Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

Katika hali isiyotarajiwa, askofu Kakobe ametia timu kwenye mkutano wa wapinzani juu ya katiba mpya. Akiwa anaingia ilibidi Lipumba asitishe hotuba ghafla akisubiri raia wamalize kushangilia. CCM kwisha

hata waumini wake walikuwepo na ni cdm pia!!!
 
Wakuu nilimuona kakobe kapewa nafasi ya kutoa hotuba kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya cuf,chadema na nccr mageuzi.

Swali la kujiuliza hapa kama mkutano ulikuwa wa vyama vya siasa kakobe yeye ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vilivyokuwepo kwenye mkutano.

Au ameshaacha dini na kuanza siasa,ni vizuri aweke wazi ili watu wamjue ni kipi hasa cha kwake kati ya siasa na dini.
 
Mböna hujamsema sheikh mkuu wa shura ya maimamu?
Mbulula wewe huo mkutano ulikuwa sio wa wanasiasa peke yao ni pamoja na asasi zote za kiraia
Ubongo wako ni kama wa kunguni!
Kakobe alimwakilisha mama yako kama sio kakobe basi sheikh kama mama hana dini wala asasi yeyote ya kiraia basi akili zenu zitakuwa sawa
 
Wakuu nilimuona kakobe kapewa nafasi ya kutoa hotuba kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya cuf,chadema na nccr mageuzi.

Swali la kujiuliza hapa kama mkutano ulikuwa wa vyama vya siasa kakobe yeye ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vilivyokuwepo kwenye mkutano.

Au ameshaacha dini na kuanza siasa,ni vizuri aweke wazi ili watu wamjue ni kipi hasa cha kwake kati ya siasa na dini.

Mbona hakuna kiongozi wa Kiislamu aliyepewa nafasi ya kuongea pale? au Leo ilikuwa siku ya wanasiasa wanaojifikcha kwenye kivuli cha uchungaji kujiweka wazi?
 
Mböna hutamsema sheikh mkuu wa shura ya maimamu?
Mbulula wewe huo mkutano ulikuwa sio wa wanasiasa peke yao ni pamoja na asasi zote za kiraia
Ubongo wako ni kama wa kunguni!

Hivi kuna lolote alilosema KAKOBE linaloendana na nafasi yake kama mchungaji?
 
Akili ndogo sana ww. Askofu Kakobe kama ungemsikiliza hata yy alipohutubia pale alisema wazi kuwa mwanzo alifikili ni mkutano wa wapinzani. Alipojiridhisha kuwa sio wa wapinzani bali ajenda ni mchakato wa katiba ndipo alipoamua kufika. Nae akato angalizo kuwa vyama visibebe hilo kichama au kisiasa. Bali iwe ni utanzania. Ndipo alipo toa kauli mbiu ya Katiba .... Unaitikia kwa watanzania wote. Sasa acha ujinga wa kujua vitu nusu nusu.
 
Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu!
MOTO MOTO MOTO CHOMAAAAAAAA!!!!!!!! Maccm!!!
 
Mbona hakuna kiongozi wa Kiislamu aliyepewa nafasi ya kuongea pale? au Leo ilikuwa siku ya wanasiasa wanaojifikcha kwenye kivuli cha uchungaji kujiweka wazi?

wewe umemwona Kakobe tu taja na wengine basi ili hoja yako ilete mashiko acha kukurupuka kama umefumaniwa
 
Wakuu nilimuona kakobe kapewa nafasi ya kutoa hotuba kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya cuf,chadema na nccr mageuzi.

Swali la kujiuliza hapa kama mkutano ulikuwa wa vyama vya siasa kakobe yeye ni mwanachama wa chama gani kati ya vyama vilivyokuwepo kwenye mkutano.

Au ameshaacha dini na kuanza siasa,ni vizuri aweke wazi ili watu wamjue ni kipi hasa cha kwake kati ya siasa na dini.

Mambo huyaelewi unaongea ya nini? Jifunze kuongea vitu unavyovijua kwa ufasaha
 
Mbona hakuna kiongozi wa Kiislamu aliyepewa nafasi ya kuongea pale? au Leo ilikuwa siku ya wanasiasa wanaojifikcha kwenye kivuli cha uchungaji kujiweka wazi?

Yule wa shura ya maimamu ni dini gani? No research no right to speak....! Umesimuliwa tu umekurupukia jamvini
 
Mbona hakuna kiongozi wa Kiislamu aliyepewa nafasi ya kuongea pale? au Leo ilikuwa siku ya wanasiasa wanaojifikcha kwenye kivuli cha uchungaji kujiweka wazi?

Kwanini wewe sheikh hukwenda kuhutubia?
 
Akili ndogo sana ww. Askofu Kakobe kama ungemsikiliza hata yy alipohutubia pale alisema wazi kuwa mwanzo alifikili ni mkutano wa wapinzani. Alipojiridhisha kuwa sio wa wapinzani bali ajenda ni mchakato wa katiba ndipo alipoamua kufika. Nae akato angalizo kuwa vyama visibebe hilo kichama au kisiasa. Bali iwe ni utanzania. Ndipo alipo toa kauli mbiu ya Katiba .... Unaitikia kwa watanzania wote. Sasa acha ujinga wa kujua vitu nusu nusu.

sawa mkuu hapo umenena nisaidie kutoa elimu baba maana wengine wana vichwa mawe huyo anaejiita Rais mpya huyo sio rais wa kawaida ni rais wa ukoo wa panya
 
Trash...wacha kichapo kiendelee tarehe 10 wengine tutatizama!!

Shilleey Swedeey
 
Naona Mbowe amewachoma kote kote mnahaha sana leo. Mngemrudisha Savimbi toka States aje kuripua bomu...
 
Back
Top Bottom