iwe ya watanzania wote. Akaja na motto wa KATIBA ....... Watanzania wote. Sasa hapo ndipo asasi zote hazina budi kushiriki. Usiwe kichwa maji.
 
Sote tunajua kakobe ni kiongozi wa dini anaeheshimka nchini. Huyu sawa na mh pengo.

Dini na siasa tunaambiwa ni vitu viwili tofauti. hatua nyingi zimechukuliwa kudhibiti hali hii. hata hili la Ponda nalo source yake ilianza kama hivi/ yeye hakufikia kupanda majukwaa ya wanasiasa kuonyesha hisia zake.
Jee kakobe Jangwani kawakilisha wakiristo gani?
kakobe kasiamama Jangwani kama nani?
mbona vyombo vya habari havikemei swala hili

Katiba ni zaidi ya siasa. Fungua ufahamu wako. Soma uelewe katiba ni nini.
 
Back
Top Bottom