Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Na jina lake ni la kiislamu ni Aboubakari Makonda. Utaambiwa jina la Makonda alipewa baada ya kubatizwayeah, hashindwi kitu yule.
anaweza kuweka hata jina la Bashite atasema ni Mzanzibari wa usukumani!
Chupa imeamka na chaiKatibu Mkuu wa CCM anaijua katiba ya nchi?
Katiba inawapa haki wananchi kuchagua na kuchaguliwa katika uongozi.
Katibu anatoa kauli hizi kwa ujinga tu, kwamba haijui katiba?
Au anatoa kauli hizi kwa ushenzi tu, kwa kutoiheshimu hiyo katiba?
Huyu mtu ana Ph.D ya Political Science, sidhani kwamba haijui katiba ya nchi.
Inaonekana haiheshimu tu.
Kama watu 12 ni wengi sana, idadi sahihi ni watu wangapi? 10? 5? 1?
Kwa nini?
Na hao wengine watakaokosa nafasi ya kugombea, haki yao ya kikatiba tutasema bado wanayo?
Mpk Wassira lazima achukue fomu mzee baba.Walete demokrasia ya kweli kwenye uraisi wa JMT uone labda hadi sasa wangefikia 50.
Labda alitaka Jecha peke yake ndiyo achukue form.Sasa huyo mmoja amemtaja nani?
Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitoleza ndani ya CCM kuutaka urais.
Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini.
Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka kuvunja umoja wa Chama cha Mapinduzi.
Msikilize hapa.
Hahaha hii inathibitisha kwamba hata bara watia nia ni wengi wanatishwa na yeye mtoa form na mwenyekiti wake.Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitoleza ndani ya CCM kuutaka urais.
Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini.
Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka kuvunja umoja wa Chama cha Mapinduzi.
Msikilize hapa.
Ni JechaWana mgombea wao mfukoni