Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

[TABLE="width: 655"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 80, bgcolor: transparent"]Warumi[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]2[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]12[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Kwa kuwa wote waliokosa pasipo sheria watapotea pasipo sheria, na wote waliokosa, wenye sheria, watahukumiwa kwa sheria. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
mmndenyi.....................
adhabu ya watu kama kakobe yaja yeye yupo kwenye kundi gani kati ya hawa wakosefu wawili.
 
naona kakobe amegonga kwenye ikulu ya magamba alipompa bwana maendeleo mtihani na kumpa alternative 2,kusaini mswaada =kufeli kwa bwana maendeleo. Kutosaini=kufaulu kwa bwana maendeleo. Kwa kuwa inasemekana bwana maendeleo ni gentle material,tayari jibu linajulikana i.e amefeli tayari maana mtu anafeli mtihani kwenye maandalizi na si siku ya mtihani

hujaelimika vya kutosha mkuu unaweza kubainisha kakobe amechangia maendeleo kiasi gani hata kwa taifa letu zaidi ya kuwatapeli waumini wake,
Aliwahi kusema umeme hautawaka endapo endapo jengo la kanisa lake litaguswa lakini ukawaka hukuona kuwa ni kituko mtu mmoja kugomea ujenzi wa barabara kwa maslahi yake binafsi.
 
Yeye(ASK.KAKOBE) kama raia na mpenda haki anawajibu wa kutoa yaliyo moyoni mwake.Tuanahitaj watumish kama hawa nyakati hizi wanaosimamia neno, kwan MUNGU wetu anatenda kazi katika haki.Maaskofu na Viongozi wengine WA DINI wanakuwa wanafiki linapofika swala la haki kwa wanyonge wanakaa kimya,wakiogopa kutengwa na Serikali.Tunahitaji utumishi kama wa mtume YOHANA,anamwambia mfalme Mke uliye naye si wako ni wa mdogo wako mwache!hata kama ni ghalama ya kukatwa kichwa.Hata wakati ule mtunishi huyo walimuuliza swali,je uko nyuma ya Mrema,alijibu yeye hana kadi ya TLP wala NCCR bali yeye ni mpenda haki,Wakamuuliza tena kwanini unachnaganya siasa na dini akawajibu kistaarabu kuwa Kila mtu ana nafasi yake katika ustawi wa nchi hii,akatoa mfanao je Petrol ikapanda bei yeye atakuwa exempted?anaumia kama mtu mwingine.Kimsing binadamu huwezi kumtenganisha na Siasa.Siasa ndiyo dira ya maisha yetu ya kila siku,Siasa ndiyo dira ya uchumi,siasa ndiyo dira ya Haki.Mfano kama wewe unasema hushiriki siasa,na Bomba la maji kwako halitoi maji ila kila mwezi wanakuletea bill,ukianza ku complain tu hiyo ni siasa.
 
Kwa hiyo wataka kuniambia wanasiasa hawana dini?hili jambo halina dini kaa chini fikiri sio unakurupuka tu kuongea.
 
Kakobe hajawahi na hatakuja kuwa mtu wa Mungu. yeye yupo kimaslahi zaidi. watu wakiingia na gold kanisani kwake anawapora

Ni vyema uongee kitu ambacho unauhakika nacho.Ni jambo baya kwa mtu mzima kuwa muongo
 
jambo lingine la kujiuliza kwa nini kakobe anatapatapa kiasi kwa nini asifanye kazi ya mungu mambo ya siasa awachie wanasiasa kwani mshika mawili moja humponyoka.

kwani mtu wa Mungu yeye hahitaji katiba? Makanisa yanachomwa si kwa sababu ya katiba legelege? Yeye n mtanzania àna haki zote za kushiriki kuleta Tanzania mpya. Hajashindwa, naye anawasilisha mawazo yake kama mtanzania. Nyie ndo mmefeli, kwa kutoheshim mawazo yake
 
kwa hiyo tatizo lako ni kwa nini alijumuika na wanasiasa au kwa nini alitoa maoni yake akiwa jukwaa moja na wanasiasa? mbona watumishi wa Mungu kama D.Tutu Afrika kusini ametoa mchango mkubwa katika ukombozi wa taifa hilo?,vipi Martin luther si alikuwa mtumishi wa Mungu na mwanaharakati?

Mm mwenyewe nawashangaa wanaomsema vibaya kakobe mbona lwakatare ni mch na mbunge? Katiba ina makundi so yy kama mtu wa dini anaruhusiwa kuchangia kwenye katiba jaman!
 
jambo lingine la kujiuliza kwa nini kakobe anatapatapa kiasi kwa nini asifanye kazi ya mungu mambo ya siasa awachie wanasiasa kwani mshika mawili moja humponyoka.

kwani katiba ni yawana siasa au yawatanzania???? Na kakobe ni mtanzania au sio mtanzania,,na je mkutano wajangwani ulikuwa ni mkutano wawanasiasa au watanzania wanaotaka katiba isihodhiwe na ccm,,,,,ukijibu hayo utajua kama kakobe ni haki yake yakimsingi kufanye vile na wala hatapi tapi.....
 
Alikuja na gari la Kanisa lililonunuliwa na Kanisa mwaka 1995,je kuna askofu gana hapa Tanzania mpaka leo anaendesha gari lililonunuliwa mwaka 1995?tena na Kanisa?Tunawaona Maaskofu wanawalazimisha waumuni wao kuwanunulia magari ya Kisasa huku wakiyaandika majina yoa na nyumba kwa mjina yao,Mwanche mtumishi wa MUNGUwa kwelili kweli atoe maoni yake.Pili umefika wakati Watanzania tuwe na uchungu na nchi,katiba hii inaweza ikawa inatengenezwa si kwa ajili ya baadh yetu,ila ni kwa ustawi wa wajukuu wetu.Msifikiri mtatawala milele,kuweni na uchungu na nchi yenu,wacha mabo ya vyama.
 
[TABLE="width: 655"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 80, bgcolor: transparent"]Ezra[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]7[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]26[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Na kila mtu asiyekubali kuitenda sheria ya Mungu wako, na sheria ya mfalme, na apatilizwe hukumu kwa bidii, kwamba ni kuuawa, au kwamba ni kuhamishwa, au kuondolewa mali yake, au kufungwa. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

mmndenyi.....................
adhabu ya watu kama kakobe yaja yeye yupo kwenye kundi gani kati ya hawa wakosefu wawili.
 
[TABLE="width: 655"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 80, bgcolor: transparent"]Ufunuo wa Yohana[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]3[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]15[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]Ufunuo wa Yohana[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]3[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]16[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kakobe ni mtu kama wengine, mpeni uhuru wa kutoa mawazo yake
 
Kitabu cha Hesabu Sura ya 22 mpaka 24, Wajibu wa viongozi wa Mungu kwa watawala. Soma mwenyewe bana. Nimedokoa kidogo tu.

So Balak son of Zippor, who was king of Moab at that time, 5 sent messengers to summon Balaam son of Beor, who was at Pethor, near the Euphrates River, in his native land. Balak said:

"A people has come out of Egypt; they cover the face of the land and have settled next to me.6 Now come and put a curse on these people, because they are too powerful for me. Perhaps then I will be able to defeat them and drive them out of the land. For I know that whoever you bless is blessed, and whoever you curse is cursed."

14 So the Moabite officials returned to Balak and said, "Balaam refused to come with us."

18 But Balaam answered them, "Even if Balak gave me all the silver and gold in his palace, I could not do anything great or small to go beyond the command of the Lord my God. 19 Now spend the night here so that I can find out what else the Lord will tell me."

And Balac was wroth with Balam and smote his hands together, and said unto him: I sent for thee to curse mine enemies: and behold, thou hast blessed them this three times, and now get thee quickly unto thy place. I thought that I would promote thee unto honour, but the LORD hath kept thee back from worship. And Balam said unto Balac: told I not thy messengers which thou sentest unto me saying: If Balac would give me his house full of silver and gold, I can not pass the mouth of the LORD, to do either good or bad of mine own mind. What the LORD sayeth, that must I speak. And now behold, I go unto my people: come let me shew thee, what this people shall do to thy folk in the latter days.
 
[TABLE="width: 655"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 80, bgcolor: transparent"]Ezra
[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]7
[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]26
[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Na kila mtu asiyekubali kuitenda sheria ya Mungu wako, na sheria ya mfalme, na apatilizwe hukumu kwa bidii, kwamba ni kuuawa, au kwamba ni kuhamishwa, au kuondolewa mali yake, au kufungwa.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mamndenyi usicopy na kupaste maandiko ni sheria ipi ya Mungu aliyovunja Kakobe?
 
Tangu nianze kujua harakati za Kakobe kwenye maenea mbalimbali sijawahi kumuona au kushuhudia Zakaria Kakobe amefanikiwa kwenye mipango yake yoyote.

Hata huku kwenye siasa alikoamua kuingia tena kwa mara ya pili atafeli tena, alifanya hivyo mwaka 95 akimsapoti Mrema wakafeli wote sasa ameingia tena hatujui ataondoka na nani.

MH,KAKOBE ANAHAKI ZAKIMSINGI KUSHIRI KATIKA MCHAKO WA KATIBA NA SIO KAMA UNAVYOFIKIRI KUWA NI HARAKATI ZAKISIASA,NI HAKI YAKE KAMA MTANZANIA,,,,,MAANA NI MMOJA KATIKA YA WAJUMBE 166 WATAKAO UNDA BUNGE LA KATIBA

SOMA HAPA KWA FAIDA YAKO WEWE KAMA MTANZANIA ILI UJUE HAKI YAKO,,,,,,,,,,,,,,,,,


[h=5]Kwa mujibu wa Kifungu 22 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011 (Sura ya 83) Bunge la Katiba limetamkwa kuwa na wajumbe wafuatao; ambao jumla yao ni wajumbe 604:
(a) Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao jumla yao ni 357.
(b) Wajumbe wote wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar (yaani tunaweza kuwaita wabunge wote wa Bunge la Zanzibar) ambao jumla yao ni 81.
(c) Wajumbe wengine wapatao 166 ambao watateuliwa na Rais kutokana na makundi yafuatayo: Asasi sizizo za kiserikali (NGOs), Taasisi za kidini (FBOs), Vyama vyote vya siasa venye usajili wa kudumu, Taasisi za Elimu ya Juu, Makundi ya watu wenye mahitaji maalum, Vyama vya wafanyakazi, Vyama vinavyowakilisha wakulima,Vyama vinavyowakilisha wafugaji, Makundi mengine yoyote yale ya watu (yakitumia jina lolote) ili mradi yawe na malengo ya aina moja.[/h]
 
jambo lingine la kujiuliza kwa nini kakobe anatapatapa kiasi kwa nini asifanye kazi ya mungu mambo ya siasa awachie wanasiasa kwani mshika mawili moja humponyoka.

Kwani kwenye siasa wana Mungu wao na kwenye dini wana Mungu wao? mbona wanasiasa huingia makanisani na wakatumia madhabahu kuzungumza? jambo la msingi ni mambo gani yamezungumzwa kwa faida ya nchi na wafanye hivyo bila kuvunja katiba au sheria.
 
Tangu nianze kujua harakati za Kakobe kwenye maenea mbalimbali sijawahi kumuona au kushuhudia Zakaria Kakobe amefanikiwa kwenye mipango yake yoyote.

Hata huku kwenye siasa alikoamua kuingia tena kwa mara ya pili atafeli tena, alifanya hivyo mwaka 95 akimsapoti Mrema wakafeli wote sasa ameingia tena hatujui ataondoka na nani.

Heshima kwako mpui wa mpui
 
jambo lingine la kujiuliza kwa nini kakobe anatapatapa kiasi kwa nini asifanye kazi ya mungu mambo ya siasa awachie wanasiasa kwani mshika mawili moja humponyoka.
Kwani unamfundisha namna ya kufanya kazi? Raia yeyote ikiwa ni pamoja na watumishi wa Mungu anasehemu katika siasa,kwani athari za siasa(mfano mnapochagua kiongozi mbaya) huwa kwa kila mtu bila kujali ni raia wa kawaida au Watumishi wa Mungu.Ingekuwa mbaya labda angeamua kuacha hiyo kazi ya Mungu na kuhamia katika siasa moja kwa moja.Tangu zamani(za biblia na Qurani) watumishi wa Mungu walikuwa na mchango mkubwa katika siasa.
 
[FONT=Times New Roman,Times]Kitabu cha hesabu 22-24
11 And Balak said unto Balaam, What hast thou done unto me? I took thee to curse mine enemies, and, behold, thou hast blessed them altogether.
[/FONT]
[FONT=Times New Roman,Times] 12 And he answered and said, Must I not take heed to speak that which the LORD hath put in my mouth?[/FONT]
 
Back
Top Bottom