Narudia tena, wanaufipa mumeshavuruga mchakatooo. Eti sasa ivimnajidanganya sector zote, mnachekesha kweliii. Sector ipi umeona kuna gaidi wao katiwa nguvuni?? Daini katiba ya kikundi chenu hukohuko, siokatiba ya wananchii
Sawa wako watu wengi amba hawajui katiba ni kitu gani. Ukiwaambia katiba mpya wanashangaa..Daah hizo takwimu mmepiga lini mbona mm na jamaa zangu zaid ya watatu hapa kitaa hatuhitaji hy katiba au hao watu watatu ni viumbe gani
Hakuna ujinga hapo, kitu unachopenda we sio lazima mwingine akipende au ukiteseka ww sio wote wanatesekaSawa wako watu wengi amba hawajui katiba ni kitu gani. Ukiwaambia katiba mpya wanashangaa..
Haishangazi bali inasikitisha. Ujnga ni adui mkubwa
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Sawa wako watu wengi amba hawajui katiba ni kitu gani. Ukiwaambia katiba mpya wanashangaa..
Haishangazi bali inasikitisha. Ujnga ni adui mkubwa
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Katiba Mpya ni muhimu sana kabla ya Tume Huru ya Uchaguzi...Chadema bhana 😂😂 baada ya kuona wamekosa ulaji bungeni ndo wamekuja na kelele za katiba mpya
Tuwekee hapa ubovu wa KATIBA HII. KISHA KATIBA YA CHADEMA. Afu tuamue ipi ianze kurekebishwa.