Na hiyo katiba yao haina tofauti na katiba iliyopo maana hata suala la elimu kwa mbunge lilibaki pale pale kujua kusoma na kuandika. Katiba ya mavi ya Sitta.Ww kichwa maji nilikuambia ww ni bendera fuata upepo huna ujualo. Katiba mpya ipi ilivurigwa na Ukawa? Kwa taarifa yako Ukawa waligomea kuendelea kushiriki kwenye bunge lililokuwa linanajishi maoni halali ya wananchi. Lakini wabunge wa ccm na vibaraka wao chini ya muuaji Samia waliendelea na bunge lile hadi kupata katiba pendekezwa.
Alipoingia dhalimu Magu alikuta katiba pendekezwa ikisuburi kura ya maoni, akasema hakuahidi katiba mpya kwenye kampeni zake, hivyo ikawa mwisho wa hiyo katiba mpya iliyochakuliwa na ccm. Hadi hapo ni wapi Ukawa walivuruga? Ama unadhani kila mtu anaweza kupotoshwa na nyie vichwa maji?
Kana CCM iliweza kuutafuta uhuru kutoka kwa wakoloni itashindwaje kutafuta maridhiano na waswahili wenzao wa humuhumu? CCM ina uwezo wa kukubali maoni, ushauri na ukosoaji wowote ambao hauendi kuitikisa na kuiangusha misingi ya Taifa iliyoishikilia Tanzania.Nilikuwa nafuatilia hoja zako nione wapi palipovurugwa nafurahi umesema mwenyewe. Kumbe lile bunge lenu uchwara lilijipa mamlaka ya kuamua kipi kilizungumzwa na wananchi na kipi kiliwekwa na mtu mmoja? Kwa nini mlimpa mamlaka makubwa namna hiyo mtu ambaye humumuamini? Hivi ninyi masisiemu mnajikuta akina nani kiasi mnaamini mnajua ni nini kila mwananchi wa nchi hii anataka?
Kazi ya kujua nani anafaa kuwa mbunge wao ni wananchi sio vyeti ulivyonavyo. Vinginevyo useme wananchi hawana akili wa kumjua nan anawafaa. contradiction.Na hiyo katiba yao haina tofauti na katiba iliyopo maana hata suala la elimu kwa mbunge lilibaki pale pale kujua kusoma na kuandika. Katiba ya mavi ya Sitta.
Muda unamalizika tu hata kama huandiki wala kufanya chochote. Hizi threads zetu humu iko siku atatokea mtu atajuja kuziweka pamoja na kuwa kitabu kikubwa kitakachosomwa na vizazi vijavyo miaka 1000 ijayo. Vizazi vitakujasoma na kujua nani alikuwa mjinga na nani alikuwa mpumbavu kama vile tunavyowasoma akina chifu Mangungo, TipTip, Mkwawa, Socrates, Galileo, nk.
Basi hawana akiliKazi ya kujua nani anafaa kuwa mbunge wao ni wananchi sio vyeti ulivyonavyo. Vinginevyo useme wananchi hawana akili wa kumjua nan anawafaa. contradiction.
Ni kweli hawana akili, ndo maana wanaongozwa na Mange Kimambi kwa remote. Choma wanachoma, vua nguo wanavua nguo.Basi hawana akili
Wewe huwezi kumtukana kwa sababu ni shosti wa mama yako SamiaNi kweli hawana akili, ndo maana wanaongozwa na Mange Kimambi kwa remote.
Na je, mtu mwenye akili anaweza kumtukana Mbowe?
View: https://youtu.be/O6OAQjXmaXQ?si=VL1ePv-QaBebhCbs
Katiba hii imetulia, wengi wanatuonea wivu. Katiba ambayo hakuna anaelalamika kuwa hana ardhi kwasababu yoyote ile. Katiba ambayo dini na kabila sio tatizo kupata demu wa kulala nae na kuoa. Katiba ambao kila kabila linaweza kumtoa Rais wa nchi na waziri mkuu. Katiba ambayo watu wote wananunua kwenye maduka yaleyale kwa bei ileile bila kujali wewe ni CCM, chadema au huna chama. Katiba ambayo unapokosea polisi hakuulizi wewe ni mfuasi wa chama gani, dini gani au kabila gani. Katiba ambayo watu wamejenga makazi yao bila kujali dini zao, dini wala kabila. Katiba hii ambayo watu wote tunazungumza kwa kugha moja tu ya Kiswahili.Na hiyo katiba yao haina tofauti na katiba iliyopo maana hata suala la elimu kwa mbunge lilibaki pale pale kujua kusoma na kuandika. Katiba ya mavi ya Sitta.
KagongweKatiba hii imetulia, wengi wanatuonea wivu. Katiba ambayo hakuna anaelalamika kuwa hana ardhi kwasababu yoyote ile. Katiba ambayo dini na kabila sio tatizo kupata demu wa kulala nae na kuoa. Katiba ambao kila kabila linaweza kumtoa Rais wa nchi na waziri mkuu. Katiba ambayo watu wote wananunua kwenye maduka yaleyale kwa bei ileile bila kujali wewe ni CCM, chadema au huna chama. Katiba ambayo unapokosea polisi hakuulizi wewe ni mfuasi wa chama gani, dini gani au kabila gani. Katiba ambayo watu wamejenga makazi yao bila kujali dini zao, dini wala kabila. Katiba hii ambayo watu wote tunazungumza kwa kugha moja tu ya Kiswahili.
Katiba hii uwe na adabu na udhu unapotaka kuikosoa.
Huyu Mbowe mliokuwa mnamtukana gaidi?Ni kweli hawana akili, ndo maana wanaongozwa na Mange Kimambi kwa remote. Choma wanachoma, vua nguo wanavua nguo.
Na je, mtu mwenye akili anaweza kumtukana Mbowe?
View: https://youtu.be/O6OAQjXmaXQ?si=VL1ePv-QaBebhCbs
Huwezi kupata Katiba Mpya kwa kutegemea wabunge waliowengi waliotokana na michakato haramu!Dhamira ya kupata Katiba mpya nzuri ya vyama vingi ilikuwa kubwa kabla ya vyama vya upinzani kuvuruga mchakato kwa madai ya kuifufua Tanganyika na Zanzibar kuwa na mamlaka kamili.
Fedha nyingi sana na muda vilipotea bure bila kupata katiba mpya. Tusiandike tena Katiba mpya ambayo itakwamia palepale ilipokwamia ile nyingine.
SARAKASI KUHUSU SAKATA LA KATIBA MPYA NCHINIsehemu ya hotuba ya Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akihutubia Bunge la katiba marchi 21, 2014 Bingeni DodomaKwenye hotuba hiyo Dkt. Jakaya Kikwete alisisitiza na kuonyesha kuthamini Mchakato mzima wa katiba mpya huku akisema wajumbe watakapo hitimisha mchakato huo majina yao yataaandikwa kwa wino wa dhahabu
Alikadhalika Dkt.Kiwete alisema ni kwa mara ya tatu Taifa linapitia mchakato huo huku akisema mwanzo ilikuwa kwenye kuunda katiba ya mpito ya Mwaka 1965 mara baada ya muungano wa Nchi zote mbili, na awamu ya pili zoezi hilo lilifanyika mwaka 1977Mchakato huo haukukamilika hadi mwisho, ni miaka takribani 12 hadi sasa imepita unauona wapi mchakato wa katiba mpya?