Kakobe alionekana mkutano wa jangwani ulioitishwa na vyama vya siasa akihutubia.Swali alienda na gari ya kanisa au binafsi? Maana ana kesi aliyoshitakiwa ya kutumia mali za kanisa kisiasa kuzunguka nazo wakati wa kumpigia kampeni za uraisi Augustino Lyatonga Mrema miaka ile.
Ni muhimu kujua jibu la swali hili kujua kama mali za kanisa hazijatumika ndivyo sivyo.
Kamuulize mkeo, hili ni jukwa la Great Thinkers with Great Ideas we unatuletea nyuzi za kimbea mbea.......