Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

Kakobe: Huu ni mtihani mwingine wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.Ukisaini Muswada huu umeshindwa mtihani. Angalia kundi lote hili linaloupinga Muswada....usifanye danganya-toto
 
Kiama cha chama cha wauza unga kinazidi kukaribia.
 
saa ya ukombozi imefika. Tanzania itakombolewa kutoka kwenye mikono ya wakoloni weusi
 
watanzania wote kwa sasa wana sikiliza kinachojiri jangwani askofu kakobe katoa ujumbe mzito sana kwa serikali na raisi choonde chonde raisi wangu busara zako zionekane ktkt hili chonde baba tuondoe uccm na mengineyo ujumbe huo ni mzito sana tafakari.........
 
Askofu zakaria KAKOBE ambaye hajaoneka mbele za hadhara ya watu kwa muda ameonekana Leo kwenye mkutano wa hadhara ya rasmu ya maoni ya katiba na kusema kwa hali ilivyokuwa ndani ya bunge la katiba hana uhakika kama ccm wanaimani ya dini au lah, na hajui kama kutakuwa na uhakika wa kuabudu siku za mbeleni .... tujadili wakuu..
 
Anajua fika huyu CHADEMA ni chama kubwa pamoja na kampeni chafu za CCM bado kinapaa tu kila kona nchini.

People'ssssssssssssssssssssssssssssss Powerrrrrrrrrr!!!!

😛eace:😛eace:😛eace:

Alutta continua!!! continua!!!!


Katika hali ambayo sikutarajia nimemsikia Lipumkba akitamka Peopleees, neno linalotumiwa na CHADEMA. It is a good progress
 
Ujadiri na nani wakati hujasikia vizuri alichoongea ? nenda jangwani updates kuna kila kitu
 
Ni kakobe huyu huyu mwana Nccr au mwingine? Mnakumbika alivyopita kumnadi mgombea wa Urais wa mwaka 1995 Mh.Lyatonga Mrema kwa tiketi ya NCCR?
 
wewe nakubaliana na wewe ule ujumbe akiupuuuza ni kuwa usanii wake utakuwa umeonekana maana jangwani kumekuwa na mchanganyiko wa dini, taasisi, vyama, wanazuoni nk. Sasa usipowasikiliza wote hawa unamtengenezea nani katiba??? atakuwa anatumia pesa zetu kisaniii tu.
 
Anamshawishi rais afute ccm au aondoe mapenzi kwenye chama chake? ni kichekesho ujue.
 
kumbe juma akisema bwana asifiwe tayari amebadili dini?
 
Inaonekana mkutano wa leo ni wa kihistoria. Bg up wakuu wa vyama kuweka vyama pembeni na kuwa kitu kmoja kwenye suala la katiba. Mungu awatie nguvu
 
Jamani Kakobe ni mwana NCCR kama walivyo wanachama wengi wala hana jipya.Angekwenda mzee wa Upako ningepatwa na mshangao na kuamini kinachoendelea hapo kwani mzee wa upako hajawahio kushabikia chama chochote.Lakini Kakobe na Mbatia ni wamoja sana klupitia hama chao vcha Nccr.
 
Sina wasiwasi na Mbowe mwenye ugomvi na Dk. Slaa anayetumia mkono wa chuma kujiimarisha ndani ya CHADEMA. Sina hofu na Mbatia a.k.a "Kura za Maruhani," na Lipumba a.k.a "Msinipigie kura ya ndiyo, zangu mpeni Kikwete" (2010). CHADEMA INASAMBARATISHWA KISAYANSI.

Huwezi kunielewa iwapo upeo wako ni kiwango cha ushabiki na matumaini hewa.
 
Waache kazi yakuelekeza watu mambo ya ufalme wa Mungu waamue kufanya tu siasa.
 
Ni kakobe huyu huyu mwana Nccr au mwingine? Mnakumbika alivyopita kumnadi mgombea wa Urais wa mwaka 1995 Mh.Lyatonga Mrema kwa tiketi ya NCCR?

What is your problem? Hapo Jangwani wanapigania Katiba ya Watanzania, au umeambiwa kuna kampeni za kugombea uraisi?
 
Back
Top Bottom