Katiba waliyoivuruga UKAWA ilikuwa na sifa hizi hapa

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Dhamira ya kupata Katiba mpya nzuri ya vyama vingi ilikuwa kubwa kabla ya vyama vya upinzani kuvuruga mchakato kwa madai ya kuifufua Tanganyika na Zanzibar kuwa na mamlaka kamili.

Fedha nyingi sana na muda vilipotea bure bila kupata katiba mpya. Tusiandike tena Katiba mpya ambayo itakwamia palepale ilipokwamia ile nyingine.

SARAKASI KUHUSU SAKATA LA KATIBA MPYA NCHINIsehemu ya hotuba ya Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akihutubia Bunge la katiba marchi 21, 2014 Bingeni DodomaKwenye hotuba hiyo Dkt. Jakaya Kikwete alisisitiza na kuonyesha kuthamini Mchakato mzima wa katiba mpya huku akisema wajumbe watakapo hitimisha mchakato huo majina yao yataaandikwa kwa wino wa dhahabu

Alikadhalika Dkt.Kiwete alisema ni kwa mara ya tatu Taifa linapitia mchakato huo huku akisema mwanzo ilikuwa kwenye kuunda katiba ya mpito ya Mwaka 1965 mara baada ya muungano wa Nchi zote mbili, na awamu ya pili zoezi hilo lilifanyika mwaka 1977Mchakato huo haukukamilika hadi mwisho, ni miaka takribani 12 hadi sasa imepita unauona wapi mchakato wa katiba mpya?
 
Dhamira ya kupata Katiba mpya nzuri ya vyama vingi ilikuwa kubwa kabla ya vyama vya upinzani kuvuruga mchakato kwa madai ya kuifufua Tanganyika na Zanzibar kuwa na mamlaka kamili.

Fedha nyingi sana na muda vilipotea bure bila kupata katiba mpya. Tusiandike tena Katiba mpya ambayo itakwamia palepale ilipokwamia ile nyingine.

View: https://www.instagram.com/reel/Dd9e0N0JNxT/?stkn=MWFlbHI0MjRrMXpraw==

Ww kichwa maji nilikuambia ww ni bendera fuata upepo huna ujualo. Katiba mpya ipi ilivurigwa na Ukawa? Kwa taarifa yako Ukawa waligomea kuendelea kushiriki kwenye bunge lililokuwa linanajishi maoni halali ya wananchi. Lakini wabunge wa ccm na vibaraka wao chini ya muuaji Samia waliendelea na bunge lile hadi kupata katiba pendekezwa.

Alipoingia dhalimu Magu alikuta katiba pendekezwa ikisuburi kura ya maoni, akasema hakuahidi katiba mpya kwenye kampeni zake, hivyo ikawa mwisho wa hiyo katiba mpya iliyochakuliwa na ccm. Hadi hapo ni wapi Ukawa walivuruga? Ama unadhani kila mtu anaweza kupotoshwa na nyie vichwa maji?
 
Nilishakwambia uwezo wa kuchakata mada zangu humu hunao.

UKAWA = ni kifupi cha Umoja wa Kitiba wa Wapinzani. Vyama hivyo vilikuwa CUF, CHADEMA na NCCR, giants wa upinzani wakati huo walitia mpira kwapani ili katiba pendekezwa asiende hatua ya kupigiwa kura na wananchi kwakuwa Katiba pendekezwa haina Tanganyika na Zanzibar haina mamlaka kamili ya Kikatiba. Sasa wewe ulitakata Magufuli afanye nini, awabembeleze warudi, aunde tume mpya ya katiba au afanye nini?.
 
Mchakato wa katiba ulifikia hatua ya kupigiwa kura ya maoni.Mwaka 2015 ikabidi mchakato wa katiba usimame kupisha kwanza uchaguzi mkuu.Uchaguzi ulipoisha katiba mpya nayo ikaishia hapo.Hiyo UKAWA haingeweza kuzuia chochote maana katiba siyo Kwa ajili Yao wenyewe.
 
Nilishakwambia uwezo wa kuchakata mada zangu humu hunao.

UKAWA = ni kifupi cha Umoja wa Kitiba wa Wapinzani. Vyama hivyo vilikuwa CUF, CHADEMA na NCCR, giants wa upinzani wakati huo walitia mpira kwapani ili katiba pendekezwa asiende hatua ya kupigiwa kura na wananchi kwakuwa Katiba pendekezwa haina Tanganyika na Zanzibar haina mamlaka kamili ya Kikatiba. Sasa wewe ulitakata Magufuli afanye nini, awabembeleze warudi, aunde tume mpya ya katiba au afanye nini?.
Tulia ww mjinga hata siijui unaongea nini. Ni wapi nimetaka ufafanuzi wa hiyo UKAWA kuwa kirefu chake ni nini? Katiba pendekezwa ilikuwa inasubiri kupigiwa kura ya maoni, kwakuwa uchaguzi wa 2015 ulikuwa umesogea, basi ikabidi kupisha kwanza uchaguzi mkuu, kisha rais atakayeingia aendeshe kura ya maoni ya katiba pendekezwa. Lakini Magufuli alipoingia akaigomea, na sio kwasababu UKAWA walitoka bungeni. Sasa sielewi unaongea utoto gani hapa.
 
Nilishakwambia uwezo wa kuchakata mada zangu humu hunao.

UKAWA = ni kifupi cha Umoja wa Kitiba wa Wapinzani. Vyama hivyo vilikuwa CUF, CHADEMA na NCCR, giants wa upinzani wakati huo walitia mpira kwapani ili katiba pendekezwa asiende hatua ya kupigiwa kura na wananchi kwakuwa Katiba pendekezwa haina Tanganyika na Zanzibar haina mamlaka kamili ya Kikatiba. Sasa wewe ulitakata Magufuli afanye nini, awabembeleze warudi, aunde tume mpya ya katiba au afanye nini?.
Acha upotoshaji wewe! Maana ya UKAWA ni Umoja wa Katiba ya Wananchi. Kilikuwa ni kipindi hiki ambapo baadhi ya vyama vya upinzani na Asasi za kiraia zilipingana na ccm, baada ya kugundua hila ya kuyarejesha baadhi ya katiba mbovu ya 1977!

Wananchi walipendekeza uwepo wa serikali 3! Maccm mkataka kurejeshw serikali mbili ambazo wanancho tulizikataa wakati wa ukusanyaji wa maoni.
 
Wananchi akina nani? Mbona wananchi pia walivikataa vyama vingi kwa 80% lakini hawakusikilizwa? Hiyo ya serikali 3 ni maoni binafsi ya mwenyekiti wa tume. Na bahati mbaya sana yeye hayuko tayari kupingwa maana yeye alikuwa sehemu ya G55 ambae hakujionyesha wakati ule kwa kumuogopa Mwalimu.
 
Mkuu samahani, hivi una akili TIMAMU?
Wananchi akina nani? Mbona wananchi pia walivikataa vyama vingi kwa 80% lakini hawakusikilizwa? Hiyo ya serikali 3 ni maoni binafsi ya mwenyekiti wa tume. Na bahati mbaya sana yeye hayuko tayari kupingwa maana yeye alikuwa sehemu ya G55 ambae hakujionyesha wakati ule kwa kumuogopa Mwalimu.
 
Jibu swali mkuu hayo mambo ya shule achana nayo!! Una akili TIMAMU au hauna? Jibu ni moja tu hapo
Sikuona swali bali uchanga wa hoja za upande wa pili. Miaka 30+ ya upinzani wa blaablaa. Ni saccos zaidi kuliko political parties. Akina Sugu wana hotel. Heche ana magari na mashamba, Mbowe ndio usiseme, Lema duuu!, Mdee,.... wengine akina msukuma02 ndio wanaswagwa tu kama kondoo kutoka zizi hile hadi lile. Kuna watu walianzia NCCR wakaburuzwa hadi TLP, kutoka TLP wakaburuzwa tena hadi chadema, kutoka chadema wakaburuzwa hadi CHAUMA, kutoka chauma yakaburuzwa tena kurudi CCM na chadema na mengine hayoooo ACT.
 
Kwa akili yako Sugu kumuliki hotel ni kosa! Heche kumuliki magari na mashamba ni kosa! Kupitia haya maelezo yako kuna uwezekano wewe jamaa huna akili kama ulivyoulizwa hapo juu.

Kwa maana ni maccm pekee ndiyo mnaotakiwa kumiliki mali na ukwasi wa kutisha!
 
Nilishakwambia uwezo wa kuchakata mada zangu humu hunao.

UKAWA = ni kifupi cha Umoja wa Kitiba wa Wapinzani. Vyama hivyo vilikuwa CUF, CHADEMA na NCCR, giants wa upinzani wakati huo walitia mpira kwapani ili katiba pendekezwa asiende hatua ya kupigiwa kura na wananchi kwakuwa Katiba pendekezwa haina Tanganyika na Zanzibar haina mamlaka kamili ya Kikatiba. Sasa wewe ulitakata Magufuli afanye nini, awabembeleze warudi, aunde tume mpya ya katiba au afanye nini?.
Sawa, UKAWA walijitoa, CCM mkaendelea, nini kinawazuia kumaliza?
 
Kwa akili yako Sugu kumuliki hotel ni kosa! Heche kumuliki magari na mashamba ni kosa! Kupitia haya maelezo yako kuna uwezekano wewe jamaa huna akili kama ulivyoulizwa hapo juu.

Kwa maana ni maccm pekee ndiyo mnaotakiwa kumiliki mali na ukwasi wa kutisha!
Hilo sio kosa kabisa, kwababu hizo ni dalili kamili kuwa tz hatuna vizuizi vya kutufanya tusitajirike kwa watu wote bila kujali wewe unashabikia timu gani na chama gani. Tuna sera na Katiba sahihi inclusive. Uwanja uko tambarare kwa watu wote kujipatia riziki zao. Kama Heche tu ana magari 5 kwa kupiga domo tu mtu mwingine anashindwaje kuwa hata na bajaji moja?

Ni jambo zuri watu kama Sungu na Heche kumiliki vitega uchumi, kwani humo kuna ajira pia zimepatikana kwa watanzania wenzetu na kodi ya serikali inalipwa. Ni mwendawazimu tu anachukia watu kuwa na mali na kufurahia zikichomwa moto.

Wote tunajua kuwa Sugu ni msanii wa music wa hipop, kama ni utajiri kaupata kwa kuwa mbunge wa bunge la Tz. Aligombea na kutangazwa kushinda na tume ya uchaguzi hiihii kwenye serikali hii ya CCM na Katiba hiihii.

Shida yangu kuu ni kuona kumbe tunao mabumunda miongoni mwetu ambao wanashindwa kutofautisha kati ya mali yetu sisi watanzania na mali ya Rais kama mtu au CCM. Tuna mabumunda ambao hawakerwi kabisa kuona mabumunda yanachoma na kuharibu mali zetu sisi watanzania kwa kisingizio kwa kumuadhibu Rais na serikali na chama chao.

Tuna mabumunda miongoni mwetu wanatetea watu waliochoma shule, mahakama, barabara na mali za watanzania wenzao kama sehemu ya kuidai serikali na kumkataa Rais Samia. Mimi nikiona hali kama hiyo najikuta naanzisha uzi hata kama ni usiku wa manane kama mchango wangu kwa taifa langu na mabumunda kama hawa. Huwezi kuichoma nyumba yako kumsaka panya aliyekimbilia humo.

Hivi ni kweli ule mwendokasi ni mali ya Samia inayostahili kuchomwa moto? Ni kweli mtu mdogo sana mganga njaa kama Shishi ni sehemu ya shida zenu wapinzani kupata haki zenu?

Mtu kama wewe nakuona kama mtu asiyekuwa na weledi kabisa juu ya nini unataka na nini unatetea kwa maslahi ya nani. Huwezi kudai haki yako wewe kwa kuweka rehani uhai wa watu wengine wasiokuwa na hatia. Unaagiza watoto waupige mawe mzinga wa nyuki wazichokoze nyuki wakati wewe uliewatuma ukiwa umejificha sehemu salama na watoto wako. Huo ni ukatili wa hali ya juu sana kufanywa na watu wenye akili zao. Yaani unaficha maslahi yako ya moja kwa moja ndani ya maisha ya watu wasiokuwa na maslahi mapana ya moja kwa moja kwa jambo linalohatarisha uhai wao.

Unatumia weledi wako na nafasi yako kuwatumia vijana dhaifu kiakili, kiuchumi, kiumri na kifikra kufanikisha jambo lako kwa njia ya hila na kificho huku ukijua kuwa unahatarisha maisha yao kwa jambo unalowatuma wafanye.
 
🚮
 
Back
Top Bottom