Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais.
Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini.
Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka kuvunja umoja wa Chama cha Mapinduzi.
Msikilize hapa.
Hilo lipo wazi mbona. Hao wakina Jecha wanafanya maigizoUnataka kusema kuwa jina tayari analo kwa mfuko?
Hilo lipo wazi mbona. Hao wakina Jecha wanafanya maigizo
Mpka kesho watafik 30
Yeye alitakaie!?
Ni ngumu kuamini kama ni PhD holder.
Hata watoke mia hii ndio demokrasia au inawezekana ana majina yake ya mfukoni
Mpaka sasa wamefikia 23, tazama tbc1 aridhio
Huyu ana akili mbovu sasa! Anasahau kama wange limit wachukua fomu 2015, na Rais Magufuli asingelikuwa Rais leo maana hakuwa wa kwanza kuchukua fomu! Hakuwa wa kwanza wala wa pili, wa tatu hata wa tano!
u
Jina ni langu, kama umelipenda kamrithishe mwanao. Nilichodanganya ni kipi? Huo ukweli unaoujua wewe ni upi?
Angalia hiyo video hapo chini ya Dr. Bashiru akiwa ziarani Zanzibar mwaka jana, na angalia ilikuwa uploaded lini kwenye youtube.
Kwahiyo he was wrong, kama alipata taarifa then his source was wrong too.Kwa nafasi yake ya ukatibu mkuu, yeye ni mtendaji mkuu wa chama, kwa hiyo alikuwa anajua kila kilichokua kinaendelea ndani ya chama hasa kwa hao waliokuwa wanajipitisha pitisha kabla ya wakati kwa mujibu wa CCM kuutaka urais wa Zanzibar. Lakini, for your information, mpaka leo hii jumatatu, waliokwishachukua form za kuomba uteuzi wa kugombea urais wa Zanzibar kupitia CCM wameshafika 14, imezidi hiyo idadi aliyokuwa ameisema Dr. Bashiru.
Jecha aliamrishwa na mkapa afute matokeo hakuwa ridhaa yake,Sasa naye anautaka huo uraisi akikatwa anatoboa siri na kuleta migongano namakundi, Act wata shinda kiulainiHadi Jecha mazee..... Dah!!??