Katibu Mkuu CCM ampiga dodoki Paul Makonda

Hivi hakuna maisha nje ya uteuzi? Hawa vijana wanajilemaza sana.

Maisha nje ya uteuzi hayana faida kama yale ya ndani ya uteuzi..

Vijana wengi wa siku hizi wanataka maisha mazuri ila hawataki kupiga kazi...ndio maana UNAFIKI na UCHAWA umekua kwa kiwango kikubwa sana.
 
Sijatukana ila nimechangia kutokana na mchango wako, kumsifia mtu ambaye utendaji wake ulitawaliwa na udikiteta ni hatari ndio maana tunahitaji taasisi imara na sio watu strong
 
Chongolo yuko SMART sana.Anamuweka sawa ili ainue kichwa
 
Mkuu wa Mkoa hatakiwi kuanzisha ujenzi wa ofisi za chama.

Kaona kamsifia, kumbe kaonesha udhaifu.
Ni ngumu sana kutofautisha ccm na serikali..ndiomana tukisema tunataka katiba mpya muwe mnatuelewa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni ngumu sana kutofautisha ccm na serikali..ndiomana tukisema tunataka katiba mpya muwe mnatuelewa.

#MaendeleoHayanaChama
Unajuaje mimi siwezi kukuelewesha wewe zaidi na mimi ndiye wa kukuelewa wewe?
 
Independent institution ni kwa nchi za watu wastaarabu siyo kwa wapumbqvu kama nyie!
 
Ulitakiwa utoe ishahidi! Sio unaedit vipicha vyako! Acha uongo wako
Makonda ndio alikuwa msimamizi wa kudhurumu haki za watu kuishi.

Rejea kauli zake za mara kwa mara za kutuhakikishia kurejeshwa kwa yoyote aliyetekwa kipindi Cha awamu ya mauwaji ya magufuri.
 
Hawa watu sometimes wanaogopana ..... Kwa jinsi watu walivyopanda na kushuka na kupanda tena kwa muda wa miaka 6, watu wameaanza kuogopana ..... Yaani kwa jinsi alivyodhalilishwa na DOGO ni aibu kuja na sifa kama hizo. Angeweza kuuchuna tu na kuongelea ujenzi wa chama bila kutaja jina ......!!
 
Bashite ni kijana wao, He served in Magu's era for a purpose..

Purpose gani ya KUWA jambazi wa kudhurumu mali za watu? Je hicho ndio anachotaka Samia ahusishwe nacho? Bashite zero brain is a liability to any sane politician!
 
Purpose gani ya KUWA jambazi wa kudhurumu mali za watu? Je hicho ndio anachotaka Samia ahusishwe nacho? Bashite zero brain is a liability to any sane politician!
Mengi alifanya kwaajili yakuern trust kutoka kwa late. Mengine aliyafanya kwaajili yakujijenga yeye mwenyewe.
 
Makonda ndio alikuwa msimamizi wa kudhurumu haki za watu kuishi.

Rejea kauli zake za mara kwa mara za kutuhakikishia kurejeshwa kwa yoyote aliyetekwa kipindi Cha awamu ya mauwaji ya magufuri.
Acha uongo uwe huru!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…