TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,674
- 1,572
wapi rev.christopher mtikila?kwa jinsi anavyokuaga serious na vipengele vya sheria anapaswa kuwa frontline katika kutetea katiba ya wananchi,vinginevyo amepoteza meno.
ccm damu lile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapi rev.christopher mtikila?kwa jinsi anavyokuaga serious na vipengele vya sheria anapaswa kuwa frontline katika kutetea katiba ya wananchi,vinginevyo amepoteza meno.
Sote tunajua kakobe ni kiongozi wa dini anaeheshimka nchini. Huyu sawa na mh pengo.
Dini na siasa tunaambiwa ni vitu viwili tofauti. hatua nyingi zimechukuliwa kudhibiti hali hii. hata hili la Ponda nalo source yake ilianza kama hivi/ yeye hakufikia kupanda majukwaa ya wanasiasa kuonyesha hisia zake.
Jee kakobe Jangwani kawakilisha wakiristo gani?
kakobe kasiamama Jangwani kama nani?
mbona vyombo vya habari havikemei swala hili
Hivi huyu kakobe kesi zake ziliisha? nasikia waumini wake wamemkataa kwa kuwatapeli.
Mkutano ulikuwa umeandaliwa na wanasiasa walioshiriki ni wanachama yeye kakobe ni mwanachama wa chama gani?
Alisimama Kama mtanzania anaetaka katiba mpya sio kilaka inayotakwa na ccm pekee..
Naona Punda wa mafisadi AKA Buku 7 wasaliti wa Watanzania wameshapewa amri toka Lumumba za kuanzisha threads zao zisizo na mashiko ili tu kuvuruga mafanikio ya kile kilichofanyika leo pale jangwani. Utaahira wenu hata siku moja hautafua dafu.
acha umbulura na SIASA ZAKO NYEPESI
Rais mburula.Ulifaa kutukanwa wewe.
Mamndenyi samahani....hivi wewe ni Wife wa Mmojawapo wa maccm? Dizain kama vile huwa sikupstpati vile ujue!!!!
Ndugu inatakiwa utambue siasa ni kila kitu iwe kanisani, sehemu za Kazi Mashuleni na hata vijiweni siasa ndio inayoendesha shughuli katika sehemu hizo.
Mvuvi huwa siku zote anaangalia ni wapi kuna samaki. Hata alivyofanya KAKOBE leo ni kazi ya mungu! Mungu azidi kumpa hekima mtumishi huyu!
Kwenye ukombozi wa nchi hata viongozi wa wanakondoo huusika pia maana hawapendi kuona wanakondoo wao wakiendelea kuteseka katika nchi iliyojaaliwa utajiri mkubwa sana. Popote pale wanakondoo wanapokuwepo basi na Viongozi wao hawawezi kukosa.
ukishajua unataka kufanyeje wakati hata sadaka huwa hutoi...
ukishajua unataka kufanyeje wakati hata sadaka huwa hutoi...