Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Lini mimi na wewe tumeongea au na wewe umeanza mambo kama ya lisu.Wewe si ulikuwa unawadanganya watu kuwa Kakobe ametoroka ??? Gazeti la Mwananchi na citzen mpo?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini mimi na wewe tumeongea au na wewe umeanza mambo kama ya lisu.Wewe si ulikuwa unawadanganya watu kuwa Kakobe ametoroka ??? Gazeti la Mwananchi na citzen mpo?????
Ulifaa kutukanwa wewe.rais wa walevi
Naona bendera ya NCCR-Mageuzi inafanana na ya Tanganyika kasoro rangi tu.
wee mwehuuu?? Inamaana tatizo hulioni??? Mburaaa!!tatizo ni nini?
Siasa zimepelekwa kanisani huu uroho wa madaraka ni mbaya sana tusubiri tuone tutafika wapi manake huku hukunni shura ya maimamu huku upande wa pili ni kakobe tusubiri tuone.
Pitia pale kwa mama Lwakatare uone! Mpaka mapambo ya kanisa ni ccm... Toka zako hapa
Mkutano ulikuwa
umeandaliwa na wanasiasa walioshiriki ni wanachama yeye kakobe ni
mwanachama wa chama gani?
kumbe Maalimu Seif (makamu wa pili rais Zanzibar) ni mwanachama wa CCM.
Nanukuu maneno ya Lipumba:"ccm wamemsaliti ccm mwenzao,Maalim Seif"
kayasema hayo leo Jangwani
Mkuu nikimaanisha 'design' yake imekaa sawa na ya Tanganyika.Sijakuelewa...! Kama rangi ni tofauti basi hazifanani.
Sote tunajua kakobe
ni kiongozi wa dini anaeheshimka nchini. Huyu sawa na mh pengo.
Dini na siasa tunaambiwa ni vitu viwili tofauti. hatua nyingi
zimechukuliwa kudhibiti hali hii. hata hili la Ponda nalo source yake
ilianza kama hivi/ yeye hakufikia kupanda majukwaa ya wanasiasa
kuonyesha hisia zake.
Jee kakobe Jangwani kawakilisha wakiristo gani?
kakobe kasiamama Jangwani kama nani?
mbona vyombo vya habari havikemei swala hili