kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Achana na msaidizi wa Hamza huyoMandela alifungwa miaka 27 Rubben Island akiwa kama mkuu wa ANC, je chama kilikufa??!!---- na alipofunguliwa ikawaje ?? kuwafunga viongozi wa vyama ni ishara kwamba saa ya ukombozi ipo karibu na hii ni; last kicks of a dying horse. CCM is a dying horse.
Sasa mandela na mbowe wanahusikaje na swali la katiba ya chama!Mandela alifungwa miaka 27 Rubben Island akiwa kama mkuu wa ANC, je chama kilikufa??!!---- na alipofunguliwa ikawaje ?? kuwafunga viongozi wa vyama ni ishara kwamba saa ya ukombozi ipo karibu na hii ni; last kicks of a dying horse. CCM is a dying horse.
Katiba inasemaje?Hii issue ya ugaidi mnapenda kuiimba ila ikigeuziwa upande wenu mnanuna, kama mchezo wenu ndio ulikuwa huo muwape kesi za uongo wakae mahabusu na wengine muwatishe maisha wakimbie nchi ili mpate nafasi ya kupumua poleni, hii ngoma ni kama dormant volcano, imepoa tu, siku yoyote itaamka.
Baba yake gaidi leo ana siku ya 42 ndani! Je katiba inasemaje iwapo atapelekwa guantanamo!Wacha bange zako wewe ccm luwala.
Sasa hivi habari ya mujini ni kilio cha kuondokewa na mwana ccm gaidi.
Naona sasa nafasi yake utaichukua wewe maana mafunzo yenu mlikuwa wote
Kwa akili zenu mlidhani mkimfunga Mbowe chama kitakufa.Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio guantanamo,makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,je katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu je!
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki wenu wanataka kujua uchaguzi wa kujaza nafasi utafanyika lini maana mambo yanakwama!
Eti alianza red brigedi!Nakuona 2ic wa Hamza
Makamanda bwana kwani mtu kuwa mahabusu ndio keshafungwa je katiba inasemaje?!Kwa akili zenu mlidhani mkimfunga Mbowe chama kitakufa.
Msiba ni wetu wote watanzania maana kuna mtoto wa kada wenu ambae ni polisi je katiba inasemaje!Bwana Kipara pole kwa msiba mzito wa Hayati Hamza.
Jikite kwenye mada!Achana na msaidizi wa Hamza huyo
Nasikia wewe na Hamza mlikuwa kambi moja ya mafunzoEti alianza red brigedi!
Wewe hujawahi kuwa na madaJikite kwenye mada!
KMsiba ni wetu wote watanzania maana kuna mtoto wa kada wenu ambae ni polisi je katiba inasemaje!
Katiba inasema hakuna wa kuziba pengo la Hayati Hamza huko CCM.Msiba ni wetu wote watanzania maana kuna mtoto wa kada wenu ambae ni polisi je katiba inasemaje!
Kama ulikuwa hujui ni kuwa kipara kipya ndiyo 2 ic wa HanzaBwana Kipara pole kwa msiba mzito wa Hayati Hamza.