wamogori
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 888
- 339
Tangu nianze kujua harakati za Kakobe kwenye maenea mbalimbali sijawahi kumuona au kushuhudia Zakaria Kakobe amefanikiwa kwenye mipango yake yoyote.
Hata huku kwenye siasa alikoamua kuingia tena kwa mara ya pili atafeli tena, alifanya hivyo mwaka 95 akimsapoti Mrema wakafeli wote sasa ameingia tena hatujui ataondoka na nani.
Siku zote mshindi ni yule ambaye akianguka huinuka na kuendelea na mashindano kwa maana kama atakata tamaa na asiinuke hawezi kushinda.