BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Hujui kuwa katiba ya Kenya Sasa imezua migogoro mikubwa hapo Kenya na Sasa wako kwenye marumbano ya kambi nyingi kinzaniTuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika.
Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana Naangalia Kesi ya BBI yao inaendeshwa live kabisa kila mtu anaweza fuatilia mjadala, huku hata kurecord tu hauruhusiwi kinacho ruhusiwa ni kupiga piga picha tu...
Kwetu kila kitu ni siri kuanzia mikataba ni siri posho ni siri salary ni siri nchi ya wanyongeTuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika.
Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana Naangalia Kesi ya BBI yao inaendeshwa live kabisa kila mtu anaweza fuatilia mjadala, huku hata kurecord tu hauruhusiwi kinacho ruhusiwa ni kupiga piga picha tu...
Siyo hivyo. Kuna makundi mawili ya mafisadi, yakishindana kwa ukabila na kuchanjiana damu, powerful, rich groups. Live TV si ushabiki, ni biashara. Hapa kwetu hakuna sokoTuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika.
Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana Naangalia Kesi ya BBI yao inaendeshwa live kabisa kila mtu anaweza fuatilia mjadala, huku hata kurecord tu hauruhusiwi kinacho ruhusiwa ni kupiga piga picha tu...
Acha ujuha.ni live bcs wameinvest kwenye technology. Mwambie waziri wako abadilishe mindsetTuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika.
Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana aangalia Kesi ya BBI yao inaendeshwa live kabisa kila mtu anaweza fuatilia mjadala, huku hata kurecord tu hauruhusiwi kinacho uhusiwa ni kupigapiga picha tu.
Ni lini tutakuwa na hata Robo ya katiba ya hawajirani zetu?
Watanzania tunataka katiba mpya achana mamba ya uchadema na uccm,Wewe Ni kilaza mkubwa hujui kuwa katiba ya Kenya Sasa imezua migogoro mikubwa hapo Kenya na Sasa wako kwenye marumbano ya kambi nyingi kinzani....
KATIBA MBOVU tuliyonayo Kuifikia KENYA labda Miaka hiyo 200Tuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika.
Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana aangalia Kesi ya BBI yao inaendeshwa live kabisa kila mtu anaweza fuatilia mjadala, huku hata kurecord tu hauruhusiwi kinacho uhusiwa ni kupigapiga picha tu.
Ni lini tutakuwa na hata Robo ya katiba ya hawajirani zetu?
Angalia uhuru wa ka kenya mpaka akina lisu wanaenda kufungulia kitabu huko na wawekezaji wanakilia kenya kuwekeza sana uchumi wao unapaa east africa nzima we huoni?Wewe Ni kilaza mkubwa hujui kuwa katiba ya Kenya Sasa imezua migogoro mikubwa hapo Kenya na Sasa wako kwenye marumbano ya kambi nyingi kinzani...
Hela ya kula huna unakimbilia katiba italeta ugari kwenuWatanzania tunataka katiba mpya achana mamba ya uchadema na uccm,
Sidhani kama hili ni effect ya shule za kata na wala sidhani kama ni bangi ila nafikiri zaidi ni malezi.Jpm alimwambia mamako anataka kuongeza muda
USSR
We naye unachekesha!!ina maana huo uhuru wa kuonyesha matukio ya mahakamani live ni kutokana na technology!??basi kama ni hivyo mbona hapa hata kurecord tu matukio mahakamani huku kesi ikiwa inaendelea hata kwa kutumia simu tu ni kosa?!kenya wana matatizo yao lakini kwenye uhuru wako mbali sana!!sisi kila kitu utaambiwa ni kutokana na sababu za kiusalama, ina maana kwenye level ya usalama tuko pabaya zaidi hata ya USA?!!Acha ujuha.ni live bcs wameinvest kwenye technology. Mwambie waziri wako abadilishe mindset
Covid 19 will set us free. Covid 19 best liberator ever.Mpaka tuamue kwa dhati
Or
Untill the nature decides.
USA lini walianza kuonesha proceedings za mahakama live ,kuwa na akili japo kibaba tu.We naye unachekesha!!ina maana huo uhuru wa kuonyesha matukio ya mahakamani live ni kutokana na technology!??basi kama ni hivyo mbona hapa hata kurecord tu matukio mahakamani huku kesi ikiwa inaendelea hata kwa kutumia simu tu ni kosa?!kenya wana matatizo yao lakini kwenye uhuru wako mbali sana!!sisi kila kitu utaambiwa ni kutokana na sababu za kiusalama, ina maana kwenye level ya usalama tuko pabaya zaidi hata ya USA?!!
Ujinga wako ndiko ulikoishia.popoma wewe.Hujui kuwa katiba ya Kenya Sasa imezua migogoro mikubwa hapo Kenya na Sasa wako kwenye marumbano ya kambi nyingi kinzani
1.wapo waliokatika mchakato wa punguza mzigo campaign wakidai imejaza maofsa wengi pesa zinaishia kulipa mishahara ya watumishi wa Wadi,majimbo, count,seneti na bunge la kitaifa (upper chamber and lower chamber)
2.uhuru yupo mwenye mgomo na mahakama (judiciary against executive crackdown) kikatiba Uhuru amegoma kuwateuwa majaji alioletewa na mahakama akisema hawafai kimaadili japo kikatiba wanasifa.
3.BBI unakataliwa na Sasa nchi imegawanyika kuhusu mahakama kukataa mpango huo na kutaka rais ashitakiwe ,unadhani nchi iliyojaa ukabila Kama Kenya yale ya s.a wakiyanyika hakutawaka moto pale.
Kiufupi nikusaidie tu hakuna katiba Bora duniani ni viogozi Bora tu.
Trump amefanya upuuzi mwingi na katiba imelinda japo mnasema katiba ya USA ni Bora ,huko chadema kwenye katiba Bora mwenyekiti anamika 24 mamlakani vipi nako
USSR
Ndiyo maana Kenya inapaa kimaendeleoTuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika.
Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana aangalia Kesi ya BBI yao inaendeshwa live kabisa kila mtu anaweza fuatilia mjadala, huku hata kurecord tu hauruhusiwi kinacho uhusiwa ni kupigapiga picha tu.
Ni lini tutakuwa na hata Robo ya katiba ya hawajirani zetu?
Zinaendeshwa live kwenye TV? Nadhani hujamuelewa mleta uziHizo ni mbembwe tu hapa Tanzania kama hufahamu kesi zote isipokuwa zinazohusiana na maswala nyeti ya usalama wa nchi au ubakaji wa mtoto mdogo Kila mtu anaruhusiwa kwenda kusikiliza.
Hakuna mtu anakatazwa kuingia mahakamani na kusikiliza kesi.
Upo sahihi mkuu, mtu unatamani uhamie hata KenyaAngalia uhuru wa ka kenya mpaka akina lisu wanaenda kufungulia kitabu huko na wawekezaji wanakilia kenya kuwekeza sana uchumi wao unapaa east africa nzima we huoni?
Marekani trump angekuwa anaongoza tanzania angekuwa dictator na asingetoka madarakani kabisa mpaka angefiamo kama alivyotaka jpm. Katiba bora ya marekani imemfanya trump asifanye lolote licha ya udictator na ukorofi wake.
Hata kenyata isingekuwa katiba bora asingetoka madarakani trust me na akina odinga angekuwa ameshawachinja. Ona makamu wake anavyompinga hadaharani na rais hana cha kumfanya wala kumfukuza haweI kwa sababu katiaba imetight.
Tunataka hapa tanzania kuondoa mtu kuwa kila kitu bali system ndo ziwe kila kitu.