kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Hatuwezi wote kwenda Ikulu na kuwa Maraisi na Mawaziri nk .
Ndiyo maana tumetengeneza taratibu (katiba na Sheria) za namna ya kuajiri wawakilishi kwa kuwapigia kura. Na hao wawakilishi wakisha patikana wanapaswa kufuata muongozo au utaratibu sisi wananchi tuliowaandalia kutekeleza mambo yanayohusu maendeleo ya inchi yetu. Na huwa tunatumia katba hiyo hiyo kuamua kuwateuwa wawakilishi walewale au wengine kuendelea kutuwakilisha.
Na hiyo katiba ndiyo ilimpa urais Baada ya kifo cha John Pombe Magufuli hayati Mungu amlaze mahali pema peponi.
Sasa sijui ni Ulevi wa madaraka wa CCM au kupitiwa tu Rais kufikia kudharau wananchi kwa kuita katiba ni kitabu tu hivi need to known.