Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Makonda alikuwa jambazi mwenye mamlaka, hayo majengo walikuwa wanajenga GSM na wafanyabiashara wengine kwa kumuogopa Makonda.Ujenzi wa ofisi za chama siyo kazi ya RC. Hii inaonesha jinsi utawala ulivyopita ambavyo ulikuwa haufuati sheria wala miongozo ya kazi.
Angekubalika kwenye chama kwenye zile kura za maoni angeshinda kwa kishindo.Huko kwenye chama utendaji wake tunawaachia ninyi wenyewe...
Ishu ipo kwenye utendaji wake kwenye masuala ya umma na namna alivyoishi na wananchi...
Uongo mtupu Makonda awajibishwe haraka!Magufuli oyeee
Makonda oyeee
Viongozi wazuri TU Ila makonda Nampa 67% uchapakazi
Magufuli Nampa 80%
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kikatiba....
Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM mkoa.....
#Siempre JMT[emoji120]

Katibu mkuu kaka yangu Chongolo, hata haya yasemwe piaView attachment 2195996
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni.
“Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul Makonda) alifanya kazi kubwa sana, tusiwe wanafiki, mnajua na ni lazima tuseme, yeye ndiye alianzisha ujenzi wa Ofisi hizi za Chama hapa Kigamboni na alifanya na Kinondoni, lazima tumpongeze” ——— Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM
My Take
Katibu mbona umemzungumzia upande mmoja tu. Waambie watu na upande mwingine, kama huna habari kazipate GSM, Clouds Media au kwa Kubenea. Hata wewe pia nimekuwekea video hapo juu jinsi ulivyoonja jeuri ya huyu kijana
Ok! Kwa mtazamo wako iko hivyo! Hivi kweli unafikiri taasisi imara na zinazojitegemea zitatokana na mifumo na tawala zilizopo? Huyu alitumia udikteta maana alijua watu walijengewa tabia ya rushwa! Kumbuka anayeuza unga ni bilionea , kupoteza ushahidi ni rahisi mno!Ufikiri wa kipumbavu, na haya ndio matokeo ya elimu ya kipumbavu tunayopewa, hayo yote uliyoyasema yanaamuliwa na mahakama za kisheria, nitajie hata kesi moja ya drug iliyokwenda mahakamani?au maintenance court?,ule ulikua udikiteta uchwara, nchi inahitaji strong &independent institutions!
Ulitakiwa utoe ishahidi! Sio unaedit vipicha vyako! Acha uongo wakoKatibu mkuu kaka yangu Chongolo, hata haya yasemwe piaView attachment 2196198View attachment 2196199View attachment 2196200
Sio hivyo,ukiona Katibu Mkuu anamsifia Makonda ujue ni changa la macho.View attachment 2195996
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni.
“Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul Makonda) alifanya kazi kubwa sana, tusiwe wanafiki, mnajua na ni lazima tuseme, yeye ndiye alianzisha ujenzi wa Ofisi hizi za Chama hapa Kigamboni na alifanya na Kinondoni, lazima tumpongeze” ——— Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM
My Take
Katibu mbona umemzungumzia upande mmoja tu. Waambie watu na upande mwingine, kama huna habari kazipate GSM, Clouds Media au kwa Kubenea. Hata wewe pia nimekuwekea video hapo juu jinsi ulivyoonja jeuri ya huyu kijana
Kauli kama hii nawaambia tegemeeni breaking newzz kumhusu Makonda.View attachment 2195996
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni.
“Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul Makonda) alifanya kazi kubwa sana, tusiwe wanafiki, mnajua na ni lazima tuseme, yeye ndiye alianzisha ujenzi wa Ofisi hizi za Chama hapa Kigamboni na alifanya na Kinondoni, lazima tumpongeze” ——— Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM
My Take
Katibu mbona umemzungumzia upande mmoja tu. Waambie watu na upande mwingine, kama huna habari kazipate GSM, Clouds Media au kwa Kubenea. Hata wewe pia nimekuwekea video hapo juu jinsi ulivyoonja jeuri ya huyu kijana
Mkuu wa Mkoa hatakiwi kuanzisha ujenzi wa ofisi za chama.
Kaona kamsifia, kumbe kaonesha udhaifu.
JF is never boaring.!!! 😂 😂 😂 😂 😂 Eti argue with your keyboard..!! Nimecheka balaa.. Nshaanza ku-argueNa soon Dogo atalamba uteuzi...
Argue with your keyboard
Katiba ipi?Kikatiba....
Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM mkoa.....
#Siempre
Hapa tumeandaliwa kisaikolojiaKauli kama hii nawaambia tegemeeni breaking newzz kumhusu Makonda.
Demotion au promotion.
Tumeshaandaliwa kisaikolojia