Katibu Mkuu ANC: Hali ya Uchumi ni mbaya, nchi inaweza kufeli

Mtu mweusi hajawahi kuwa serious ! ,South Afrika hii si walikuwa na vinu vya nuclear vya kufua umeme ? , What happened ,? ,Thermal power plants za kufua umeme kwa makaa ya mawe ,na actually Wana abundance kubwa ya makaa ya mawe tena top quality + thermal power plants ni one of the cheapest way ya kufua umeme ,
Sijui laana gani hii ,look at south Africa when Boers used to run the show na hii South Africa ya mtu mweusi ,
Sheer stupidity , incompetence ,corruption & irresponsibility
 
Unaongea usilolijua , unafikiri constructiion costs za undersea transmission power lines ni kama kununua vitumbua asubuhi kwa mwajuma au sio ?
 
Unaongea usilolijua , unafikiri constructiion costs za undersea transmission power lines ni kama kununua vitumbua asubuhi kwa mwajuma au sio ?
Mwenzako ametoa facts wewe unapinga bila sababu ya msingi, toa comparison ya hizo njia mbili ndo tujue wewe ni great thinker, sio unaleta porojo tu hapa
 
Tunawalaumu ANC lakini wewe na mimi tukikabidhiwa madaraka ya kuongoza nchi zetu kuna cha maana tutafanya? Tunachukia rushwa kwa vile hatuko kwenye nafasi za rushwa, sisi ngozi nyeusi bongo zetu zimejaa ubinafsi na uchoyo ukipata nafasi wazo la kwanza kwako ni familia yako, ukoo wako, kabila lako mwisho Mkoa wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…