A AMKA Member Joined Jul 9, 2011 Posts 94 Reaction score 11 Feb 25, 2014 #181 Na ilaaniwe ccm wavurugaji wakubwa wa mipango ya maendeleo kwa taifa hili I hate you ccm
Master mjehe Member Joined Jan 7, 2014 Posts 77 Reaction score 84 Feb 25, 2014 #182 Lkn nao ni sehem ya wananch wanahaki ya kutoa maoni yao
S Siku za ajabu JF-Expert Member Joined Dec 23, 2012 Posts 1,369 Reaction score 986 Feb 25, 2014 #183 Mmawia said: Wana jf nimekuwa nikijiuliza ni kwa sababu gani CCM hawataki kabisa serikali 3, ni jana tu nimemuona Mizengo Pinda anadai eti hata akiamshwa usingizini atataja serikali 2.Ni kwa sababu zipi haswa? Click to expand... hata mimi sitaki kabisa maana najua bajeti kubwa ya nchi itaingia mifukoni tu heri ya mbili
Mmawia said: Wana jf nimekuwa nikijiuliza ni kwa sababu gani CCM hawataki kabisa serikali 3, ni jana tu nimemuona Mizengo Pinda anadai eti hata akiamshwa usingizini atataja serikali 2.Ni kwa sababu zipi haswa? Click to expand... hata mimi sitaki kabisa maana najua bajeti kubwa ya nchi itaingia mifukoni tu heri ya mbili