Katiba Mpya: NEC ya CCM yatoa tamko kuwa serikali 2 ndio msimamo wa chama!

Katiba Mpya: NEC ya CCM yatoa tamko kuwa serikali 2 ndio msimamo wa chama!

Na ilaaniwe ccm wavurugaji wakubwa wa mipango ya maendeleo kwa taifa hili
I hate you ccm
 
Wana jf nimekuwa nikijiuliza ni kwa sababu gani CCM hawataki kabisa serikali 3, ni jana tu nimemuona Mizengo Pinda anadai eti hata akiamshwa usingizini atataja serikali 2.Ni kwa sababu zipi haswa?

hata mimi sitaki kabisa maana najua bajeti kubwa ya nchi itaingia mifukoni tu heri ya mbili
 
Back
Top Bottom