Katiba ya Kenya: Kesi zinaendeshwa live, huku itatuchukua miaka 200 kufika

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Tuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika.

Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana aangalia Kesi ya BBI yao inaendeshwa live kabisa kila mtu anaweza fuatilia mjadala, huku hata kurecord tu hauruhusiwi kinacho uhusiwa ni kupigapiga picha tu.

Ni lini tutakuwa na hata Robo ya katiba ya hawajirani zetu?
 
Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana Naangalia Kesi ya BBI yao inaendeshwa live kabisa kila mtu anaweza fuatilia mjadala, huku hata kurecord tu hauruhusiwi kinacho ruhusiwa ni kupiga piga picha tu...
Hujui kuwa katiba ya Kenya Sasa imezua migogoro mikubwa hapo Kenya na Sasa wako kwenye marumbano ya kambi nyingi kinzani

1.wapo waliokatika mchakato wa punguza mzigo campaign wakidai imejaza maofsa wengi pesa zinaishia kulipa mishahara ya watumishi wa Wadi,majimbo, count,seneti na bunge la kitaifa (upper chamber and lower chamber)

2.uhuru yupo mwenye mgomo na mahakama (judiciary against executive crackdown) kikatiba Uhuru amegoma kuwateuwa majaji alioletewa na mahakama akisema hawafai kimaadili japo kikatiba wanasifa.

3.BBI unakataliwa na Sasa nchi imegawanyika kuhusu mahakama kukataa mpango huo na kutaka rais ashitakiwe ,unadhani nchi iliyojaa ukabila Kama Kenya yale ya s.a wakiyanyika hakutawaka moto pale.

Kiufupi nikusaidie tu hakuna katiba Bora duniani ni viogozi Bora tu.

Trump amefanya upuuzi mwingi na katiba imelinda japo mnasema katiba ya USA ni Bora ,huko chadema kwenye katiba Bora mwenyekiti anamika 24 mamlakani vipi nako

USSR
 
Kwetu kila kitu ni siri kuanzia mikataba ni siri posho ni siri salary ni siri nchi ya wanyonge
 
Tuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika.

Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana Naangalia Kesi ya BBI yao inaendeshwa live kabisa kila mtu anaweza fuatilia mjadala, huku hata kurecord tu hauruhusiwi kinacho ruhusiwa ni kupiga piga picha tu...
Siyo hivyo. Kuna makundi mawili ya mafisadi, yakishindana kwa ukabila na kuchanjiana damu, powerful, rich groups. Live TV si ushabiki, ni biashara. Hapa kwetu hakuna soko
 
Tuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika.

Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana aangalia Kesi ya BBI yao inaendeshwa live kabisa kila mtu anaweza fuatilia mjadala, huku hata kurecord tu hauruhusiwi kinacho uhusiwa ni kupigapiga picha tu.

Ni lini tutakuwa na hata Robo ya katiba ya hawajirani zetu?
Acha ujuha.ni live bcs wameinvest kwenye technology. Mwambie waziri wako abadilishe mindset
 
KATIBA MBOVU tuliyonayo Kuifikia KENYA labda Miaka hiyo 200
 
Wewe Ni kilaza mkubwa hujui kuwa katiba ya Kenya Sasa imezua migogoro mikubwa hapo Kenya na Sasa wako kwenye marumbano ya kambi nyingi kinzani...
Angalia uhuru wa ka kenya mpaka akina lisu wanaenda kufungulia kitabu huko na wawekezaji wanakilia kenya kuwekeza sana uchumi wao unapaa east africa nzima we huoni?

Marekani trump angekuwa anaongoza tanzania angekuwa dictator na asingetoka madarakani kabisa mpaka angefiamo kama alivyotaka jpm. Katiba bora ya marekani imemfanya trump asifanye lolote licha ya udictator na ukorofi wake.

Hata kenyata isingekuwa katiba bora asingetoka madarakani trust me na akina odinga angekuwa ameshawachinja. Ona makamu wake anavyompinga hadaharani na rais hana cha kumfanya wala kumfukuza haweI kwa sababu katiaba imetight.

Tunataka hapa tanzania kuondoa mtu kuwa kila kitu bali system ndo ziwe kila kitu.
 
Hizo ni mbembwe tu hapa Tanzania kama hufahamu kesi zote isipokuwa zinazohusiana na maswala nyeti ya usalama wa nchi au ubakaji wa mtoto mdogo Kila mtu anaruhusiwa kwenda kusikiliza.

Hakuna mtu anakatazwa kuingia mahakamani na kusikiliza kesi.
 
Jpm alimwambia mamako anataka kuongeza muda

USSR
Sidhani kama hili ni effect ya shule za kata na wala sidhani kama ni bangi ila nafikiri zaidi ni malezi.

Ukiona conduct ya mtoto ilivyo, inatosha kabisa kukupa taswira kamili ya hulka ya wazazi wake na wala uhitaji kuwafamu kwa sura.
 
Acha ujuha.ni live bcs wameinvest kwenye technology. Mwambie waziri wako abadilishe mindset
We naye unachekesha!!ina maana huo uhuru wa kuonyesha matukio ya mahakamani live ni kutokana na technology!??basi kama ni hivyo mbona hapa hata kurecord tu matukio mahakamani huku kesi ikiwa inaendelea hata kwa kutumia simu tu ni kosa?!kenya wana matatizo yao lakini kwenye uhuru wako mbali sana!!sisi kila kitu utaambiwa ni kutokana na sababu za kiusalama, ina maana kwenye level ya usalama tuko pabaya zaidi hata ya USA?!!
 
USA lini walianza kuonesha proceedings za mahakama live ,kuwa na akili japo kibaba tu.

USSR
 
Kabla ya kuwasifia wakenya tujiulize walifikaje hapo... hao majirani wamemwaga damu nyingi kufikia hapo walipo. Udikteta wa enzi za Moi ulikuwa ni mkubwa na viongozi wengi waliompinga walipitia msoto na wengine kuuwawa. Mwaka 2008 tunaukumbuka kwa machafuko ya wao kwa wao na kupelekea vifo vingi sana. Tanzania tupo tayari kupita njia waliyopita? Kuhusu uchumi mnaosema kwamba wako mbali ni stori za Alinacha. Huo uchumi mzuri ni kwa tabaka la wachache nchini Kenya. Wananchi walio wengi wana hali ngumu sana kimaisha kuliko sisi watanzania. Wakenya wanaoingia TZ kihalali na kinyemela ni wengi mno ili kutafuta maisha mazuri. Na hizo sera zao za kibepari zimechangia hali ya usalama Kenya kuwa ni ya kusuasua hasa kwenye mambo ya ugaidi. Kimsingi hakuna mwanausalama au mzalendo yeyote ndani ya Tanzania anayeweza kusikiliza huu ushuzi wa BAVICHA na CHADEMA kwa ujumla. Tanzania iko vizuri kuliko CHADEMA wanavyodhani
 
Hujui kuwa katiba ya Kenya Sasa imezua migogoro mikubwa hapo Kenya na Sasa wako kwenye marumbano ya kambi nyingi kinzani

1.wapo waliokatika mchakato wa punguza mzigo campaign wakidai imejaza maofsa wengi pesa zinaishia kulipa mishahara ya watumishi wa Wadi,majimbo, count,seneti na bunge la kitaifa (upper chamber and lower chamber)

2.uhuru yupo mwenye mgomo na mahakama (judiciary against executive crackdown) kikatiba Uhuru amegoma kuwateuwa majaji alioletewa na mahakama akisema hawafai kimaadili japo kikatiba wanasifa.

3.BBI unakataliwa na Sasa nchi imegawanyika kuhusu mahakama kukataa mpango huo na kutaka rais ashitakiwe ,unadhani nchi iliyojaa ukabila Kama Kenya yale ya s.a wakiyanyika hakutawaka moto pale.

Kiufupi nikusaidie tu hakuna katiba Bora duniani ni viogozi Bora tu.

Trump amefanya upuuzi mwingi na katiba imelinda japo mnasema katiba ya USA ni Bora ,huko chadema kwenye katiba Bora mwenyekiti anamika 24 mamlakani vipi nako

USSR
Ujinga wako ndiko ulikoishia.popoma wewe.
 
Tuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika.

Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana aangalia Kesi ya BBI yao inaendeshwa live kabisa kila mtu anaweza fuatilia mjadala, huku hata kurecord tu hauruhusiwi kinacho uhusiwa ni kupigapiga picha tu.

Ni lini tutakuwa na hata Robo ya katiba ya hawajirani zetu?
Ndiyo maana Kenya inapaa kimaendeleo
 
Hizo ni mbembwe tu hapa Tanzania kama hufahamu kesi zote isipokuwa zinazohusiana na maswala nyeti ya usalama wa nchi au ubakaji wa mtoto mdogo Kila mtu anaruhusiwa kwenda kusikiliza.

Hakuna mtu anakatazwa kuingia mahakamani na kusikiliza kesi.
Zinaendeshwa live kwenye TV? Nadhani hujamuelewa mleta uzi
 
Angalia uhuru wa ka kenya mpaka akina lisu wanaenda kufungulia kitabu huko na wawekezaji wanakilia kenya kuwekeza sana uchumi wao unapaa east africa nzima we huoni?

Marekani trump angekuwa anaongoza tanzania angekuwa dictator na asingetoka madarakani kabisa mpaka angefiamo kama alivyotaka jpm. Katiba bora ya marekani imemfanya trump asifanye lolote licha ya udictator na ukorofi wake.

Hata kenyata isingekuwa katiba bora asingetoka madarakani trust me na akina odinga angekuwa ameshawachinja. Ona makamu wake anavyompinga hadaharani na rais hana cha kumfanya wala kumfukuza haweI kwa sababu katiaba imetight.

Tunataka hapa tanzania kuondoa mtu kuwa kila kitu bali system ndo ziwe kila kitu.
Upo sahihi mkuu, mtu unatamani uhamie hata Kenya
 
Back
Top Bottom