Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

Waache kazi yakuelekeza watu mambo ya ufalme wa Mungu waamue kufanya tu siasa.

Ndugu inatakiwa utambue siasa ni kila kitu iwe kanisani, sehemu za Kazi Mashuleni na hata vijiweni siasa ndio inayoendesha shughuli katika sehemu hizo.
 
Jamani Kakobe ni mwana NCCR kama walivyo wanachama wengi wala hana jipya.Angekwenda mzee wa Upako ningepatwa na mshangao na kuamini kinachoendelea hapo kwani mzee wa upako hajawahio kushabikia chama chochote.Lakini Kakobe na Mbatia ni wamoja sana klupitia hama chao vcha Nccr.
Mzee wa upako ni gamba la nguvu
 
kumbe Maalimu Seif (makamu wa pili rais Zanzibar) ni mwanachama wa CCM.
Nanukuu maneno ya Lipumba:"ccm wamemsaliti ccm mwenzao,Maalim Seif"
kayasema hayo leo Jangwani

Wewe kweli ni mburura nahisi ni form four uliyerekebishiwa matokeo!!! Kamtaja saa ngapi maalim Seif? unamjua makamu wa pili wa rais wa Zanzibar anaitwa nani? Maalim ni makamu wa kwanza,Bora kukaa kimya kuliko kujionyesha ulivyo mweupe ...!
 
Ni kakobe huyu huyu mwana Nccr au mwingine? Mnakumbika alivyopita kumnadi mgombea wa Urais wa mwaka 1995 Mh.Lyatonga Mrema kwa tiketi ya NCCR?

huyu bishop anatunganya sana. Siku rais anaongea na wazee alikuwepo leo tena yupo huku mara ......
 
Katika hali ambayo sikutarajia nimemsikia Lipumkba akitamka Peopleees, neno linalotumiwa na CHADEMA. It is a good progress

Mbona Mbowe katamka Hakiiiii!!!!!!!! sion tatizo hapo..!
 
Saa ya ukombozi ni sasa mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.
 
kumbe Maalimu Seif (makamu wa pili rais Zanzibar) ni mwanachama wa CCM.<br />
Nanukuu maneno ya Lipumba:&quot;ccm wamemsaliti ccm mwenzao,Maalim Seif&quot;<br />
kayasema hayo leo Jangwani

Balozi Seif Ali Idd, acha kujivisha ukichaa
 
Bila dora maccm yanapumulia mashine.
 
Hivi huyu kakobe kesi zake ziliisha? nasikia waumini wake wamemkataa kwa kuwatapeli.
 
Wachungaji na Masheikh Tokeni Huko Mlipo Ingieni Katika Mapambano Ya Kudai Haki,. Bishop Zachary Kakobe Kashaonyesha Mfano Wa Kuigwa
 
Tatizo la kizazi chetu tunakuwa wavivu kufanya utafiti, hakuna cha Kakobe kutapeli wala waumini kumkataa, nani atapeli katika nchi hii kwasasa asifunguliwe mashitaka na kufungwa, au ni nani aliyetapeliwa ajitokeze na aseme. Kakobe Ni mtanzania mzalendo ambaye hana unafiki linalomhusu analizungumza Kama Mtanzania.
 
Siku zote Askofu Kakobe hakubali kuburuzwa kama maaskofu wengineo.Hahongeki! Yeye ni mtu muwazi asiyependa ubabaishaji na huongea kwa dhati na kwa uwazi bila kujiumauma ktk kile anachokiamini.
Hata hivyo Kakobe ana haki ya kisheria na kikatiba kuhudhuria mkutano wowote kama mwananchi na raia wa Tanzania.
 
Hivi huyu kakobe kesi zake ziliisha? nasikia waumini wake wamemkataa kwa kuwatapeli.

Hakuna mtu wa hovyo kama yule anayesikia na kuamini bila kujiridhisha kwa utafiti.Ni uvivu tu wa kushindwa kufanya simple research na kukurupuka kusema au kuandika.Kumbuka:NO DATA NO RIGHT TO SPEAK.Quite p'se!!!
 
Back
Top Bottom