Katiba Mpya ni muhimu kwa Sekta Zote

Katiba Mpya ni muhimu kwa Sekta Zote

Narudia tena, wanaufipa mumeshavuruga mchakatooo. Eti sasa ivimnajidanganya sector zote, mnachekesha kweliii. Sector ipi umeona kuna gaidi wao katiwa nguvuni?? Daini katiba ya kikundi chenu hukohuko, siokatiba ya wananchii

Magaidi? Unadhani wale mabeberu wanaofika mahakamani hawana cha kufanya na hili rojo?

Kenyatta kaalikwa White House, TanzaniaTunakwama wapi ?

Mtamshutumu sana dobi. Kaniki ni rangi yake.
 
Daah hizo takwimu mmepiga lini mbona mm na jamaa zangu zaid ya watatu hapa kitaa hatuhitaji hy katiba au hao watu watatu ni viumbe gani
Sawa wako watu wengi amba hawajui katiba ni kitu gani. Ukiwaambia katiba mpya wanashangaa..
Haishangazi bali inasikitisha. Ujnga ni adui mkubwa

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Sawa wako watu wengi amba hawajui katiba ni kitu gani. Ukiwaambia katiba mpya wanashangaa..
Haishangazi bali inasikitisha. Ujnga ni adui mkubwa

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Hakuna ujinga hapo, kitu unachopenda we sio lazima mwingine akipende au ukiteseka ww sio wote wanateseka
 
Tume huru ya uchaguzi kwanza ni takwa la wanasiasa
 
Tuwekee hapa ubovu wa KATIBA HII. KISHA KATIBA YA CHADEMA. Afu tuamue ipi ianze kurekebishwa.
 
Tuwekee hapa ubovu wa KATIBA HII. KISHA KATIBA YA CHADEMA. Afu tuamue ipi ianze kurekebishwa.

Mapungufu ya katiba ya wananchi yamejadiliwa sana.

Katiba ya wananchi si katiba ya CCM, CUF, TLP wala ACT kuliko na kiongozi Mkuu au Ayatollah.

Hapa chini ni moja ya extracts yenye kuonyesha mapungufu kwenye katiba ya wananchi:
IMG_20211228_113746_218.jpg
 
Back
Top Bottom