kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,
Je, katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu?
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki wenu wanataka kujua uchaguzi wa kujaza nafasi utafanyika lini maana mambo yanakwama!