Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

Kwanza hao waliomfungulia kesi kakobe hawana akili, tena majinga sana, wanamshtaki kakobe kwa kifungu kipi kutoka wapi??

Sadaka sio michango, ukishatoa hupaswi kuuliza utendaji kazi wake, sadaka inatolewa kiimani na ili ubarikiwe na Mungu,

na kama huna imani hutajua kama umebarikiwa, na sadaka haina risiti sasa unashtaki kwa reference ipi?

Kakobe anaongozwa na roho, aongozwi na watoa sadaka, kakobe anafungwa na mamlaka ya Mungu sio ya ki binadamu,

Kakobe anamtumikia umemaliza
 
napenda kuchangia machache kwenye hoja ihi, kwanza kabisa baadhi ya wachangiaji kumkashifu kwa kejeli,mtu wa mungu kakobe, napenda kusema wazi niuchanga wa kufikiri na kutokuya jua maandiko, kwanza kabisa lazima tuhelewe siasa ni maisha, wanasiasa wakiamua tulale mchana tutalalatu,dawa chakula nguo umeme barabara kila kitu ni siasa, wao ndio wanapanga kila kitu, wanasiasa wakiamua kuanzia leo hakuna kuhabudu,hakuna hatakaye fanya chochote, sasa kosa la kakobe ni nini? yeye mbali ya utumishi wa mungu ni mtanzania, anahaki ya kutoa maoni yake na sio dhambi kufanya hivyo, wito wangu nilazima tujue siasa ni maisha yetu na kama ni maisha yetu ni lazima tuwe makini juu ya kutoa maoni juu ya katiba mpya kwamba tunataka tuongozwe namnagani sasa utaona hata viongozi wa dini wanahaki ya kupaza sauti,zao pale wanapoona mambo hayako sawa sawa kwa kuwa hawako mbinguni,sheria zikiwa mbaya na wao watausika kuumia,
 
:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss:
Uombe Mungu Kikwete asikie vilio vya Watanzania walio wengi na hivyo kutosaini muswada huo wa katiba ya CCM hivyo kutoa muda zaidi wa Watanzania mbali mbali kuendelea kutoa maoni yao. Vinginevyo nina wasiwasi utabadili sana makanisa maana siku za usoni kama Kikwete atausaini mkataba huo basi viongozi wa madhehebu mbali mbali ya dini nchini wataungana na umoja huu wa vyama vitatu ili kuongeza nguvu katika kumshinikiza Kikwete ili asiingize nchi katika mgogoro mkubwa wa kikatiba. Hata kwa sekunde moja Kakobe hakuzungumzia katiba ya CHADEMA, CUF au NCCR katika mkutano ule bali alizungumza kuhusu katiba ambayo itakubalika na kila Mtanzania.

Pamoja na kuhitilafiana kwenye hili mimi heshima yangu kwako itabaki pale pale.

Alutta continua! continua!!!

😛eace:😛eace:😛eace:
Have a great day Mamndenyi 🙂🙂
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kakobe alionekana mkutano wa jangwani ulioitishwa na vyama vya siasa akihutubia.Swali alienda na gari ya kanisa au binafsi? Maana ana kesi aliyoshitakiwa ya kutumia mali za kanisa kisiasa kuzunguka nazo wakati wa kumpigia kampeni za uraisi Augustino Lyatonga Mrema miaka ile.

Ni muhimu kujua jibu la swali hili kujua kama mali za kanisa hazijatumika ndivyo sivyo.

mimi nilioona gari iliyomleta Suzuki vitara lakini hata kama ni la kanisa kwani yeye pale aliwakilisha interest za watu wa group gani?
 
Namsifu sana Kakobe, viongozi wa dini ndio jicho la watawala, toka enzi za akina Jeremia, Isaya, Yusufu, Musa, Ezekieli, Elia na Elisha, Mohamad NK.
 
Tangu nianze kujua harakati za Kakobe kwenye maenea mbalimbali sijawahi kumuona au kushuhudia Zakaria Kakobe amefanikiwa kwenye mipango yake yoyote.

Hata huku kwenye siasa alikoamua kuingia tena kwa mara ya pili atafeli tena, alifanya hivyo mwaka 95 akimsapoti Mrema wakafeli wote sasa ameingia tena hatujui ataondoka na nani.

Wewe jamaa ni 'noma'.
Huna kazi zaidi ya kufuatilia 'mipango yote' ya Askofu Kakobe.
Maana unaijua 'mipango' yake yote
 
jambo lingine la kujiuliza kwa nini kakobe anatapatapa kiasi kwa nini asifanye kazi ya mungu mambo ya siasa awachie wanasiasa kwani mshika mawili moja humponyoka.

Siasa na Neno la Mungu vinaenda pamoja.
Viongozi wetu Tanzania hawana hofu ya Mungu ndio maana tuko hapa tulipo kwenye lindi la umaskini na maovu yaliokithiri.
 
usichanganye dini na siasa. Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari

Hakuna anayechanganya 'dini' na 'siasa' kama serikali yetu hapa Tanzania.
Angalia picha hizi hapa chini.

Kiongozi akila kiapo huku ameshika Biblia.
Kiapo cha kisiasa, mtu anaapa kwa kutumia Biblia ...!!!!

IMG_5201.jpg
 
Kakobe hajawahi na hatakuja kuwa mtu wa Mungu. yeye yupo kimaslahi zaidi. watu wakiingia na gold kanisani kwake anawapora

Peleka 'ushahidi' huu polisi ili akamatwe mara moja.
Vinginevyo, wewe ni mwongo tu.
Hebu jaribu tuone utafikia wapi katika hii.
 
ni makosa pengine uachane na kimojawapo ujikite na kimoja tu.

Hapo kwenye blue,
'Ni makosa' kisheria ??? 'Ni makosa' ki-Biblia ??
Hebu weka vifungu vya sheria, au weka vifungu vya Bibilia tuone..
Vinginevyo, huna hoja yoyote ile..
 
Tusikubali uongo wa maccm kwenye hoja ihi na wengine wakitoa maandiko bila kuyajua maana yake ni nini!!!!!!!!!! Napenda kuwa kumbusha, wanaopotosha na kumwona askf kakobe, kafanya dhambi, someni vitabu ivi,,,[mwanzo 40:>mpakasura ya 50:] [danieli] [nehemia] hawa wote walikua wanasiasa, na watumishi wa mungu, kakobe haishi mbinguni,anaishi tanzania,siasa ni maisha maisha ni siasa yeye hawezi kufanya shuguli za kiroho nje ya siasa maana tunaongozwa na seria zitokanazio na siasa,sasa ni ujinga tena wa hali ya juu, kwa watumishi wa mungu kutokushiriki siasa au kutoa maoni yao pale wanapoona mambo yanapindishwa, mfano kwenye kitabu cha [esta] kwa wale wasomaji wa bibilia watakumbuka mwanasiasa anayeitwa,amani alivyotunga sheria mbaya kwa wayaudi wauwawe, sasa nawashangaa watu kusema heti ni kosa viongozi wa dini kushiriki siasa wakati siasa inagharim maisha yao, tuache ushabiki wa vyama twende kwenye hoja ya msingi,
 
Hivi wafia ccm wote ni lazima wawe wife wa waccm?

Wafia Ccm ni wakulima na wafanyakazi ambao siku hizi ni wafu kwa sababu ya ccm maana hawajui kesho yao. Ccm ya siku hizi ni genge la majambazi wanaotakatisha fedha haranu tu. Sasa tuambie wewe ni mfiwa ccm au mfia ccm au uliyekufa kutokana na ccm?
 
Kwanza hao waliomfungulia kesi kakobe hawana akili, tena majinga sana, wanamshtaki kakobe kwa kifungu kipi kutoka wapi??

Sadaka sio michango, ukishatoa hupaswi kuuliza utendaji kazi wake, sadaka inatolewa kiimani na ili ubarikiwe na Mungu,

na kama huna imani hutajua kama umebarikiwa, na sadaka haina risiti sasa unashtaki kwa reference ipi?

Kakobe anaongozwa na roho, aongozwi na watoa sadaka, kakobe anafungwa na mamlaka ya Mungu sio ya ki binadamu,

Kakobe anamtumikia Mungu hamtumikii Mwanadamu, poleni sana mnaomuonea wivu Kakobe

mkuu umemaliza kila kitu na nimekupa like yangu
 
usichanganye dini na siasa. Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari

Acha unafki na bibi yako getrude lwekatare yupo bungeni kama nani au muwakilishi wa dini! Shida yenu ccm mnataka kila mtu awatetee nyie akienda upinzani kosa sasa jinyonge
 
Back
Top Bottom