Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

Huyu nae ni miongoni mwa watu wa Lumumba, hoja za kipumbavu utafikiri halijala.
 
Kakobe alionekana mkutano wa jangwani ulioitishwa na vyama vya siasa akihutubia.Swali alienda na gari ya kanisa au binafsi? Maana ana kesi aliyoshitakiwa ya kutumia mali za kanisa kisiasa kuzunguka nazo wakati wa kumpigia kampeni za uraisi Augustino Lyatonga Mrema miaka ile.

Ni muhimu kujua jibu la swali hili kujua kama mali za kanisa hazijatumika ndivyo sivyo.

Inakuhusu..!!! Sasa ukishajua utafaidika na nini wewe gamba gumu...?
 
Kakobe alionekana mkutano wa jangwani ulioitishwa na vyama vya siasa akihutubia.Swali alienda na gari ya kanisa au binafsi? Maana ana kesi aliyoshitakiwa ya kutumia mali za kanisa kisiasa kuzunguka nazo wakati wa kumpigia kampeni za uraisi Augustino Lyatonga Mrema miaka ile.

Ni muhimu kujua jibu la swali hili kujua kama mali za kanisa hazijatumika ndivyo sivyo.

Kwanza hao waliomfungulia kesi kakobe hawana akili, tena majinga sana, wanamshtaki kakobe kwa kifungu kipi kutoka wapi??

Sadaka sio michango, ukishatoa hupaswi kuuliza utendaji kazi wake, sadaka inatolewa kiimani na ili ubarikiwe na Mungu,

na kama huna imani hutajua kama umebarikiwa, na sadaka haina risiti sasa unashtaki kwa reference ipi?

Kakobe anaongozwa na roho, aongozwi na watoa sadaka, kakobe anafungwa na mamlaka ya Mungu sio ya ki binadamu,

Kakobe anamtumikia Mungu hamtumikii Mwanadamu, poleni sana mnaomuonea wivu Kakobe
 
You have said it all, mia.

Kuna watu wanatoa sadaka huku roho zinawauma na still wanalalamika hawabarikiwi.
Wachungaji wanakula madhabahuni..Walitaka auze sembe au kashata baada ya muda wa ibada?
 
Kakobe alionekana mkutano wa jangwani ulioitishwa na vyama vya siasa akihutubia.Swali alienda na gari ya kanisa au binafsi? Maana ana kesi aliyoshitakiwa ya kutumia mali za kanisa kisiasa kuzunguka nazo wakati wa kumpigia kampeni za uraisi Augustino Lyatonga Mrema miaka ile.

Ni muhimu kujua jibu la swali hili kujua kama mali za kanisa hazijatumika ndivyo sivyo.

Umeshawahi kujiuliza kuwa hilo kanisa ni mali ya nani?
Omba msaada wa documentation ili ucheki nani mmiliki wa Full Gosple Bible Fellowship!!!

Kama kanisa ni mali yako, huna haki ya kutumia mali zake?
Acha uzombi!!!

We huoni wengine walivyofanya; mbele benk, nyuma kanisa!!! Endelea kushangaa tu, wenzio wanasonga mbele iwe halali au haramu; mbele kwa mbele!!!!
 
Kakobe alionekana mkutano wa jangwani ulioitishwa na vyama vya siasa akihutubia.Swali alienda na gari ya kanisa au binafsi? Maana ana kesi aliyoshitakiwa ya kutumia mali za kanisa kisiasa kuzunguka nazo wakati wa kumpigia kampeni za uraisi Augustino Lyatonga Mrema miaka ile.

Ni muhimu kujua jibu la swali hili kujua kama mali za kanisa hazijatumika ndivyo sivyo.

Alienda kwa miguu! Jamani si tulimuona wote anatembea na wale mabaunsa.
 
Kakobe alieleza vizuri namna mchakato wa katiba unavyoweza kuathiri uhuru wake wa kuabudu!!Sioni sababu ya kupindisha mambo eti alifanya siasa,alikuwepo pia kiongozi wa shura ya maimamu kwa nia njema ileile.KATIBA NI YETU SOTE
 
atakuwa alifanya kama mwanzo akiamini anavyoamini lakini ataumbuka vibaya sana na wenyeviti wenzake akina mbowe,mbatia na lipumba.
 
Kakobe alieleza vizuri namna mchakato wa katiba unavyoweza kuathiri uhuru wake wa kuabudu!!Sioni sababu ya kupindisha mambo eti alifanya siasa,alikuwepo pia kiongozi wa shura ya maimamu kwa nia njema ileile.KATIBA NI YETU SOTE

yeye ni mwenyekiti wa chama gani cha siasa katiba ikipatikana yeye ataacha kuwatapeli wenzake kanisani.
 
kakobe hata mungu anayemwabudu sijui ni yupi mtumishi wa mungu anakuwa wa ajabu kiasi hicho.
 
Kakobe alionekana mkutano wa jangwani ulioitishwa na vyama vya siasa akihutubia.Swali alienda na gari ya kanisa au binafsi? Maana ana kesi aliyoshitakiwa ya kutumia mali za kanisa kisiasa kuzunguka nazo wakati wa kumpigia kampeni za uraisi Augustino Lyatonga Mrema miaka ile.

Ni muhimu kujua jibu la swali hili kujua kama mali za kanisa hazijatumika ndivyo sivyo.
mbona hujaulizia wale shura ya Maimamu
 
Alikuja na landcruiser nyeupe plate no sikunote. Kama unazijua mali za kanisa kz kwako.
 
Kakobe alionekana mkutano wa jangwani ulioitishwa na vyama vya siasa akihutubia.Swali alienda na gari ya kanisa au binafsi? Maana ana kesi aliyoshitakiwa ya kutumia mali za kanisa kisiasa kuzunguka nazo wakati wa kumpigia kampeni za uraisi Augustino Lyatonga Mrema miaka ile.

Ni muhimu kujua jibu la swali hili kujua kama mali za kanisa hazijatumika ndivyo sivyo.
ukishajua alikuja na gari yake unataka akuoe
 
Hilo kanisa nalo linamuonea tu!! Kanisa kalianzisha yeye na ni lake!! Sasa wanamshitaki vipi? Fedha zote na mali yote inayopatikana ni yake!!! Hiyo kesi atashinda tu.

Wewe ndiye kanisa?
 
mada zingine za kipuuzi tu,gari la kakobe linakuhusu nini,bila shaka we ni gamba
 
Back
Top Bottom