Katiba Mpya;Mahakama ipewe mamlaka kuhoji Tume ya uchaguzi na matokeo ya Urais.

Katiba Mpya;Mahakama ipewe mamlaka kuhoji Tume ya uchaguzi na matokeo ya Urais.

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,322
Reaction score
3,648
1. Matokeo ya Raisi yahojiwe Mahakamani kama yaliyo ya Diwani na ubunge.kwa kuwa wagombea wa urais wanaweza kufanya makosa ya kiuchaguzi.

2. Tume ihojiwe na Mahakama inapo enda kinyume ktk kutimiza majukumu yake.

3. Itungwe sheria ya kuwezesha INEC kufanya Kazi za kusimamia uchaguzi Kwa sasa hakuna Sheria iliyo tungwa kufanya INEC kusimamia uchaguzi.kwa sasa uchaguzi inasimamiwa na NEC ila imevaa koti la INEC .
Mambo hata matatu yakitekelezwa Chadema Tutaingia timu uwanjani.kwanini serikali itakaidi maoni ya wadau na wananchi?inatekeleza matakwa ya CCM Tu?; badala ya umma Ibara ya 8 ya katiba ya jamhuri ya Mungano ya Tanzania toleo la 1977.
 
Back
Top Bottom