Chikaka Sumuni
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,337
- 773
Hivi kwa akili ya kawaida tu,mtu anayetoa tangazo la kuvunja amani anafaa kuwa Rais wa Tanzania kweli?
Je Mandela aliyetangaza vita na siasa za Ubaguzi wa rangi hakufaa kuwa raisi, Mbona watu wa ccm ni kama mmelogwa wote na akili zingine kama zimevia? Kwa hiyo madalali wanaouza raslimali za nchi na kuhalalisha madawa ya kulevya, kutowakamata wanaofanya ujangili kwenye wanyama wetu ndo wanaofaa kwenye uraisi? Nenda shule ujipatie elimu, na kama na wewe ni matokeo ya shule za kata au ambazo wawekezaji wanapora dhahabu afu wanawajengea madarasa mawili hapo hatuwezi kuelewana kabisaaaaaaaaaaa.