Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea usilolijua , unafikiri constructiion costs za undersea transmission power lines ni kama kununua vitumbua asubuhi kwa mwajuma au sio ?Sisi hatutaweza kuutumia umeme wote kwa mara moja. Tutakuwa na ziada kubwa kutoka kwenye hizo megawatt 2000. Wasauzi wanaweza kupata hadi mega watt 1200 kwa kipindi cha miaka kumi na kwa kadri mahitaji yanavyo ongezeka tutawapunguzia supply.
Construction cost sio kubwa sana kwa kuwa waya hazipiti kwenye nguzo; zinapita baharini.
Unajua unachozungumza au unabwabwaja tu!?
Elezea kwa upana mkuu hali ilivyo pande hizoHali kweli si Shwari pande hizi
Mwenzako ametoa facts wewe unapinga bila sababu ya msingi, toa comparison ya hizo njia mbili ndo tujue wewe ni great thinker, sio unaleta porojo tu hapaUnaongea usilolijua , unafikiri constructiion costs za undersea transmission power lines ni kama kununua vitumbua asubuhi kwa mwajuma au sio ?
Na BrazilBRICS mwenye afadhari ni China
Alafu et wanapambana na West duhh!!BRICS mwenye afadhari ni China